Search results

  1. B

    Msaada: Nimempiga kibao sasa kazira hataki kula wala kuongea

    Njaa ikimuuma atakula huyo wala usihangaike.
  2. B

    Toyota Carina Ti

    Naomba kujuzwa gari hii Toyota Carina Ti inaweza kupatikana kwa kiasi gani show room?
  3. B

    Uchaguzi Zambia

    Vipi matokeo ya uchaguzi mkuu Zambia yakoje? Tupeane updates
  4. B

    Nimeshikwa live

    Bangi mbaya sana mazee!
  5. B

    Mwalimu Njowoka

    Wale wenzangu tulio maliza elimu ya msingi mwaka 1987 hapa DSM, Mtakumbuka kulikuwa na mwalimu maarufu sana kwa kufundisha tuition pale uhuru mchanganyiko. Anayefahamu habari zake hivi sasa atujuze tafadhali. Anaitwa mwalimu Njowoka.
  6. B

    Nafikiria kuachana na mpenzi wangu

    Jaribu kutompigia kwa siku kadhaa, ukiona nae hakupigii jua huna chako angalia ustaarabu mwingine.
  7. B

    Mke ana mimba ya baba mkwe

    Kweli mkuu, kuua sio suluhisho
  8. B

    Kuzuiliwa kwa safari za nje; Je, inatuhusu raia wote au ni kwa viongozi tu?

    Hii ni kwa watumishi wa umma na taasisi zake tu, watu wengine watasafiri kwa kufuata taratibu za kawaida.
  9. B

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Msomi huyu wa taaluma ya sheria, ambae aliwahi kuwa mwana siasa mahiri miaka ya 1995 yuko wapi? Anafanya shughuli gani? Naomba kujuzwa.
  10. B

    Nina laki 4, naweza kupata Laptop nzuri?

    Nina laki nne tu, naweza kupata lap top nzuri mpya kwa kiasi hicho? Je, ni aina gani ya lap top ambayo haina usumbufu unanishauri niitafute? Naomba ushauri wako.
  11. B

    Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

    Hivi mnakumbuka huyu muheshimiwa aliwahi kutoa amri ya katazo la ununuzi wa magari hayo bila kibali chake? Sasa hilo gari lilinunuliwa kwa kibali cha nani? Serikali iache unafiki.
  12. B

    Mtwara CCM kwaheri

    Tusubiri filimbi ipulizwe
  13. B

    Kweli watanzania hatuna ufuatiliaji

    Hivi habari ya Siti Mtemvu na kosa la kughushi umri imefia wapi? Nilidhani angechukuliwa hatua za kisheria kama wahalifu wengine!
  14. B

    Picha: Maajabu ya mapacha wenye rangi ya ngozi tofauti

    Hivi hujui kama kuna aina tofauti za mapacha? Kuna mapacha wa jinsia tofauti, kuna wa jinsia moja ambao wako aina mbili (wanao fanana, wasio fanana) Hawa uliowaleta hapa ni wale wa jinsia moja wasio fanana. Umenielewaaaaaaaa!!!!
  15. B

    Rais Kikwete amemteua Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha

    Soma mada vizuri uelewe, sio naibu waziri ni naibu Katibu mkuu!
  16. B

    Nimeamua kuacha kazi ili nijiajiri

    Nakushauri jaribu kuanzisha kampuni yako ukiwa ndani ya ajira, nenda nayo taratibu ukipima upepo. Ukiona mafanikio yapo then ruksa kuacha kazi na kuelekeza nguvu zote kwenye kampuni yako.
  17. B

    Nokia smartphone

    Naomba kanuni ya utambuzi kwa Simu hizi kubaini kama ni original, msaada tafadhali.
Back
Top Bottom