Search results

  1. Escrowseal1

    Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Sikiliza clip kabla yankuropoka. Esta hakukalizia hapo bali aliishauri serikali kuweka mpango mzuri wa ardhi . Wananchi wapangwe ili jifadhi iwe hifadhi na malisho yawe malisho . Tumefikishwa japa na watu kama wewe mnao comment kutafuta teuzi . Mtu kama wewe unamaliza oxygen bure
  2. Escrowseal1

    Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
  3. Escrowseal1

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Hii ndo inaifanya CCM iwe CCM . Ndo utamaduni . Babu mwizi mpaka kitukuu yaani ukoo wa panya . As a Nation we are f****d up. Inatia hasira
  4. Escrowseal1

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Kutumia magari kunapunguza kufanya mazoezi .ni moja ya mambo yanayopelekea haya matatizo ya moyo
  5. Escrowseal1

    Nini kimefanya bunge lipoteze mvuto?

    baada ya kuruhusu uuzaji wa bandari lilijivua gamba na kuitwa genge
  6. Escrowseal1

    Shilingi ya Kenya inaimarika sana dhidi ya Dola ya Marekani. Vipi kuhusu Shilingi ya Tanzania?

    BBC wametoa report pia kuwa pesa inayoimarika chini ya jangwa la sahara ni ya Kenya tu
  7. Escrowseal1

    Hivi ni kweli alama za viganja vya mtoto ni lazima zifanane na za baba yake

    Si kweli. Kama unesoma genetics hilo ndio ninsuala la urithi mtoto akirithi sinlazima acopy exactly mama ama baba so kuna bi element anaweza chukua bilivyojificha kwa kati ya wazazi wawili . Jifunze crossing za genetics
  8. Escrowseal1

    Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

    Ni aibu sana kuidumbukiza taasisi nzima kwenye dimbwi la uchawa
  9. Escrowseal1

    Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

    kashapigwa mimba na green guard huyu baby chawa . Chawa chawani
  10. Escrowseal1

    Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

    Vichwa boga bado vinacheza na single digit hafu vibang’aka
  11. Escrowseal1

    Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

    We can do much as a country ila the so called wasomi na vichwa kama wamebeba matango pori are always letting us down .
  12. Escrowseal1

    Katiba mpya iondoe hili suala la CAG kuisomea ripoti Serikali ikiwa wao ndiyo wana makosa mengi

    Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo. Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndiyo ati isomewe report. Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe...
  13. Escrowseal1

    Uchunguzi wangu wa awali kuhusu mgodi wa siri uliopo ndani ya pori la hifadhi Singida-Tabora

    We need more Mdude in this country otherwise hawa viumbe wa ajabu wa kijani watatufanya nchi yetu nzuri iwe kama congo
Back
Top Bottom