Search results

  1. Makylina

    Tatizo la mashine za kutotolesha

    Ya mayai 100 bei gan?
  2. Makylina

    Msaada nianzie wapi kuwashitaki Airtel?

    Habari? Naomba kuuliza utaratibu upi unatumika kufunga laini za wateja? Maana mi laini yangu imefungwa bila sababu za msingi yaan mtu mkishindwana na wahudum wa airtel mtaani basi yeye anakomesha kwa kufunga laini yako? Laini yangu 0688614931 imefungwa na mhudumu wa airtel eti kisa tu...
  3. Makylina

    Badoo & Eskimi pango la wazinzi

    Yupo mmoja sauti haieleweki sijui ni shoga au manzi? Mambo zake ni 0654 626 212
  4. Makylina

    Yani Halotel wanachokifanya ni kutema mate kushoto na kudhani yatadondokea kulia

    Kwann asilipe mbona anajidhalilisha kwa vihela vidogo? Yaan 8000 ndo ya kujitia aibu hivi?
  5. Makylina

    Wauzaji wa T-shirts njooni hapa mchukue pesa

    Tunahitaji t-shirts: tuwasiliane kwa maelezo zaid kama unazo au una mtu unamfaham anaweza kutusaidia kuzipata. Njoo ukiwa na dondoo zifuatazo: 1. Bei kwa tshirt 2. Hizi bei ni printed au not printed!.(ukiprint tutakupa nembo husika) 3. Unapatikana mkoa gani? 4. Nahitaji tshirt 200 size ndogo...
  6. Makylina

    Njoo upate till kwa Tsh 50,000/= tu

    Nilipata dharura mkuu nikawa bush changamoto ya network tigo. Nipo hewan kwa sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Makylina

    Njoo upate till kwa Tsh 50,000/= tu

    Ninauza TILL za: 1. M-pesa = 170,000 2. Tigopesa =140,000 3. Airtel money=55,000 4. Halopesa =50,000 5. Ttcl pesa. =50,000 Bei ni nzuri kabisa na ninapatikana Mbeya mjini. Kama unahitaji wasiliana nami inbox au 0672813467
  8. Makylina

    Tapeli wa mtandao Faustine Shija anatafutwa kwa RB hii MB/RB/866/18

    Jamani kuna jamaa ni mwizi wa mtandao anaitwa FAUSTINE SHIJA anatumia namba 0759543321. Anajifanya wakala wa voda na tigo halafu anaswap laini za watu na kuiba pesa zilizomo humo pia anatafutwa kwa wizi wa TILL za airtel money na tigopesa. Popote umuonapo please toa taarifa kituo cha polisi...
  9. Makylina

    Ninaziuza Till za Tigopesa, Halopesa na Airtel money

    Hujaelewa nini hapo? Ujuaji mwingine bwana unasikitisha wanunuaji utawajua tu na wenye longolongo utawajua kama wewe
  10. Makylina

    Ninaziuza Till za Tigopesa, Halopesa na Airtel money

    Ninaziuza Till za tigopesa,halopesa na Airtel money. 1. Tigopesa = 100,000/= 2. Airtelmoney =60,000/= 3. Halopesa = 50,000/= Serious buyer please wasiliana nami PM nikupe namba kwa mawasiliano zaidi. Mi nipo MBEYA JIJINI
  11. Makylina

    Picha ya kufikirisha weekend hii...

    wewe mwenyewe hapo ni mbishi na umebisha mpaka umeenda ku-google vinginevyo ungeishia kuangalia tu hii post. ajabu hutaki sisi tubishe ili tujiridhishe zaid kama wew
  12. Makylina

    Hii Mikoa Nani Kailoga?

    habar mkuu?. mi nataka kwenda kuishi mtwara au lindi hasa kijijin ili niweze kujishuhurisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na kilimo kwaajili ya chakula. Nimefanya tafiti ili niweze kuona kijiji kipi niende nikapata majibu: 1. Ng'au 2. mtoni kata ya miteja kwa uzoefu wako ni wapi patanifaa? au...
  13. Makylina

    Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga

    Hivi nyie huwa mnasoma kweli kilichoandikwa au mnakurupuka tu?. Wapi kazuia waumini kuhama chama au ndo UJINGA huo alowaita? Acheni ujinga baba Askofu hapendi kabisa
  14. Makylina

    Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga

    1. Hivi baba Askofu amemtaja huyo K. Mkumbo au unajistukia tu!?. Jinga mkubwa wewe 2. Hujaona sababu za Baba Askofu za kuwaita nyie wajinga!?.jinga kabisa wewe 3. Yeye hajasema Mkumbo ndo mjinga wewe ndo unamtaja kwa ujinga wako! Jinga sana wewe
  15. Makylina

    Lindi mpaka mtwara haya!.

    Asante sana boss ngoja nianze kufanya research
  16. Makylina

    Lindi mpaka mtwara haya!.

    Asante Malila, OK vizur nikipita dar au naweza kuingilia songea nikitokea mbeya? Pia hujasema kipo Lindi au mtwara hiki kijiji cha Mtoni
Back
Top Bottom