Yasema si mali ya serikali
KAMPUNI ya BAE Systems ya Uingereza iliyoiuzia rada Tanzania, haimilikiwi na serikali ya nchi hiyo, ubalozi wa Uingereza mjini Dar es Salaam umesema.
Taarifa iliyotolewa jana na ubalozi huo, na kutiwa saini na ofisa wake wa habari, John Bradshaw, inaikana kampuni...
Mzee mwanakijiji, tunashukuru sana kwa jitihada unazozionyesha,
hakuna maneno ya kiswahili yanayowezesha kufikisha shukrani hizi, ila mwenyezi Mungu ndiyo atakujalia katika yote unayofanya.
hii hotuba imenikumbusha enzi za mzee mwinyi, unajua ccm ni watu wa ajabu sana, ukisoma hotuba zao ni nzuri kweli na za kuleta matumaini, lakini wanakuja kufanya mambo kinyume kabisa na yale wanayo aihidi,
hii hotuba mzee mwinyi amejitahidi kuonyesha kuwa ccm ni chama progressive lakini walicho...
mzeeshughulibwana,
naona unataka kutupotezea malengo.
hatuhitaji kujua mali zako unless uteleze kuwa wewe ni kiongozi wa serikali,
ushauri mzuli, delete hiyo message, acha watu walete hizi information, ni muhimu kwa records.
hoja ni nzuri,
bila ya kuzunguka zunguka, nianze kuelezea ninachokitaka kwa tanzania yetu
MAHITAJI YA MSINGI
1.TUNAKA MAKAZI BORA
2.HUDUMA BORA ZA MAJI SAFI NA SALAMA
3.HUDUMA BORA ZA AFYA
4.UMEME WA UHAKIKA
5.AJIRA ZA UHAKIKA
MAHITAJI MUHIMU
1.TUNAHITAJI HUDUMA ZA USAFIRI AMBAZO NI...
mwanakijiji hii ni nzuri sana na tunakuhaidi ushirikiano wote unaotakiwa,
sasa wakati wa mkataba wa IPTL(walio sign MOU) wahusika walikuwa hawa
Rais alikuwa ALLY HASSAN MWINYI
Waziri wa mipango alikuwa HORACE KOLIMBA
waziri wa nishati na madini JAKAYA MRISHO KIKWETE
waziri wa fedha...
ndugu watanzania,
kwa mtazamo wangu, ili tuweze kupata maendeleo ya kweli tunahitaji kuwa na characteristic fulani ambazo ni "uncomprimise".
we need to set goals and to explore ways/methods to archieve those goals.
once those goals are set and the best method/way is determined,in other words...
jasus na mzee shughuli bwana nashukuru kwa maneno yenu ya kunitia moyo,
mimi ninachosema hapa viongozi wetu wenye nia nzuri na taifa letu lazima tuwape sifa wanazostahili hata kama mafanikio yao hayaonekani moja kwa moja.
baba wa taifa pamoja na kuwa hakuweza kututoa kwenye umaskini alikuwa na...
mgonjwa wa ukimwi,
unajua mimi ninapojibu hoja najaribu kuangalia factors nyingi na ninakuwa abstract na wakati huo huo nina acha space for you to digest more,
mfano umekuja na kusema kuwa ujamaa ni siasa ya darasa la saba blah blah..., wakati mwanzoni mwa message yangu nimegusia kuwa wenzetu...
mgonjwa wa ukimwi,
hapa umenivuta hata na mimi niliyekuwa pangoni,
kwanza ningependa kukufahamisha mwishoni mwa mwaka jana kulikuwa na seminar nchi moja ya ulaya ikijadili kuhusu siasa ya ujamaa na azimio la arusha,
actually walikuwa wanaangalia ni jinsi gani wanaweza kuchukua mambo waliyoona...
Mwanakijiji sasa unaishiwa kabisa, to the extent kwamba sasa unataka tushawishike kuwa mfumo wa chama kimoja ndio suluhisho la matatizo yetu,
Hiyo nchi unayoishi hapo Marekani unaona jinsi democrat wanavyo critisize republican, bado hujapata somo lolote kutoka marekani, basi ni bora urejee...
mwanakijiji,
unaelewa maana ya mabadiliko? halafu mabadiliko yenyewe tunayopngelea hapa ni mabadiliko ya mfumo uliodumu kwa takribani miaka 45! lazima ujue kuwa sio kazi ndogo, ni kazi ngumu sana,
na ni watu wachache sana katika jamii zetu huwa wana courage ya kuleta mabadiliko katika jamii...
Mwanagenzi,
naona hukusoma habari kamili au ulikuwa unataka kupotosha jambo kama ilivyo jadi yenu angalia hii quote hapa ya mbowe.
habari imeendelea
kwakumalizia hizi habari hata mimi nilizipata kutoka kwenye reliable source of information na zaidi ilikuwa kwenye kura za wabunge...
safi sana,
ni nani amewaweka hao wachaga hapo, ni freeman mbowe au ndesamburo?
sasa unahamia tra, endelea bwana, huko tra mimi siwajui kabisa!
chinga tukubaliane kitu kimoja wewe umeathiriwa zaidi na mitazamo ya kikabila,kidini na chuki zisizo za msingi.
maendeleo binafsi yanaletwa na juhudi za...
hili si swali rahisi kulijibu mwanagenzi, watu wanamalengo tofauti, ila moja wazi ni kuwa wapo wanaotumia nafasi ya siasa ili waweze kurahisisha biasha zao ,mfano kusafiri nje ya nchi kwa urahisi na kufanya biashara kwa kukwepakwepa kulipa kodi, hawa ni oportunist.
na watu kama hawa mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.