Search results

  1. Wateule

    Hashimu Rungwe: Kuhusu hamahama inayoendelea,tatizo kubwa ni njaa

    Katika mahojiano haya (bonyeza link hapo chini) ya "Kinagaubaga" Sudi Mnette amezungumza na mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma-CHAUMA Hashim Rungwe ambae anatoa tathmini yake ya hali ya kisiasa nchini Tanzania. ====== Hashim Rungwe na siasa za Tanzania Katika mahojiano haya ya...
  2. Wateule

    Nani wa kulaumiwa kwemye matukio machafu ya kisiasa?

    Huyo mnayesema "anaangushwa" ndio anayewatuma kutumia mbinu chafu za kisiasa. Na ule unaitwa "mgogoro wa CUF." Kama CUF na wao wangeweka ving'amuzi mapema ili kunasa na kuweka ushahidi hadharani, tungeona na kusikia mengi. Kwa kuwa hawa wakuu wa wilaya na wengine wana maagizo "kutoka juu"...
  3. Wateule

    Ukweli wa Suala la Makonda na Clouds Huu Hapa

    Makonda" kwa madaraka yake kama mkuu wa mkoa (cheo kilichopitwa na wakati na ambacho tumekikataa kwa mujibu wa Tume ya Warioba) ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama. Kama hivyo ndivyo basi, kesi na tuhuma zake ni kesi dhidi ya jeshi la polisi (na video za CCTV zinaonyesha pia alivamia...
  4. Wateule

    Lifanyike Hili Kwa Maslahi ya Nchi!

    Katiba imezuia marais wastaafu wasishtakiwe, lakini sio wasijadiliwe. Tena majadiliano muhimu, ambayo yamejikita kuangalia uwezekano wa kuondoa kinga, ili wafikishwe mahakamani kutoa maelezo zaidi. Binafsi, sioni lazima wafungwe (kwani hili lina mazingira magumu sana), lakini wakikutwa na hatia...
  5. Wateule

    Tatizo Sio Magufuli...

    Albert Einstein aliwahi kusema "A problem cannot be solved with the same mind set that created it." Watangulizi wake pia waliunda tume na kuja na report kama hizi, lakini mwisho wa siku na wao walifanya yao na kuondoka. Kwa mfano, report imetaja mawaziri na viongozi wengine wa serikali za awamu...
  6. Wateule

    CUF imeimarika Zanzibar...

    Maombi yaendelee kufanyika na wa ZNZ (sio wapemba peke yao, kwani Wazanzibari wengi wakekerwa na dhulma ya October, 2015) ili mtoa haki wa kweli (MUNGU) afanye yake kabla ya 2020. Lakini, sikubaliana na wewe kwamba CUF walishinda kwa "mbinu" na hivyo walikuwa hawana sababu ya kuogopa kushiriki...
  7. Wateule

    Msingi wa Amani bado ni Haki

    Amani na usalama wa raia hautokuja kupatikana kama nchi inaendeshwa kijanjajanja. Msingi wa amani ya kweli unabaki kuwa HAKI. Kubadilisha IGP na kuamini kwamba huyo ndio mwenye mbinu za kupambana na uhalifu, ukiwemo wa kuua askari, ni kujidanganya. Tatizo awamu hii ni kwamba nchi inaendeshwa...
  8. Wateule

    Nitasema Kweli, Fitina Kwangu Mwiko!

    Kuna vitu viwili vya kuzingatia hapa, navyo ni (1) matendo ya mtu na (2) mtu. Matendo ya mtu yanapokuwa machafu, ya kinafiki, na ya dhulma; watu kumchukia au kumpinga mtu kutokana na matendo hayo. Lakini, mtu huyohuyo akigeuka kwa sababu moja au nyingine na kufanya au kuwa katika upande wa...
  9. Wateule

    Tatizo la Diaspora hili hapa

    Mimi kwa uzoefu wangu kama Mwanadiaspora ni kwamba hizi community nyingi za Watanzania huku nje zimeathirika na uCCM. Nasema hivyo kwasababu viongozi wengi wa jumuiya hizi huwa wanajihusisha na balozi za Tanzania huku nje na kama tujuavyo hizi balozi zimejaa uCCM (tafsiri yangu ya "uCCM" ni...
  10. Wateule

    Kwa Sheria Hii,Tuwe Mabubu Au "Wachochezi"

    Mswada wa "Sheria ya Huduma za Habari" sehemu ya Saba, kifungu cha 49, unasema kama ifuatavyo: (1)Nia ya "kuchochea uasi" ni nia ya- (a) kuchochea chuki au ufidhuli au uasi dhidi ya Jamhuri ya Muungano au serikali yake; (b) kuchochea mkazi yeyote wa Jamhuri ya Muungano kujaribu kuleta...
  11. Wateule

    Hashim Rungwe- "Badilikeni Malofa Wenzangu!"

    Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Hashim Rungwe akiwa jijini Mwanza viwanja vya Mbugani wilayani Nyamagana amefanya mkutano wa kuzinadi sera zake sanjari na kuomba ridhaa ya wananchi kumchagua ili awe rais wa awamu ya tano kwa taifa la Tanzania. Mwandishi...
  12. Wateule

    Aman Walid Kaborou Atarudi CHADEMA?

    Ndugu zangu, Aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (taifa) ndg Amani Kaborou, ambaye sasa ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, alikuwa anaonekana maeneo mengi (video na picha zilimuonyesha akiwa amesimama nyuma ya Lowassa maeneo mengi) muhimu aliyokwenda Lowassa wakati ule anasaka...
  13. Wateule

    Kweli CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia?

    Kadri siku zinavyokwenda imani yangu kwa CHADEMA inazidi kuporomoka. Dalili zote zinaonyesha tokea mgogoro wa chama na Zitto uanze (kama tujuavyo, mgogoro ulianzia kwenye kugombea uenyekiti wa chama), ni chama ambacho kinaendeshwa kwa mantiki ya kulinda maslahi ya wachache. Hii imejionyesha wazi...
  14. Wateule

    CHAUMMA Yapongeza Muungano wa UKAWA!

    Muungano huo kwa mujibu wa CHAUMMA ni harakati za kuwakomboa watanzania kutoka mikononi mwa watu ambao wamejipa haki ya kutawala kwa hila na kila aina ya ulaghai kugeuza kuwa ndiyo ajira yao ya kudumu ili mradi waendelee kushikiria madaraka ya kuongoza nchi bila ya kujali maendeleo ya msingi kwa...
  15. Wateule

    CCM Kinafanana na Chama Hiki!

    Kule Egypt kulikuwa na chama tawala kilichoitwa "National Democratic Party (NDP)". Chama hiki kilizaliwa mwaka mmoja baada ya CCM kuzaliwa, yaani 1978. Hiki ndio kile chama kilichotawala Egypt kwa takribani miaka 33 kwa ubabe na hila za kila aina. Hatma ya chama hiki ilikuwa ni mwaka 2011...
  16. Wateule

    Je Wanawake ni Mabingwa wa Kuzuga Kitandani?

    Kama wewe nimwanaume, basi bila shaka unafahamu ile milio na miguno ya wanawake wakati wakujamiiana, na kama wewe ni mwanamke pia unafahamu kwamba huwa unatoa milio namiguno hiyo. Ni nini basi kinachopelekea milio na miguno hii kutolewa? Je miliona miguno hii ni ya kweli au ni zuga tu, ili...
  17. Wateule

    Mjomba Aliyejichimbia Ughaibuni, Apatikana Baada ya Miaka 40!

    Mhindi aliyefahamika kwa jina la Abdulla Punathil Usman amepatikana akiwa mgonjwa hospitalini, nchini Dubai. Usman hakuwa na mawasiliano na familia yake na wala hawakuwa na habari zake tokea asafiri kwenda Dubai miaka ya 70. Akiwa na umri zaidi ya miaka 60 sasa, rafiki zake wa Dubai walianza...
  18. Wateule

    Napendekeza Mabadiliko Wizara ya Mambo ya Nje

    Katika mabadiliko hayo, naomba Mh. Rais ateue kama ifuatavyo: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa: Mh. Jakaya Mrisho Kikwete Naibu Waziri: Mh. Bernard K. Membe Asanteni.
  19. Wateule

    Kama Una Mpango wa Kuoa au Kuolewa, Lazima Usome Hii!

    Je umeshawahi kuwa na mashaka yeyote kuhusu kuoa? Jeunafikiri haupo tayari kuoa? Kama majibu ya maswali haya ni NDIO, basi zingatiamasuala yafuatayo, ambayo yatakusaidia kutambua kama upo tayari kuoa au kamamazingira ya kuoa ni salama kwako. Michele K, mtaalamu wa masuala ya mapenzi namahusiano...
  20. Wateule

    Maalum kwa kina dada:Utajua vipi kama mwanaume hana mpango wa muda mrefu na wewe?

    Hii ni taarifa maalum kwa kina dada. Je, utafahamu vipi kama jamaa hana mpango wa kukufanya mpenzi wake au pengine hata kufunga ndoa na wewe siku moja? Utajua vipi kama jamaa anataka ngono tu, na anakutumia kama kifaa cha kutimiza lengo lake hilo? Mtaalam wa mapenzi na mahusiano, Ethel...
Back
Top Bottom