Search results

  1. B

    Natafuta Karatasi za kaki

    Habari wakuu, Nilikuwa natafuta mtu/kampuni inayosupply karatasi zile za kaki zinafanana na mfuko wa karatasi au bahasha. Wapi zinapatikana au mwenye mawasiliano msaada tafadhali.
  2. B

    Sufi/sufu inapatikana kwa wingi mkoa gani?

    Kuna Rafiki yangu flan amenipigia simu kutoka Botswana anahitaji Sufi au sufu lile zao linalofanana na pamba. Kiufupi ameniambia anahitaji tone 60 kwa awamu hii ya kwanza then awamu ya pili atahitaji tone 140 december mwaka huu. Tone 1 anainunua kwa Tshs 600,000 na haijalishi upo mkoa gani...
  3. B

    Harufu ya ajabu kwenye kitunguu maji,pilipili na mahindi mabichi

    Serikali tunaomba mtumie wataalamu wa kilimo mchunguze kuna kitu siyo cha kawaida kinaendelea kwenye sekta ya kilimo. Kuna harufu ya ajabu inajitokeza isiyo ya kawaida kwenye kitunguu maji,pilipili (mwendokasi)na mahindi mabichi.Hii harufu sijui ni ya kitu gani na sijui inasababishwa na nini...
  4. B

    Kwako Mzee Yusuph

    Anaandika:Khatib Imran Abu Khalil. NARUDI MJINI. KWAKO MZEE YUSSUF. Kama ilivyo kawaida yangu kuyafanyia kazi agizo la Mtume saw la kunasiana. Basi namie nakunasihi kama Muislam mwenzako, juu ya maamuzi yako ya kurudi katika kueneza uchafu kwa kupitia muziki wa kishetani, kama ulivyoita...
  5. B

    Wapi naweza kupata nguo za mtumba kwa Dar?

    Wakubwa anaejua chimbo za kulenga mitumba nguo hasa kadet,viatu nk kwa jumla anisaidie.
  6. B

    Wewe Kocha wa Aston villa... safu yako ya ushambuliaji kuna tatizo hapo umeligundua?k

    Sisi wadau hatuongei sana na hatukufundishi ila utakuwa ushaelewa kinachoendelea hapo Mbele....hivi ana matatizo gani huyu kijana wako Glealish? Sasa kaa na kijana wako umwambie kabisa kwamba hicho kitabia chake cha kike wadau hatujakipenda!!! Ahsante.
  7. B

    Ni binadamu gani anayeongoza kwa kutajwa sana?

    Tangu binadamu wa kwanza kuumbwa,au tangu ulimwengu huu uanzishwe je unadhani ni binadamu/mtu gani anayeongoza na anayeendelea na ataendelea kutajwa tajwa sana sana na walimwengu kuliko binadamu yeyote? kwa wema au kwa ubaya haijalishi awe amekufa au yupo hai,pia haijalishi alikuwa ni nani...
  8. B

    Wazee wa Etihad, nini kifanyike kesho tutoboe UEFA?

    Hali tete sana .... kama una la kumshauri Guadiola hebu weka maoni yako hapa huenda kuna mtu akayaona akampelekea ili ayafanyie kazi kesho.
  9. B

    Interview ya kwenye skype ni balaa!!!

    Wakuu nina kifahamu kiingereza vizuri tu japo si sana ila nina matatizo kidogo kwenye hii lugha ,matatizo yenyewe ni haya: (1)Juzi kati nilibahatika kufanya interview katika kampuni flani hivi ya kigeni,ila interview ile iliendeshwa kwa njia ya skype,yaani me nipo dar nimekaa meza moja na watu...
  10. B

    Hii dawa ya mseto mbona vituko!!!!

    Hii ni kama mara ya tano sasa kila ninapojiskia malaria madaktari hunishauri kutumia dawa ya malaria ya mseto,ila cha ajabu kila ninapomeza dawa hii ya mseto hamu ya kufanya mapenzi huwa ipo juu sana kuliko kawaida hali ya kuwa ninaumwa hadi wife huwa anashangaa kwa nini ninaumwa lakini...
  11. B

    Man city:Ubatizo wa Moto mnaoutoa sasa hivi Epl uhamishieni Uefa.

