It has 2000 followers
It is good for anything that u want to post...
Sorry:I can't indicate pc or screenshot or more info here bcoz jf regulations prohibit anyone to post fb page or any link related to fb or other social media
If you are interested check me on watssap 0759 432 654 or pm
Thank...
Halaf pale nimeona mahali wanataka shipping date required baada ya kulipa hapo nashindwa kuelewa wanataka tarehe ya mzigo wako utumwe au wanataka siku ngapi?ufafanuzi tafadhali
Thank you very much friend...how about postal shipping method for a middle packages?Vipi kwa posta wanatumaga unafika faster??
Utanisamehe sana maswali yangu yanaweza kuwa mengi....
Salute jf!
Mimi ni mjasiriamali mdogo nataka nianze kununua bidhaa alibaba...
Huwa nanunua sana aliexpress ambaye ni mtoto wa alibaba
Sasa kule naona vitu ni cheap ila na waswas sana naombeni mnisaidie haya maswali kwa waliowahi kununua..
Kwa mizigo midogo midogo wanatuma kwa njia ya posta...
Nimekutana na hii video nikashtuka sana hivi wakuu hii ni kweli wakati wa mapinduzi watu waliuawa hivi?maanas hii inaonekana kama documentary fulani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu tatizo limejirudia baada ya mwaka mmoja siku kama ya leo ni siku ya tatu nakohoa sana
Kinachonishangaza ni kwamba tatizo limejirudia siku kama ya mwaka jana august 15 mwaka 2016nilianza kukohoa na juzi august 15, 2017 nimeanza kukohoa tena na leo ni siku ya 3 msaada pls

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.