Search results

  1. Ben Zen Tarot

    Akili ni mali

  2. Ben Zen Tarot

    Hapa ni wapi?

  3. Ben Zen Tarot

    Jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii bila bando

    Watu wengi mmekuwa mkitumia pesa nyingi kuweka bando wengine mkikosa bando mnakuwa wapweke sana leo nitakufundisha jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii bila kuwa na bando[emoji91] KUNA NJIA TATU ZA KUTUMIA MITANDAO BILA BANDO Nitawafundisha njia moja 1 kwanza kabisa hakikisha simu yako haina...
  4. Ben Zen Tarot

    Mnaosema landcruiser v8 inakula mafuta mlifanya wapi uchunguzi?

    Wakati hiyo ukiweka lita 13 tu inatembea kilomita 100
  5. Ben Zen Tarot

    Wanawake mnaotaka wanaume wenye hela baba zenu wanazo?

    Kutoka kwa muigizaji Jimmy Mafufu amefunguka na kusema haya "Hivi Nyie Wanawake Ambao Kila Mkihojiwa Na Waandishi Wa Habari Mnasema Mnataka Wanaume Wenye Hela Mara Ooh Mie Mwanaume Asiye Na Hela Simtaki Mambeghesi Zenu, Hivi Baba Zenu Wangekua Na Hela Mngekua Mnahangaika Na Kudhurura Mitaani...
  6. Ben Zen Tarot

    Rosti la nyama bila viungo vingi

    Mahitaji Nyama kilo moja Tangawizi na thomu viwe vimesagwa kila kimoja ujazo wa nusu kijiko cha chai Kitunguu maji kimoja kikubwa kikatwe katwe Nyanya maji kubwa tano Limao kiasi Mchuzi mix masala kijiko kimoja cha chai Pilipilimbichi ya kusaga kiasi MAPISHI Safisha nyama, kamulia...
  7. Ben Zen Tarot

    Rosti la viazi mbatata na nyama

    MAHITAJI 1.Viazi mbatata kilo moja 2.Nyama ya ng'ombe kilo moja 3.Nyanya maji kubwa nane 4.Tomato paste vijiko viwili vya chakula 5.Vitunguu maji viwili 6.Karoti kubwa moja 7.Kitunguu saum kilichosagwa kijiko kimoja cha chakula 8.Binzari nyembamba ya unga nusu kijiko cha chai...
  8. Ben Zen Tarot

    Huyu ni samaki wa aina gani?

  9. Ben Zen Tarot

    Namna ya kukaanga yai kitaalamu

    MAHITAJI 1. Mayai matatu makubwa 2. Maji ya uvuguvugu vijiko viwili vya chakula 3. Pilipili manga nyeupe ya unga kidogo 4. Chumvi kidogo 5. Siagi 6. Mafuta ya kupikia MAPISHI 1. Pasua mayai tia katika bakuli, tia humo chumvi, manga, na maji ya uvuguvugu 2. Katika moto wa wastani weka kikaango...
  10. Ben Zen Tarot

    Ufahamu uchawi wa zongo au kijicho na jinsi ya kujinasua

    Zongo ni aina ya uchawi wa kijinga na mwepesi kabisaaa kufanyiwa,uchawi huu hupendwa sana na wachawi wa mikoa ya Tanga na morogoro sehemu za Turiani na baadhi ya sehemu za mombasa,yaani huku uchawi huu ndiyo nyumbani kwao. Wachawi wafanyaji wa uchawi huu huweza kukuathiri kwa kukuangalia tuu...
  11. Ben Zen Tarot

    Kifahamu kitabu cha kishetani

    Kitabu Hiki Kinaitwa The Necronomicon, ni Kitabu cha Kishetani Kilichoandikwa Miaka 1500 Iliyopita. Inaelezwa Kuwa Vitu Unavyosoma Humo Hukutokea Kweli Kihisia, Inaelezwa Mwanandishi wa Kitabu Hicho Hakuwa Mtu wa Kawaida, Waandishi Wengi Waliokitafsiri Wamekuwa Vichaa. Hiki ni kitabu cha imani...
  12. Ben Zen Tarot

    Huyu ndiyo Bruce Lee

    Bruce Lee aliweka rekodi ya dunia baada ya kupiga 'push up' 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja na kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti chembamba cha kulia chakula (chop stick). Bruce Lee alizaliwa tarehe 27 november 1940 California, Marekani na alifariki tarehe...
  13. Ben Zen Tarot

    Tutafanyaje hapa?

    .
  14. Ben Zen Tarot

    Kanye West kafirisika lakini anaweza kutajirika zaidi ya alivyokuwa

    Ingawa binadamu hatupendi kutangaza mafanikio ya watu ukweli ni kwamba Kanyewest anakwenda kutajirika kwasababu United (benki inayomilikiwa na watu weusi) imempa nafasi ya kuwekeza pesa katika benki hiyo. Rasmi ana udhibiti wa 100% juu ya brand yake ya Yeezy. Ana zaidi ya dollar milioni 800...
  15. Ben Zen Tarot

    Unahisi hili basi linakwenda wapi?

    .
  16. Ben Zen Tarot

    Ulimwengu ni kama Google unachokitafuta (search) ndio huja karibu!

    Ebu itazame mifumo ya mawasiliano ya sasa ya compyuta au hata simu Janja za siku hizi, ingia katika kutafuta chochote huko Google! Utakapo uliza chochote swali lako halitakuwa na mipaka, yaani jambo lolote linalo endana na swali lako hujitokeza juu ya ukurasa ili uchague jibu lako....na vile...
  17. Ben Zen Tarot

    Hii pesa ni Tsh. ngapi kwa Tanzania?

    .
  18. Ben Zen Tarot

    Safari kutoka Mwanza mpaka Dar

    MWAKA 1920 Safari ya kutoka Mwanza hadi Dar ilikuwa inachukua siku 67.
  19. Ben Zen Tarot

    Je, inawezekana binadamu akajua Mambo yanayoweza kutokea baadaye?

    Kuna movie moja niliangaliaga Zamani (jina nimelisahau) watu walikuwa wakisafiri kwenye bus, abiria mmoja akiwa na familia yake akaomba ashuke baada ya hapo bus likatumbukia mtoni. Lakinu pia kweli kabisa zipo dawa ambazo huwapa watu uwezo wa kuyaona mambo yao katika ndoto kabla hayajatokea...
Back
Top Bottom