Search results

  1. M

    Kimaadili ya Kihasibu: Je, CAG alikuwa sahihi?

    Unataka kusema ulielewa kazi ya uhasibu kumzidi mwalimu wako? Au njaa inauma unasaka tonge? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Nini tatizo la RC Mrisho Gambo na wasaidizi wake?

    Gambo ni kiongozi na sio mtawala jamaa namkubali sana sana, amejaliwa hekima na busara Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Ufisadi serikalini waota mizizi chini ya Rais Magufuli

    Punguza bangi, report ya CAG ni ya kitaaluma, anachokiandika anaambatanisha na ushahidi, usilete mihemko kwenye mambo ya kisomi. Rudi darasani... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

    Hao wanahaingaika kutuchonganisha,nawahakikishia hawataweza. Asiyejua umuhimu wa amani asiende mbali angakieni hapo DR Congo. Tanzania tunapenda amani kuliko kitu chochote
  5. M

    Patrick Mfugale awa Mkurugenzi mpya TANROADS

    Huo ndio urafiki Wa kweli ,ukipata unamkumbuka mliyepiga naye msoto
  6. M

    Mheshimiwa rais Magufuli unazipataga wapi zile fedha unazogawa kama pipi?

    Mleta post unasumbuliwa na wivu na njaa ,tafuta chakula ule acha roho mbaya
  7. M

    Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

    Waondoke tukaze mkanda, vya bure vinaua wanaboa sana na misaada yao
  8. M

    Je, Mrisho Gambo amekuwa wa kwanza "kuokoka" miongoni mwa wateule wale!?

    Kijana ana hekima na busara wala hana majivuno, pia anajua kuongoza
  9. M

    Je, Mrisho Gambo amekuwa wa kwanza "kuokoka" miongoni mwa wateule wale!?

    Mrisho Gambo ni kiongozi mzuri, hata hotuba zake zinavutia sio mtu wa majigambo
  10. M

    US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?

    Sio kirahisi hivyo kuwa unaweza kuwa isolate hao jamaa halafu ukapiga hatua.... Eti unasema watunyime tu.... Not easy... Ni nani aliyewahi kuwatunishia misuli hao jamaa akatoboa?... Tucheze game hii kwa akili tutaumia wala haichukui muda..
  11. M

    Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

    Ila Mbowe nafasi yako ungetafuta mrithi, kila chaguzi ni wew tu. Wengine hawapo?
  12. M

    Julius Mtatiro uko wapi?

    Katika watu ambao sikuwahi kudhani ni wachumia tumbo ni Mtatiro, nilijua heshima aliyopewa CUF ni kubwa na labda yeye ndiye angekuwa mrithi wa akina Lipumba na maalim Seif huko badae. Zitto peke yake ndio namuona atafia upinzani wengine siwaamini sana,.
  13. M

    Utafiti: Tanzania ni moja ya mataifa yenye watu wavivu sana Afrika

    Si kweli, waseme wametumia vigezo gani
  14. M

    Mchakato wa Mwl Nyerere kupata daraja la Uenyeheri na hatimae kuwa mtakatifu-KINACHOENDA mpaka hivi sasa.

    Kama utakatifu wenyewe anautoa mwanadamu, mbona tayari kashapata. Vikao vya nin hapo...
  15. M

    Tetesi: Wabunge wawili, watahama upinzani punde

    Hama hama sio habari mpya tena
  16. M

    Ester Bulaya: Serikali iache kutumia nafasi yake kukopa fedha kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii na kufanyia miradi isiyo na tija

    Wao wameshiba hao, wanasubiri posho za kuzunguka kwenye makampuni kuwarubuni watu, kwa ahadi eti watafaidi wakiwa wazee
  17. M

    Wabunge wamewasulubu wapiga kura wao

    Umetema vitu vizito ,kwa mwenye kuelewa na kusikia atachukua hatua
  18. M

    Waziri Jaffo: Mgema akisifiwa. Tembo hulitia maji

    Jafo unapotea ni ngumu sana kuwaambia watu waache utamaduni wao, watakuona mbaya. Dili na mengine bro hili utapotea. Kuna siku nilikuona airport Dar kumbe ningekupa mkono ungenitosa.... Ningekuchukia maisha yote na ningehisi ni dharau ya madaraka
Back
Top Bottom