Search results

  1. JF Member

    Changamoto za SPA za Dar es Salaam kwa Wafanyakazi

    Mnavyoita Jina zuri Sasa. Sema.. Ngono a.k.a mizagamuano.
  2. JF Member

    Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

    Usipende kukaa peke yako. Jiweke Karibu na Mungu Oa.
  3. JF Member

    Je, huu ndio mkakati mpya kupambana na asiyekuwepo?

    Hadi kwenye dini? Kuna kitu Samia anatengenezewa nae anaingia. Itafika mda Mungu atamkataa.
  4. JF Member

    Kupunguza umasikini nchini kila familia ipeleke kijana mmoja ughaibuni akapambane huko

    Hapo kwenye NB tu nimeshusha thamani ya Uzi wako.
  5. JF Member

    Watamsingizia tena Magufuli? Udiwani washindwa kata zote

    Walipewa Ruzuku wakatengeneza mikutano, wakazunguka ili walipane vizuri. Ikaisha sasa wanasubri nyingine tena.
  6. JF Member

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Kizimkazi ametafutiwa pa kutukaniwa siku akiondoka kazini.
  7. JF Member

    Tanzania tunaweza tukalisha Robo ya Dunia kama yatafanyika Mapinduzi kwenye Kilimo

    Mtaala umejaa Arabic na Islamic na Divinity - Kilimo kitaishia kwa babu zetu.
  8. JF Member

    Kwa kikotoo kile hakuna siku utalipwa mafao yote

    Mwaka jana nilibahatika kuangalia mfumo wanaotumia kufanya mahesabu ya wastaafu. Kikubwa nilichokiona ni kwamba, wafanyakazi hawawezi kulipwa mafao yote baada ya kustaafu. Mfumo/Kanuni yenyewe iko hivi; 1. 1/580 * N *APE*12.5*33% 2. 1/580 * N *APE*1/12*67% UFAFANUZI 1. Kanuni namba moja...
  9. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Mwanza wanajambo lao, fuatilia.
  10. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    So what, Nyerere alienda ulaya, akarudi kwenye jeneza
  11. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Hiyo ni yako tu.. Mimi nimeshamaliza kufikisja ujumbe. Mkuu wa Majeshi ni cho kikubwa sana.
  12. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Pole sana. Mungu akufariji. Mimi siku natangaziwa na umri wangu huu eti sikuamini kama kweli kafa.
  13. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Mwamba anawatesa sana.
  14. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Kwamba husomi mitandao ukaona?
  15. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Mkuu wa makeshi kwa kawaida anatakiwa kulilia tumboni. Akimwanga machozi nje ni kiwango Cha juu Cha huzuni, kimevuka mipaka
  16. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Angalia vedio yaku. Utapata jibu mwenyewe. Na ulivyo na Roho mbaya zidi ya marehemu unatamani afe Tena huko aliko.
  17. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Mfumo wa nchi hii.. huko mahakamani ni Bure kabisa. Bora tu aliamua Kutumbua.
  18. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Wewe na Prof Kabudi nani mwenye shule ndogo?
  19. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Heheheh ... amechelewa sana.
  20. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Nimeliganisha wapi?
Back
Top Bottom