Search results

  1. mpalu

    MSAADA: TIBA YA KELOID

    Wakuu kuna hili tatizo linalotupata baadhi ya watu ambapo kovu huendelea kuongezeka baada ya kidonda kupona na kuwa uvimbe.Hasa makovu ya mabegani,mashavuni,kifuani. Makovu haya wakati mwingine huambana na muasho na maumivu.Na mara nyingi ukifanya upasuaji huwa zinarudi tena. Kwa anayefahamu...
  2. mpalu

    Ni kweli kufanya kazi za ndani ni jukumu la mwanaume?

    Hakika imepitwa na wakati ni ya mwaka 1971 ..mila na desturi za kipindi hicho ..Mke alikuwa ni mama wa nyumbani zaidi ..wengi hawakuwa wanajitafutia vipato binafsi ...
  3. mpalu

    Ni kweli kufanya kazi za ndani ni jukumu la mwanaume?

    Anapotosha tu ..mume anapaswa kuitunza familia kwa kuipatia chakula..mavazi na sehemu ya kuishi/accommodation.
  4. mpalu

    Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

    2013 lakini hapo imesemwa GSM KAANZA umiliki wa eneo hilo 2016..ina 2013 hakuwa mmiliki wa hilo eneo
  5. mpalu

    Bachelor sugu naomba ushauri wenu wakuu

    🤣🤣🤣😂😂🤣
  6. mpalu

    Ni umri gani hutakiwi kuvuka kabla ya kupata mtoto wa kwanza?

    Relax maisha haya unafikiri yana formula mkuu ..basi tu ......ukianza kuwazawaza haya mambo ni kujipa pressure tu....relax ishi maisha yako
  7. mpalu

    Ni Nani hasa Mwenyeji wa Zanzibar? Je, ni Muafrika, Muarabu, Mshirazi au wote?

    ........MJINGA ANAWEZA KUWA HATA NA Phd, IKIWA ANATUMIA AKILI BANDIA Watanganyika leo hawaijali mali yao ....WATANGANYIKA WA LEO WALIKUWEPO ENZI HIZO? Kwa hiyo hawa wavuvi wa pwani ya TANGANYIKA ya sasa hawakuwa wanajua kabisa kuvua zaidi ya kilimo tu na kuwinda? Jamii za enzi hizo kila jamii...
  8. mpalu

    Dkt. Slaa: Kipaumbele cha Hayati Rais Magufuli kilikuwa kuwainua Watanzania

    Kuna wale wa MADUKA YA KUBAILISHIA FEDHA pia
  9. mpalu

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Ha ha ..weeeeeh ..lazima Watanganyika lazima wapandishe mashetani ..hapo umesahau Katibu Mkuu ..Jaji Mkuu ..Gavana BOT ...katibu Mkuu CCM...N.K
  10. mpalu

    Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

    Mungu akaufanya moyo wa Pharao kuwa mgumu ......
  11. mpalu

    Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

    Inapatakanaje mkuu
  12. mpalu

    Uchaguzi 2020 Chini ya CHADEMA, elimu ya msingi itakuwa miaka tisa

    acha uongo ....eti kusajiliwa na club kubwa ....kwa hiyo kusajiliwa club kubwa ni zao la mfumo wa elimu moja kwa moja basi ...hayo ni matokea ya Kipaji ....hapo chini ni jedwali linalezea mfumo wa elimu wa marekani na miaka inaonekana . halafu nini kinakusahangaza mtu kuwa chekechea akiwa na...
  13. mpalu

    Uchaguzi 2020 Chini ya CHADEMA, elimu ya msingi itakuwa miaka tisa

    sio India tu ..kwani hawa watoto wa medium wnaanza kwenda madarasa ya "baby class/day care" wakiwa na miaka mingapi ...
  14. mpalu

    Thanks to Dating Apps, leo kutongoza imekua kazi rahisi sana, madomo zege mpewe nini zaidi?

    Uzuri siku hizi ..hamna kutongozanazana kiivyo ...pata namba ...viutani vya hapa na pale ..dear..my dear ...imeishaaaa hiyoooooo
  15. mpalu

    Wakili maarufu Arusha Matatani kwa kuendesha Dangulo la Ngono .

    Wivu tu huo wa Kibiashara ...na Hiyo Picha Ni ya Marehemu Wakili Nyaga Mawala ...yaani umekurupuka humjui hata Bariki Mwenyewe ..Pale kuna club na Lodge na Ni mtaaa mzima upo hivyo hivyo ..Mabar na Lodge ...Sasa ukipiga Vyombo vyako ukabeba chombo ukaenda kulala hapo ndiyo inakuwaje Danguro...
  16. mpalu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tukio ni Bonfire pale Saut
  17. mpalu

    Ananiongopea kwamba ni bikra pamoja na mimi kutouona ubikra wake

    MKUYENGE, Wewe mpaka sasa umeamje ....unampenda?au unuzuga zuga naye ? ila kwa mtu ambaye anaridhika na huduma anampotezea ila huduma huduma inakidhi vigezo
Back
Top Bottom