Search results

  1. O

    Elections 2010 Rais wangu ni dr slaa, my president dr slaa, unanilazimisha that is it

    ameshinda wakaiba, unataka ushahidi, huu hapa waliojiandikisha mil 20 waliopiga kura baada ya kuchakachua mil 8 jk kapata 5 mil dr slaa 2 mil waliobaki wote wako wapi? Nasema rais wangu dr slaa, huwezi badilisha hilo piga ua, dr slaa ur my life president hadi mungu anichukue, ccm jinamizi baya...
  2. O

    Elections 2010 UWIZI WA CCM HUU HAPA. WALIOJIANDIKISHA 20 MIL, JK kapata 5 MIL kawa Rais...!!!???

    Hata mwehu, tahira, or somebody unschooled at all atajua uwizi huu, haihitaji degree, masters degree or PhD ya kweli maana hapa TZ nyingi fake, kujua uwizi wa wazi huu, wala it doesn't need a minute to think such a huge vote rigging, wtu milioni 20 wamejiandikisha, halafu pamoja na kuiba/...
  3. O

    Elections 2010 NEC IFUMULIWE puuuh na BUNGE lijalo , la sivyo upinzani itakuwa ndoto kushinda,

    Ili NEC iwe huru na haki Bunge lijalo ambalo naamini sasa lina wabunge wakutosha kutoka vyama vya upinzani, washinikize WAJUMBE WOTE WA NEC WAPITISHWE NA BUNGE, PIA TAKUKURU, WASIPOFANYA HIVYO NI NDOTO UPINZANI KUONGOZA NCHI, MAANA NEC INAPELEKESHWA NA ALIYE WACHAGUA, HIVYO BASI WABUNGE WAJENGE...
  4. O

    Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

    Mramba kashindwa, period, nasikia NEC wamethibitisha i am serious
  5. O

    Elections 2010 Slaa mbona ana nguvu hivi, duuuh, chadema walifanya utafiti kumbe kweli

    Kumbe kweli CHADEMA walifanya utafiti kabla ya kumweka DR Slaa kugomea Urais maana haya matokeo ya awali yanatisha saaaaaaaaana duuuuh nimeamini, huyu jamaa kiboko, JK aliwaonya Wana CCM mapema kwamba Upinzani wame weka mtu asiye na doa, kumbe JK aliona mapema, aiseeeeee
  6. O

    Elections 2010 CCM Bingwa wa ku copy an ku paste lakini inawashinda

    Miaka ya 1996 while in Primary school, kulikuwa na mwanafunzi mmoja hajui kabisa lolote, yaani ni mbumbumbu, mjinga whatever you call him au Mungu hakumjalia kipaji cha kujifunza, siku moja aliibia mtihani kwa mwenzake aliye kaa karibu yake wa darasa la pili, swali la mtihani lilikuwa hivi...
  7. O

    CCM = zimwi likujualo halikuli likaisha, litaendelea tu kula & kunyonya

    Jamani CCM ni zimwi likujualo halikuli likaisha, litaendelea kutunyonya, kula, halishibi forever, for 49 yrs ndio ufukara unashamiri, but wenye CCM ni Mafisadi, matajiri wakubwa, bali wafanyakazi wote hali ngumu mno, angalia polisi wetu, wanajeshi wetu, madaktari, manesi, walimu, TRL, migodini...
  8. O

    Elections 2010 CCM kabla ya uchaguzi = wanajidai SERVANTS, CCM baada tu ya kuchaguliwa = WAFALME

    :A S new::peace:My fellow home of great thinkers tujadili, CCM wanajidai kabla ya kuchaguliwa wanasema watawatumikia ( SERVANTS ) citizens oohhhhhh soon after election they turn MASTERS, hatuwataki hawa, wanatumia ujinga wa wananchi kama mtaji wao, wanajua watu wakipata elimu hawataweza...
  9. O

    Elections 2010 Obama hakuahidi wala kuitaja Tanzania at UN Meeting, JK Muongo

    JK Why you lie citizens..? Obama hakuitaja wala kuisemea TZ kwenye mkutano wa UN, nashangaa JK anadanganya, we as TZs tunashangaa kwa kusema uongo, mbona una kosa hoja? ahadi zimekwisha..? Jk nikwambie tu KURA ni ngumu saaaaaaana kwako mwaka huu, from Universities, to ordinary citizens una hali...
Back
Top Bottom