Search results

  1. Yusomwasha

    Facebook page for sale!!!

    It has 2000 followers It is good for anything that u want to post... Sorry:I can't indicate pc or screenshot or more info here bcoz jf regulations prohibit anyone to post fb page or any link related to fb or other social media If you are interested check me on watssap 0759 432 654 or pm Thank...
  2. Yusomwasha

    Kwa mnaotumia app ya itv jee inakula mb sana?

    Mnaotumia app ya itv vp kuhusu ulaji wa mb? app hii inakula mb? Anaeitumia tupe ushuhuda maana nataka nianze kuitumia
  3. Yusomwasha

    Kwa hili bora turudi tu analojia

    Huu ujinga wa kulipia unachosha tukiwa analogia tulikua tunaenjoy sanaa maana channel full raha yaani sahivi kiukweli hamna jipya badala ya kuenjoy ni kilio tu Turudi tu analogy Analogy ilikua raha sana jamani sio siri wengi wetu ni mashahidi Hatuenjoy digital kabisa kama nchi nyingine
  4. Yusomwasha

    Tetesi: Madudu ya Startimes mbele ya TBC kuanikwa soon

    Kuna tetesi kuwa madudu ya mkataba kati ya TBC na startimes kwenye utumizi wa mitambo yataanikwa soon. Hawa wachina wajiandae kisaikolojia tu Inafurahisha sana wachina zamu yenu ya kunyooshwa imewadia Mwenye makubaliano kati ya startimes na TBC kwamba walikubaliana nini atuwekee hapa au...
  5. Yusomwasha

    Hatutofaidika na madini kama hatutotumia sera za kijamaa kwenye madini

    Nashauri kwenye madini tutumie mfumo wa kijamaa serikali ianzishe makampuni yake iajiri watanzania madini yachimbwe serikali iyauze tupate faida. Bila hivyo tutaishia kulia tu Wawekezaji hawa hawana faida yoyote kwetu zaidi ya kodi tu Uwekezaji ni kama mtu aliyepanga fremu ya biashara anailipia...
  6. Yusomwasha

    Wanaccm tuendelee kuwa na umoja tunapitia kipindi kigumu mno

    Wana bodi, WanaCcm tunapitia katika kipindi kigumu sana cha majaribu ikiwemo kupoteza washirika na wanachama. Kuna taarifa ambazo sio rasmi kuwa kutokana na huyu muuza madawa manji yanga wengi wameamua kuhama ccm kwa hasira na uchungu. Najua tunapoteza wanachama maelfu kwa malaki ila tusihofu...
  7. Yusomwasha

    Hatutakubali kamwe CCM kuharibiwa na kuvurugwa na wachache, Makonda jiuzulu

    Wanabodi, Mimi ni mwanaccm kwa muda mrefu.Najivunia kuwa chama cha mapinduzi kwa kuwa ndo chama kilicholeta umoja mshikamano na uhuru wa taifa hili Ninasikitishwa sana na hizi hujuma dhidi ya chama chetu hazikubaliki. Kuna watu na magenge wanakiharibu chama chetu kama kina makonda na wenzake...
  8. Yusomwasha

    Mwaka mmoja tumeisoma namba hivi, miaka 4 iliobaki si ndo balaa?

    magufuli kaza uzi ww ndo chaguo letu Chadema mwaka mmoja mmeisoma namba na bado mtanyooka ccm mbele kwa mbele mungu akubariki jpm chadema mwasambaza uongo kuwa maisha magufuli hali imeimarika sana kwa wakati huu viva jpm viva ccm kidumu chama cha mapinduzi
  9. Yusomwasha

    Nahitaji vifaranga aina yoyote.nipo.moshi

    wawe wa wiki mbili au tatu njoo inbox kuanzia wiki 1, 2, 3, 4 bei ianzie 800 panda juu njoo.inbox
  10. Yusomwasha

    Nahitaji kiredio kidogo cha memory card

    nahitaj redio yoyote ya memory card iwe ndogo ama size fulani nipo moshi njoo pm
  11. Yusomwasha

    Wabunge tusaidieni, local channel tunalipia mpaka tushachoka

    Serikali iko wapi? Wabunge mko wapi? TCRA mko wapi, local channel mpaka ulipie? Serikali kimya, Nape nae kimya! Wabunge tusaidieni, kwanini tulipie mpaka TBC??
  12. Yusomwasha

    msaada; memory card yangu haisomi kwenye simu.

    wakuu nisaidieni nina memory ya gb 8 ila tatzo imeharibika inaniandika MEMORY IS BLANK najaribu kuERASE lakini inagoma haisomi hata kwenye simu kwamba ipo nifanyeje ama.nitumie app gani????
  13. Yusomwasha

    Wanaohitaji popcorn za bei nafuu piteni hapa

    Mnaotaka popcorn za kuanzia pakiti 50 au hata rejareja njoo pm Pakiti moja ni 300 tu njoo pm
  14. Yusomwasha

    Natafuta kazi yoyote Arusha

    Nasoma chuo flani hivi Arusha nahitaji kazi ya aina yoyote kwani nipo chuo, kazi hiyo iwe ya weekend ama baada ya masomo coz chuo maisha magumu, kazi yoyote nahitaji jamani imlimradi nipate pesa ya kutumia tu. Nipo Arusha Kazi yoyote please Njoo pm
  15. Yusomwasha

    Ndoto ya kuota unakimbizwa na ng'ombe ama ndama ina maana gani?

    Habarini wakuu, Usiku wa kuamkia leo nimeota nakimbizwa na ng'ombe nakimbia kila mahali lakini ananifuata. Je kuota nakimbizwa na ng'ombe ina maana gani?
  16. Yusomwasha

    Kwa mnaohitaji ubuyu asilia mweupe wa pakti usiochanganywa na chochote

    Kwa wale mnaohitaji ubuyu wa pakti ule mweupe ambao haujachanganywa na chochite asilia njoo pm uwe arusha
  17. Yusomwasha

    Msaada jinsi ya kukopa pesa Tigopesa kama ilivyo M-pawa ya Vodacom

    Habarini wakuu, Wakuu naombeni kujua jinsi ya kukopa tigo pesa kama ilivyo kwa m- pawa ya voda. Ninahitaji huduma hii Natanguliza shukrani
  18. Yusomwasha

    Naulizia chuo cha ualimu arusha chenye ada nafuu

    mwenye kufahamu chuo chochote cha ualimu arusha na moshi chenye ada nafuu ambayo ni chini ya laki 8 kwa mwaka nataka kusoma diploma in primary education pls nisaidieni
  19. Yusomwasha

    Baada ya Mzee Yusuph kuacha kuimba Amigo ndio mfalme mpya wa taarab

    Abubakar Soud aka Prince Amigo ndiye mfalme mpya wa taarab Anasubiriwa kutawadhwa rasmi. Hongera zake
  20. Yusomwasha

    PRINCE AMIGO NDIYE MFALME MPYA WA MUZIKI WA TAARAB

    Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa amigo mwimbaji wa jahazi modern taarab ndiye mfalme mpya anayemrithi mzee yusuff baada ya mzee kuacha mziki Anasubiri tu kutawadhwa rasmi kuwa mfalme wa jahazi na mfalme wa taarab kwa ujumla
Back
Top Bottom