Search results

  1. N

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Kaka wala isikutishe ni mambo ya kujibana tu kila kitu kinawezekana mkuu
  2. N

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Pia hapo ulipofikia ni jambo la kushukuru sana wako ambao wanapiga mahesabu wataanzaje ila nawahakikishia sio kazi ngumu kabisa cha muhimu vijana ku punguza starehe. ...! Kila kitu kinawezekana kabisa.
  3. N

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Bado napambana na ndani kiukweli finishing sio mchezo ila kikubwa nikujibana tu watu wasikukatishe tamaa kabisa jambo la msingi mafundi nao upate wazuri na uwe msimamizi mzuri. Yote yanawezekana ndugu zangu
  4. N

    Huyu Kasiga ni dada yake Rahma Kharoos Kasiga wa Jakaya?

    Kwa nini tusiwe wastaraab. ...kwani Kuna haja gani ya kufatilia mambo ya watu? Mbona hoja zipo nyingi jamani? Wabongo tujitambue basi....
  5. N

    Msaada Nataka kwenda Marekani kutafuta maisha

    Mmmmmmm...! Kuwa uyaone
  6. N

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Ugumu wa maisha mkuu ndio unao wachanganya
  7. N

    Wabunge hawa wa CHADEMA ni mizigo isiyobebeka

    Ni kweli hawa ni mizigo naunga mkono hoja
Back
Top Bottom