Search results

  1. Qs Yu

    Car4Sale Miliki gari ya heshima Fortuner ya mwaka 2013

    baki huko huko kwenye nissan CUBE yako mkuu... hii huiwezi..
  2. Qs Yu

    Msc Accounting & Finance Vs MBA Corporate Management, Ipi bora?

    eeh eeh bwanaa... hukupata msaada kabisa? ulifanikiwa kusoma ipi kati ya hizo?
  3. Qs Yu

    Kozi ya kusoma

    Nenda chuo cha mipango, soma pre-entry miezi miwili, then join certificate in rural development planning..
  4. Qs Yu

    TOURISM: New private island in Tanzania to open in April, 2016

    Damn...... This is so nice.. tunaanza kukimbizana na Cancoon sasaa..hahaaa
  5. Qs Yu

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Mimi kuna mradi naufanya..consultants wamesisitiza nitumie mkongo kwenye milango na frame zake... probably mkongo ni mzuri zaidi..
  6. Qs Yu

    Biashara ya kujenga na kuuza nyumba

    Yani nyumba ikifika hatua ya lintel ndo unauza? kwanini usimalizie kabisa?
  7. Qs Yu

    Ushauri: Biashara ya kujenga na kuuza nyumba Tanzania!!!

    Mrejesho ni muhimu sana...wapi mmefikia?
  8. Qs Yu

    Mikopo ya kujenga nyumba

    kweli kabisa
  9. Qs Yu

    Nafasi za masomo ngazi ya Diploma na Certifacate

    Hivi mtu mwenye certificate ya journalism anaweza kusoma diploma ya Ualimu?
  10. Qs Yu

    Nafasi za masomo ngazi ya Diploma na Certifacate

    Tution fee sh 450,000 kwa muhula,hostel charges sh 200,000 kwa muhula,NACTE ASSURANCE fee sh20,000, huo muhula ni baada ya muda gani?
  11. Qs Yu

    Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    Hivi campus ya Kabaka's Lake ndo imepandishwa daraja nakuwa St Lawrence University?
  12. Qs Yu

    Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    Kibuli na Kawempe ni government schools...just they are Islamic founded.. Siunajua serikali ili taifisha shule nyingi sana.. zile kongwe..
  13. Qs Yu

    Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    Wewe unaongelea Lubiri SS.. Karibu na Old Kampala Mosque
  14. Qs Yu

    Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    Kibuli SS iliyo Kibuli Hill, Karibu na Kibuli Mosque.... Umepapata?
Back
Top Bottom