Search results

  1. C

    Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Nani kuondoka, nani kubaki na nani kuingia?

    Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba...
  2. C

    Mheshimiwa raisi, fanya ziara za kiserikali mikoani..

    Ni utaratibu wa Viongozi wa juu wa serikali KUFANYA ziara za KISERIKALI Mikoani, tangu awamu ya kwanza. Ziara hizi huhusisha kutembelea WILAYA ZOTE katika Mkoa husika. Jambo hili halijawahi kufanyika KIKAMILIFU kwa Raisi wa awamu ya tano KUTEMBELEA Mikoa. Amekuwa akifika katika baadhi ya Mikoa...
  3. C

    Tetesi: Mabadiliko/Uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa Yaja

    Wana Jamvi, mabadiliko na uahamisho wa baadhi wa wakuu wa mikoa yamo mbioni. Hii inatokana na kile Paskali anachokiita TREND READING. Kuna shinikizo kubwa la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka Jiji hilo.Kuna ripoti inasubiriwa ya Kamati ya maadili ya Bunge na kesi ilofunguliwa dhidi yake. Kuna...
  4. C

    Mheshimiwa Rais, Tutembelee nasi Kanda ya Kaskazini

    Sasa ni karibu mwaka mmoja na nusu tangu Mheshimiwa Rais uingie Ofisini. Tunapenda ututembelee nasi wa Mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara. Tumeona unafanya hivyo sehemu nyingine za nchi. Tena unatumia barabara, unachokifanya ni kizuri kwa sababu unajionea mwenyewe hali halisi ya...
  5. C

    Tetesi: Msemaji mpya wa CCM ni Dkt....

    Ndugu Christofa Sendeka kateuliwa kuwa RC Njombe. Huyu alikuwa Msemaji (Afisa Habari na Uenezi wa CCM Taifa). Nafasi hiyo sasa i wazi. Itajazwa na Mwana CCM siku za karibuni. Hii itakuwa kabla ya Mwaka mpya 2017. Kwa utaratibu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, nafasi nyeti za Serikali, hata Chama...
  6. C

    Sherehe za uhuru 2016 nazo zifutwe?. Fedha zifanyie kitu gani?

    Sherehe za Uhuru 2016, zinakaribia, zile za mwaka 2015 zilifutwa na fedha zake kuelekezwa kwenye ujenzi wa barabara. Katika sherehe za kuzima mwenge 2016, viongozi wengi walizuiwa kwenda ili kuokoa mamilioni ya fedha za umma. Michezo za Taifa kwa shule za msingi na sekondari ilifutwa ili...
  7. C

    Usafiri wa Anga: hii ya FastJet ni halali kweli?

    Fastjet! Kwa kweli Tanzania hii inahitaji mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya usafiri wa anga. Nadhani Fastjet bila kutazamwa na serikali wamejiwekea uzio wa kutokamatika kisheria. Usiku wa April 2, 2016, saa 3:15, Mdogo wangu anasimulia, tumeruka kutoka JNIA kuelekea KIA na tulipokaribia...
  8. C

    Ndugu hawa wako wapi?

    WanaBodi, Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana. 1. Isimail Aden Rage 2. Charles Keenja 3. Iddi Azan 4. Rostam Aziz 6. Abdul Rahman Kinana 7. Ritta Mlaki 8. Juma Othman Kapuya 9...
  9. C

    Dkt. Emmanuel Nchimbi kutogombea tena Ubunge jimbo la Songea Mjini

    Emmanuel Nchimbi, aliyeachishwa Uwaziri kwa kashfa ya TOKOMEZA amelikimbia jimbo la Songea Mjni na atagombea Jimbo la Mbinga magharibi (Nyasa) katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo ni John Komba. Habari nilizonazo ni kuwa hata Stella Manyanya,Mbunge wa Viti maalumu...
  10. C

    Mambo Sita yaliyomshinda Rais Kikwete

    Mwaka 2005, alipoingia madarakani aliahidi kuondoa uhasama wa kisiasa kati ya visiwa vya Unguja na Pemba, kuondoa migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji, kuwapatia wanahabari Sheria ya Habari, kupambana na ufisadi; na mwaka 2010 aliahidi kuwapa Waislamu Mahakama ya Kadhi na wananchi...
  11. C

    Nimeipenda Hii ya Kipanya Leo

  12. C

    Re: Elimu bure, kikwete yuko serious?

