Wana JF leo hii asubuhi saa mbili na nusu hivi, nimepokea simu toka kwenye mtandao wangu wa zain, ikasema "helo subiri mhe kikwete anataka kuongea na wewe kisha nikamsikia kikwete akijieleza na kuomba kura"
Je hii yawezekana mitandao imeingia kwenye kampeni? anu JK kaamuru apigiwe debe? hii ni...
Wewe mwafrika,
toka mwaka 2006 uko kwenye JF, hujajifunza tu kuwa hoja zote lazima ziwe na facts za kutosha? kwanza ha hisi wewe ndio ulituma SMS hiyo ya kipuuzi kisha unatafuta mchawi.
WEWE NDIE MCHAWI MKUBWA NA WENZAKO WASIOFIKIRIA VIZURI KABLA YA KUDANDIA ISSUE MBALIMBALI.
kwanza...
kwa muda wa week mbili sasa magazeti yamegubikwa na utata wa report za synovate and redet juu ya nani yuko juu katika uchaguzi 2010.
Ukweli ni kwamba wengine hatukujua wala kupata nafasi ya kushiriki kwani ninaimani hii kitu ilifanyika kimya kimya - bora mara mia nimeshiriki kwenye FJ, japo...
Chadema imeanza kusambaza ujumbe wa sms kwa kutumia namba feki ya TIGO. ujumbe ulikuja kama ifuatavyo:
+255719780033:
'TAFATI SIO MATOKEO WATANZANIA PIGENI KURA KWA DR SLAA TAREHE 31 OCT TUWAONYESHE TAFATI YA UKWELI RAIS MPYA TAIFA JIPYA CHADEMA MWENDO MDUNDO USIDANGANYIKE'
Hivi nyie vyama...
Ukweli ni kwamba TCRA wanauwezo wa kuchambua kitecknologia na kutujulisha hii issue ilivyo. mimi nilipata hizo sms mara mbili.
1. +3588108226
2. +3588976578
nilijaribu usiku huo huo kuzipiga bila mafanikio, nikaomba mtandao wangu wa zain wanisaidie kunielewesha, lakini hawajanijibu.
laniki...
Duuh inaonekana wakati mwingine hatuelewi. boss mimi pia nilizipata hizo sms, kweli inaonesha ndugu zetu wanahaha, lakini pia ngoja nikueleweshe kidogo.
Hivi Rais wetu wa sasa niwa chama gani? na je Nyerere aliyehusika kwenye kuikomboa nchi yetu na kushiriki kikamilifu kwenye harakati za...
Hii ni mara yangu ya kwanza kuwepo tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Sina hakika lakini nadhani mwaka huu vyama vingi vimejitokeza kutaka kupata michango kwa njia mbalimbali ikiwemo new technology ya mobile phones - yaani SMS. lakini nashindwa kuelewa, hivi vyama hivi vinajua hasa jinsi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.