Search results

  1. M

    Saa 1 usiku Dar, saa 12 asubuhi niko Moshi and vice versa

    Ili treni yetu ya kutoka dar kwenda Moshi iwe na tija, nashauri ikarabatiwe angalao ifikie kiwango cha kutembea masaa 10 tu. Tofauti na hapo watu wataachana na usafiri huo mapema sana. Angalao ninapotaka kusafiri usiku, basi iwe usiku kweli, angalao kuanzia saa moja usiku kutoka moshi na kufika...
  2. M

    Mashabiki wa Yose Mourhinio tumerudi!

    Baada ya kukacha ushabiki wa mpira kwa muda mrefu sasa, wale mashabiki wa kocha mtukutu, mjuaji na mbeba vikombe tukutane tena.
  3. M

    Mkulima wa zao la mahindi awezeshwe sasa ili Tanzania iweze kuhudumia Africa mashariki na pembe ya Africa badala ya kufikiria kushusha bei

    Kwa habari ya bei ya mahindi kupanda nami nitoe maoni; Kwanza mkulima wa Tanzania ameshateseka sana, wakati wewe na mimi tukiwa mjini tunakula ugali na kusaza. Tunapiga kelele bei ya mahindi imepanda lakini hatuzungumzii kupanda kwa bei za huduma mbalimbali na bidhaa za kiwandani kama sukari...
  4. M

    Rais ajaye 2025 ni kanda ya kati Dodoma

    Wanajamvi, nawasalimia sana. Si vibaya tukaanza kumtafuta rais atakayepokea kijiti toka kwa JPM. Na wala siyo vibaya rais ajaye akawa ni mtu mwenye sifa zoote zinanazohitajika kutokea kanda ya kati mikoa ya Dodoma na Singida. Zanzibar tayari, kusini tayar, kanda ya ziwa tayar, magharibi tayari...
  5. M

    Waziri mkuu wa Ethiopia atwaa tuzo ya amani ya Nobel.

    Ni mwafrika shujaa, anatwaa tuzo hii kutambua mchango waka katika kuleta amani mpaka kati ya eritrea na ethiopia mgogoro uliodumu kwa muda wa miaka 20 sasa.
  6. M

    Yajue matumizi ya hydrogen peroxide (h2o2)

    Hydrogen Peroxide Uses for Natural Body Care There are lots of different hydrogen peroxide uses for natural body care. This makes sense, since hydrogen peroxide is non-toxic (it breaks down to water and oxygen), and is extremely effective as a disinfectant. Have you heard of some of these uses...
  7. M

    Rocket mystery: What was Russia testing?

    Media playback is unsupported on your device In March 2018, President Putin called the Burevestnik missile "invincible" Five Russian nuclear engineers who died in a rocket engine explosion have been buried in Sarov, a closed town 373km (232 miles) east of Moscow, where nuclear warheads are...
  8. M

    Tanzania yawa purple!

    Rais magufuli avalia shati la purple akishangilia ushindi wa stars. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    BBC News: 'The food supplement that ruined my liver'

    The food supplement that ruined my liver' Jim McCants Jim McCants took green tea capsules in a drive to get healthy in middle age. His...
Back
Top Bottom