    Ni dhahili sasa hv City ndo bingwa Epl na hili hata sisi haters by nature tushalikubali ....ombi langu kwako Guadiola,mpaka sasa ushatupotezea ladha ya Epl.....huku tulishazoe big four watu wanapishana point 2 au 1,sasa mpk dk hii kupenda sifa za kijinga eti ushakumbatia point 14 zaidi, Sasa ni...
  12. B

    Kutana na vijana waliowahi kulala usingizi wa miaka 309 nchini Jordan

    Na:A.M KITOTA ASWHAABUL KAHF: A SCIENTIFIC APPROACH Ni takribani karne 14 sasa tangu hali za watu wa pangoni zilipofunuliwa ndani ya Qur’an. Na ni hivi punde tu katika kizazi hiki (mwaka 1923, 20th century) ambapo mwanamiamba wa Kijodan Rafiq Wafa Ad-Dajani alipogundua mahali ambapo panga...
  13. B

    Wataalamu wa movies

    Wakubwa Mimi ni miongoni mwa wapenzi wakubwa wa kucheck movies,ila movies ninazozipenda ni action,vita na zile za kutisha japo Mara nyingine huwa napenda pia tamthilia za kisiasa sna ujasusi za Korea.Maswali yangu kwenu wataalam hv 1)Zile halaiki au makundi makubwa ya watu tunaowaona ktk vita...
  14. B

    Picha za millard Ayo

    Binafsi huwa nashangaa je ni kwanini magaazeti karibu yote picha zinazotumika iwe ni front page au Habari za michezo huwa na logo ya millardayo.com,ina maana Millard ndo mwenye wajibu wa kupiga picha na kusambaza kwenye magaazeti au hayo magaazeti hayana waandishi wao wa kupiga picha?...yaani...
  15. B

    CUF KUKUTANA DAR KUJADILI KHS MAREJEO YA UCHAGUZI ZNZ

    Kufuatia tangazo jengine la kihuni lisilozingatia Katiba wala Sheria la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kutangaza tarehe 20 Machi, 2016 kwamba ni siku ya kile anachokiita uchaguzi wa marudio Zanzibar, Chama Cha Wananchi (CUF) kimeitisha vikao vya juu vya...
  16. B

    Playstore kushindwa ku'download apps

    Habari wakuu Naomba mnisaidie,nilikuwa natumia whatspp kwnye hii cm yangu na sasa whspp imexpire..sasa kila niki'update inaload tuu,pia nimejaribu ku'unistall whtspp na nikaenda kwenye playstore ili ni'stall new whspp version lkn bado inaload tu haimalizi..pia hta nikidownload app yyte kwa...
  17. B

    Biashara ya Jezi za Mtumba, Nianzie wapi?

    Wakuu ndg yenu nahtaji kufanya biashara ya kuuza jezi za football za mtumba kutoka ima iwe ulaya au asia,je nianzie wapi? Yan sijui ni wapi nitanunua kwa jumla na kwa shngapi na je hii biashara INALIPA? Nina mtaji wa mil 1 nipo iringa.
  18. B

    Wosia aliouacha prof Muhongo mmeuelewa?

    Katika series ya zilizala la escrow linaloendlea kupukutisha vigogo,leo ktk zamu ya prof Muhongo kufungasha virago kuna maneno machache kawaachia watz kwamba yeye anaondoka lakn wananchi muwe makini na RASILIMALI YA GESI HUENDA IKAWAFAIDISHA WATU WACHACHE NA FAMILIA ZAO TU..sasa me najiulza...
  19. B

    Milipuko ya mabomu, risasi, maghorofa kuanguka

    Kuna maswali huwa najiuliza ndg zangu kuhusu hz movies hasa za hollyood tunazoangalia hv yale matukio ya miliko mikubwa,maghorofa marefu kunguka,watu uchinjwa utumbo,maini na damu nyingi kumwaika hivi yana ukweli kiasi gani? Wengi wanasema kwamba ni 'utundu' maalum wa computer unatumika...
  20. B

    Rangi nyekundu na nyeupe kwenye minara

    Wakuu me bado mshamba kdg kuhusu hz rangi nyeupe na nyekundu kwenye minara ya simu nk,hv huwa zinamaanisha nini wandugu,mbona cjawah ona rangi nyeusi,blue,kijani na nk?
Back
Top Bottom