    Wiki ya kwanza ya Januari 2015, nilisoma katika magazeti ya Tanzania kuwa Raisi Jakaya Kikwete aliwaambia Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao hapa Nchini kuwa Serikali inakusudia kutoa ELIMU BURE hadi Kidato cha Nne kuanzia mwaka 2016. Sikujua kama alikuwa anamaanisha Serikali itakayoongozwa na...
  13. C

    Hussein Mwinyi na fursa za Zanzibar katika Muungano

    Hussein Mwinyi, raia mwenye bahati ya kupata kuwa mbunge kupitia majimbo ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Pemba, alisema Bungeni kuwa kuondolewa kwa “kero” za Muungano ni kwa Zanzibar kuruhusiwa kujiunga na OIC, na kupata fursa SAWA katika ajira za Muungano, ili kupata amani na...
  14. C

    Hivi kweli Anne Makinda angeuza maandazi kama asingeshinda Ubunge 1995?

    Anne Makinda ameudanganya umma wiki hii! Akizungumza katika mazishi ya kiongozi wa CCM, Moshi Mwachang’a huko Iringa, amedai kuwa asingeshinda Ubunge kwa usaidizi wa DC angeuza maandazi! Makinda, mtoto wa RC na Mbunge wa Bunge la JMT tangu 1975, ametoboa siri kuwa DC Mwachang’a akishirikiana na...
  15. C

    Goodluck Madeye na Tanganyika

    Goodluck Madeye amesema Bungeni kuwa anaunga mkono Muungano wa serikali 2 bila ya kuua jina la Tanganyika. Alisema: “Zanzibar iendelee kuitwa Zanzibar na Bara kuitwa Tanganyika, jina lake la asili. Nchi nyingi zilizoingia Muungano (Shirikisho?) hazijapoteza majina yake ya asili kwa mfano...
  16. C

    Nyalandu: Tutawakamata Majangili popote walipo

    Waziri wa maliasili ametangaza kupambana na majangili kwa nguvu zake zote."Tutawafuata majangili popote walipo..majumbani... na wote wanaowafadhili na kuhusika katika mtandao wa kuua tembo" amesikika akiiambia BBC Swahili jioni hii. My take: Ingekuwa vema akaanza na orodha iliyo kwa Rais.
  17. C

    Ndugai ALIKOSEA Vifungu Kumvurumusha Ndugulile Bungeni!

    MBUNGE wa Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile, amesema kuwa licha ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vitatu Bungeni kwa ajili ya kuwatetea wananchi wa Kigamboni, ataendelea kupambana kuhakikisha haki inatendeka kwa wakazi wa Kigamboni. Mbunge huyo alisema hapingi kuanzishwa kwa mji mpya wa...
  18. C

    Mawazo Mkakati ya Mwalimu Julius K. Nyerere

    Ndugu wana jamvi, nimesoma Hotuba aliyoitoa Mwalimu Nyerere, wakati huo akiwa Rais, kwenye mkesha wa kuamkia 1.1.1970. Nawashirikisha sehemu yeke, maana hotuba yenyewe iko kwenye kijitabu chenye kurasa nyingi. Hatuwezi kungoja mpaka watoto wetu wamalize shule ndipo tupate maendeleo ya uchumi na...
  19. C

    CCM ya Nyerere Iko Wapi?

    Sipendi staili ya kampeni wakati wa chaguzi kuu na ndogo hapa nchini. Kampeni maana yake ni KUSHAWISHI wapiga kura ili waone uzuri wa mgombea (na pengine chama chake) hatimaye kufanya UAMUZI wa kuchagua. Huyu akisha chaguliwa ANAPEWA DHAMANA ya kuwawakilisha waliomchagua na wasio mchagua katika...
  20. C

    Utata Uraia wa Siyoi, Ingekuwaje kama angekuwa ni Nassari?

    Wanajamvi, salaam. Najaribu kuvuta picha nashindwa! Nisaidieni: HIVI utata wa Uraia wa Siyoi, ulioibuliwa kwanza na wana CCM wenzake kabla hajapitishwa kugombea Ubunge kisha baaadae kuwekewa pingamii na CDM, INGEKUWAJE kama mwenye utata huo angekuwa Joshua Nasari? Yaani, spidi ya NEC kushughulia...
Back
Top Bottom