Search results

  1. M

    Ni utaratibu gani wa kufanya nikitaka kubadili jina kisheria

    Jamani na mimi ninashida hiyo naomba msaada, ni kijana mwenye 31 yrs, nililelewa na baba wa kambo mama aliniandikisha kwa jina la baba wa kambo kwenye birth certificate, sasa nimekuwa yule baba alifariki na mama pia so najiona sibelong kabisa huko kwa baba wa kambo kwani wananitenga na mama...
  2. M

    Elections 2010 Utafiti wa Synovate wabadilishwa kuisaidia CCM?

    Kumbuka mambo yanaenda yakibadilika kila siku, miezi sita iliyopita CHADEMA kabla Dokta Slaa hajatambulishwa mgombea urais haikuwa CHADEMA ya leo, kila siku kuna mabadiliko makubwa watu wanazidi kujua mengi na wanabadilika pia kutokana na awareness. Sipingi wala kukubali tafiti hizo bali nataka...
  3. M

    Elections 2010 Utafiti wa Synovate wabadilishwa kuisaidia CCM?

    Kwa kweli tuwe tunaongea kwa uhakika humu ndani, ninavyofahamu synovate ilikuwa ikidhaniwa kukibeba chama tawala hii ni SAWA. Synovate imepata kazi kutoka shirika la kimataifa kufuatilia vyombo vya habari vinavyoripoti uchaguzi hii pia sawa Waandishi wa habari wakaanza kulalamika kwa nini...
Back
Top Bottom