Search results

  1. masimango

    Natafuta ushauri kuhusu software nzuri ambayo ntaweza kuitumia kweny ku run microfinance

    Habari za majukumu wana Jamiiforum Nina mpango wa kuanzisha microfinance co. Ndani ya mwaka huu na nilikuwa naomba ushauri juu ya software/accounting package nzuri ambayo naweza kuitumia kuendesha hiyo microfinance. Ni matumaini yangu wana jamvi mtanishika mkono kweny hili. Natanguliza...
  2. masimango

    Jinsi ya kuboresha usomaji vitabu

    Habari za kazi wadau wa jukwaa hili Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea salama kabisa na juhudi za kulijenga Taifa letu. Leo naomba tushirikiane kwenye hiyo mada tajwa hapo juu ili tuweze kuboresha usomaji wetu, usomaji huo unaweza kuwa wa vitabu au majarida mbalimbali. Naomba kujua kwa wale...
  3. masimango

    Software Nzuri Kwa Ajili Ya Kuombea Mkopo

    Habari za majukumu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mnaendelea salama kabisa na juhudi za kulijenga Taifa letu. Mimi naomba kuuliza kuhusu wapi naweza kupata software nzuri ambayo naweza kuitumia kwenye biashara ya mikopo kwa wafanyakazi katika mikoa na wilaya mbalimbali. Pia, naomba kujuzwa ni...
  4. masimango

    Ushauri kuhusu software nzuri kwa ajili ya kuendesha microfinance

    Habari za kazi wakuu, Heshima kwenu sana. Naomba ushauri kuhusu Software / Accounting Package gani nzuri ambayo ntaweza kuitumia kwenye kuendesha Microfinance. Nitashukuru sana nikipata ushauri wenu..
Back
Top Bottom