Search results

  1. mjukuum

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Nilianza kumpuzaa alipopewa ten m pale Arusha akamsujudia nikamwonea huruma aliposema mondi ni mchungaji
  2. mjukuum

    Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

    Ni mkoa ambao sijawahi kuwaza kutembelea
  3. mjukuum

    Dodoma ni kutamu jamani

    Moja ya mikoa ambayo sasa naiweka kwenye ratiba zangu nikipata hata pumziko la siku Moja ni dodoma aiseee Kuna sehem Kuna supu ya ulimi ni noma kweli kweli[emoji28][emoji28]
  4. mjukuum

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Aisee kwann usiandike kitabu unaonekana kama umefupisha TU hapa
  5. mjukuum

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Swali langu Kwa mabeo ni akina nani hao walikuwa wanataka kuizunguka katiba na kwann nae aliamua kukaidi agizo la amri jeshi mkuu
  6. mjukuum

    Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

    Hata ikiwa Bure labda nisiwe na kazi kama baba levo
  7. mjukuum

    Mwamba ajenga fremu kituo cha mwendokasi Mbagala licha ya kupigwa stop na serikali

    Ninapita pale Kila siku na ninajiuliza Kila siku yaani Kuna watu wababe aiseee na ninadhani mfumo wetu uko hoi sana na anzia kwenye pale kwenye soko la zakihem hazifunguliwa kumbe Kuna wajanja walishanikabidhi kabla ya kuwapa wale waliokuwepo k Mwanzo akili za ccm na serikali yake zimekwama...
  8. mjukuum

    Mimi kama muislamu najiuliza, Haji Manara alienda Macca au Makambako?

    Umejibu kirahisi sana na Kuna watu watakuona kama chawa wake ila huna elimu ya uchawa
  9. mjukuum

    Dodoma: Ajimwagia mafuta ya taa na kujichoma moto mpaka kufa

    Nataka kuuliza nani kajua kajichoma je kama Kuna mtu amefanya ya kibwetele Kikubwa Mungu atusaidie
  10. mjukuum

    Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

    No bad ila umeniwahi Nawatakia Heri ya Christmas [emoji319] na mwaka mpya Kwa Wana wooooooote niliowakuta humu na walionikuta humu Niko kitambo na Mimi tangu 2018
  11. mjukuum

    Huu mwaka 2023 nakubali nimekwama

    Pole sana mkuu inawezekana ofisi ulifungua kinyume na location [emoji17][emoji17][emoji17]
  12. mjukuum

    Kila mwenye kuvuta pumzi ya bure, na apite hapa kusifu na kushukuru

    Mungu uaminifu wake kwangu siwezi kusogeza hata hatua Moja bila uwepo wake
  13. mjukuum

    Madanguro yanayovunjwa na RC wa Dar ni kiduchu kwenye biashara moja kubwa sana

    Kazi hii kumbe hata mwalim Nyerere aliacha huyu mpiga kelele Kila siku hakuna anaweza fanikisha wanapenda kusumbua watu bila sbb za maana Kuna Ile alisema kuhusu mabasi kuwa na ofis zao nje ya kituo kikuu Cha mbezi alisema watamtambua Kiko wap
  14. mjukuum

    Hakuna Kiongozi Mbovu nchi hii kwa sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

    Hakuna alochofanikiwa mpka sasa alianza kusema mabasi ya mikoani hakuna kuwa na stend zao binafs kelele zake watu wakaishia kumcheka ikaisha mpka sasa
  15. mjukuum

    Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

    Nimecheka sana aisee wakadhani wakijifananisha na wazungu watakuwa salama
  16. mjukuum

    Tatizo ni yule Binti hajiamini!

    Kumbe mafumbo ruhusa
  17. mjukuum

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Nicheki dm tumsaidie huyo ndg yako
Back
Top Bottom