Search results

  1. N

    Shoo ya Comedian Kansiime TZ: Waandaji wamefikiria lugha?

    omondi atakuwa mpz, so naimani utakuja si ndio. atakuwepo omondi na Mcpilipili kutoka kenya, hope tutakutana siku hiyo
  2. N

    ADVICE: Ninunue gari aina gani?

    Mnajuaje kama hana Hyo biashara? kila mtu na mipango mwachane afanye anachoona bora kwake mladi ananunua kwa hela zake
  3. N

    Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

    mmmh kama maombi tu na hela hyo ajira utalipwa sh ngapi? tafakari chukua hatua.
  4. N

    Gadna G Habash kurudi tena kusikika redioni

    Ni mtoto wa marehemu Nyaulawa aliekuwa akimiliki kampun ya business Times watu wa amajira na magazeti mengine
  5. N

    Kati kerenge is no more

    gooosh, i love her na alikuwa akiniinspire sana. Rest in Peace Kati
  6. N

    Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

    suala ni kwamba hata huyo mume wake wa mwanzo nae amefunga ndoa na mwanamke siku ya jumapili ya juzi hii kama sikosei ni siku moja na joyce au wamepishana siku moja. hata msimlaumu joyce na hakudai talak ili aolewe na mtu mwingine hamjui kitu gan kimetopkea kai yao pia ukiona ndoa ya kikistro...
  7. N

    Nani zaidi? katibu wa chadema-dr slaa na ccm-yusuph makamba?

    jaman makamba ni wa kumfananisha na slaa? mbna mnamdharirisha slaa?
  8. N

    Wanaopajua dodoma mniambie.

    ha haaaa hahahaaaa, NK kwa mahousegirl
Back
Top Bottom