Search results

  1. M

    Namtafuta Neema Thomas

    Namtafuta huyu Dada Anaitwa Neema Thomas. Miaka ya 1995 Alikuwa anaishi kwa Mzee Tenga, Bomboa Area Tanga. Ni mwenyeji wa Muheza.
  2. M

    Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

    Wapi linapatikana nalihitaji
  3. M

    CAG: Kampuni zote za madini hazijawahi kulipa kodi kutokana na faida, hapa kuna tatizo

    CAG kadanganywa na watu wake. GGM wanalipa kodi hizo na kwa miaka 5 mfululizo GGM wamekuwa wakipokea zawadi wa kuwa walipakodi wakubwa. GGM wanalipa Cooparate taxi ya 30% kila mwaka. Sasa CAG sijui anamaanisha nini kuwa hakuna mgodi unalipa kodi kutokana na faida.
  4. M

    Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    Kwa taarifa yako tu. Hayo makontena hayajakamatwa. Hayo makontena yako hapo tangu rais alivyotoa zuio la kusafirisha mchanga ya migodini nje ya nchi. Wakati agizo linatolewa makontena hayo yalizuiliwa kusafirishwa. Hivyo hiyo sio habari tena.
  5. M

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Kimsingi Harriers na Lexus hadi 2008 ni gari sawa. Lezus ilikuwa ni kwaajiri ya soko la Marekani zaidi. Lkn gari hiyo hiyo ilikuwa inatengenezwa kwa hina la Harrier kwa soko la japan. Kuanzia 2008 kuendelea Lexus sasa hivi inatengenezwa Japan na zimekuwa brand 2 tofauto lkn ni mali ya Toyota...
  6. M

    Machungu ya kubadili vifungu vya katiba ya ccm yaanza kuonekana

    Jeuri inayoneshwa na jpm juu ya uharifu wa Bashite inatokana na ukweli kuwa hakuna mtu wa kushindana naye katika kinyang'anyiro cha muhula wa pili cha urais. Maana kuna wana ccm wengi kitendo cha leo hawajakubaliana naye. Lkn sasa watafanyaje na ndio wameingiwa mkenge wa kubadili kifungu cha...
  7. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Asante. Niwajibu wetu kushukuru. Unajua ningeliweza kuuliza na watu wakakaa kimya na ni haki yao. Lkn mtu anapotoa muda wake na kukushirikisha kuona ni vyema akuahirikishe kile anachokijua hatuna budi kushukuru kwa utu wake na uungwana wake wakujali wengine.
  8. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Vipo volvo xc90 za 2004 hapa mjini nazo ni shida?
  9. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Asante mkuu. Nikushukuru kwanza kwa kwa ushauri wako na uvumilivu wako kwa maswali yangu. Yawezekana maswali mengine yalikuwa ya level ya chini kabisa lakni hukujali. Pamoja na wengine mliochangia juu ya maswali yangu. Michango yenu imekuwa ya manufaa kwangu na naendelea kuipokea. Nimejifunza...
  10. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Asante mkuu. Lkn naziona ziko chini sana na mie napenda iwe juu kiasi kama Rav4 hivi
  11. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Hahhaha. Nimependa hiyo "kwani unataka kufanya school basi." Mkuu nina watoto 2. Sasa nikiwa na watu wazima wa kubeba mbali na mke wangu naona kama itabidi nyuma wapakatane. Hivyo ndio maana natafuta 7 seaters ili siku nikiwa na wageni wasio na isafiri na ikalazimika kupanda wote na familia...
  12. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Shukurani kaka Mshana. Naomber ushauri wako tena. Kluger 2.4 na Suzuki escudo aliyoiongelea hapo juu. Hipi ni nzuri zaidi. Bajeti yangu haizidi 25m. Lkn nahitaji gari ya juu (midsize suv kama kluger na suzuki escudo) iwe ni 7 seaters.
  13. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Shukrani mkuu. Hii Suzuki Escudo inapatika kwa 7 seaters?
  14. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Kaka nimeichungulia kwenye mtandao. Naam inaonekana ni nzuri ila bei imesimama.
  15. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Vipi kuhusu spear na ulaji wa mafuta. Kwa mtu wa kawaida anaimudu kuifanyia matengenezo yake yanvyotakiwa. Maana napenda kutunza vitu vyangu viwe safi muda wote.
  16. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Nashukuru sana kwa ushauri wenu. Je ni gari gani nzuri ambayo ni 7 seaters kwa familia. Namaanisha hizi suv size ya kati.
  17. M

    Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Habari zenu wakuu. Nimeona magari ford expore na ford escape yana bei nafuu na hata kodi yake sio kubwa sana. Kwa wenye uzoefu na hizi gari vpi kuhusu uimara wake, utumiaji wa mafuta , vipuri na mafundi wake. Nimetamani kuwa nalo lkn ningependa kupata ushauri wenu wa kina. Natanguliza...
Back
Top Bottom