Search results

  1. M

    Sumsung galaxy 3 mini Genuine imetumika miezi mitano tu

    Sumsung galaxy 3 mini, Genuine, Internal memory 8gb ikiwa na guarantee toka Sumsung. Ukiwa Arusha nitapenda tuonane nikukabidhi ili ujionee mwenyewe ni original pamoja na kufaamiana in case nina electronic receipt niliyoipata toka sumsung (pichani na utaiona).SABABU YA KUUZA: Nahitaji kununua...
  2. M

    Mliosoma Tosamaganga Mpo???

    Tupo mkuu, mimi kipindi cha Mkangwa bana!!
  3. M

    Africa needs its own trade paradigm

    Yaani tukifanikiwa katika hili mkuu, tutakuwa the world leading giant. Ni kuwa tu viongozi wenye fikra moja katika bara zima. Wazungu wanajua kuwa tuna uwezo huu kama unavyosema ndiyo maana wanacheza sana na viongozi wetu ili tusifanikiwe katika hili. Ila tutapopata viongozi wazalendo hata saba...
  4. M

    We are among the Economic potentials!!

    My Take: Tukifanikiwa kuwa na sera nzuri na uzalendo na nchi yetu, tukawa na uchungu na resources zetu na kuondoa hawa watu wanaokula 10% katika mikataba na kupelekea kutoa Tax holidays za miaka mingi hakika Africa heshima yetu itarudi. Mungu Ibariki Africa, Wafungue viongozi wetu katika kifungo...
  5. M

    UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

    Kabisa mkuu, nakubaliana na wewe. Ni nani anawapa hiyo mamlaka ya kulazimisha watu wafuate mfumo wao wa maisha. Kila jamii ina utamaduni wake na ilna uhuru wa kuukumbatia. Hawa jamaa wana ajenda yao ambayo sisi wa africa yatubidi tuwe makini sana.
  6. M

    UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

    Fikiria asilimia kubwa ya vijana wetu ambao ni nguvukazi ya taifa watapokuwa mashoga, na wajua mashoga wanajilegeza sana, hawatakubali kufanya manual work yoyote! nguvu kazi ya taifa itapotea. tutazidi kutegemea hiyo misaada yao na wao kututawala. Bora tujikomboe. Waafrika wa sasa inatubidi kuwa...
  7. M

    UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

    Mkuu hawa wanapumuliana lakini athari yake ni kubwa kwa jamii yetu hii. Hawa jamaa (wazungu) ni wajanja sana, wana ajenda yao ya kupunguza population ya dunia especially ya waafrika. Sasa kwa vile wamegundua sie twapenda sana ngono na ni wepesi kuiga tamaduni ngeni wanataka kupitia huko. Amini...
  8. M

    Kwanini kila ndoa inayovunjika lawama anatupiwa mwanamke!!!!!

    Aaaagh! mambo mengine ni kuendekeza ujinga. Kuzini azini mtu mwingine halafu kuhukumiwa ahukumiwe mwingine!!! kwa kweli kwa jinsi hii UKIMWI utatumaliza watu weusi!.. Kweli "Miafrika ndivyo tulivyo..........." N.N.
  9. M

    Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

    SASA MKUU, NI NINI HIKI HASA MKEO ANACHOKUKWAZA HADI UFIKIE HATUA HIYO?? SBB KILA SIFA UNAYOITOA HAPA NAONA NI NJEMA. INAONESHA KUWA MAZURI YANAZIDI MABAYA. KAMA G. THINKERS WENGINE WALIVYOTANGULIA KUKUSHAURI NAMI PIA NAUNGA MKONO, WEWE JAMAA UNA BAHATI ILA UNAICHEZEA. MARA NYINGI HUWA HATUJUI...
  10. M

    Another Reason Why South Korea Developed so Fast and Kenya is about to JOIN them

    Kwa kiasi fulani naungana nawe mkuu kuwa culture imewasaidia sababu inawafanya kujifikiria wamoja zaidi na hivyo kuwa na uzalendo ila alichosuggest mkuu Akwaba hapo kuhusu elimu naona kina ukweli kwa asilimia 97. Nilifanikiwa kuishi hapo S.Korea kwa miaka miwili, kwa kweli wenzetu wameishika...
  11. M

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    Nashukuru mkuu, ninaye ndiyo.
  12. M

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    Nashukuru kwa ushauri dada. ninaufanyia kazi. ahsante sana
  13. M

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    Nashukuru mkuu kwa ushauri, ahsante pia kwa kutokukimbilia kunihukumu kama wengine wanavyofanya. naona nimepewa mawazo mengi ya sala nimeanza kuyafanyia kazi.
  14. M

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    Nashukuru dada. watu wengine wanakatisha tamaa sana, ila basi ndiyo maisha aisee.
  15. M

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    Nipo hapa mkuu, una msaada wa kimawazo kuhusu hilo?
  16. M

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    Nimekupata mkuu, ngoja nichuje nifuate ushauri na kashfa nizipotezee.
  17. M

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    Mkuu tatizo watu wengine huwa ni wepesi sana kurukia kwenye conclusions zisizo halisi. na kumfanya muhitaji msaada ajisikie vibaya na hivyo kuwa hawajasaidia kitu zaidi ya kuharibu zaidi.
  18. M

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    Nashukuru mkuu, ntafanya hivo. ahsante sana kwa ushauri
  19. M

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    Mnara naenda mkuu, bila shida na hata nikistuka toka kwenye hizi ndoto kitu huwa mnara!!
  20. M

    naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

    Nashukuru mkuu, ntafanya hivyo. ahsante
Back
Top Bottom