Search results

  1. N

    Bango lililomkasirisha Magufuli huko Kasulu Kigoma na mbebaji kuishia korokoroni

    Kwanza kusifiwa na kila mtu lazima una matatizo.
  2. N

    Uganda: Chama tawala NRM wataka Museven aongoze hadi kifo

    Hawa viongozi wa Africa wana matusi ya wazi kwa wananchi wao! Uganda nzima hakuna anayeweza kuwa raisi isipokuwa yeye? Tuna safari ndefu, uchu wa madaraka unaturudisha waafrika nyuma.
  3. N

    Lukuvi akesha ofisini akitatua kero za ardhi

    Kiongozi gani anashindwa ku delegate. Ofisi yake haina watendaji wengine? Kinachohitajika ni misingi na mwongozo wa kazi ili siku akiondoka ofisini kazi iiendelee.
  4. N

    Natamani Rais Magufuli atawale hadi 2040

    Inaonekana haujui wanyonge ni kina nani. Rudi kwenye kamusi yako kabla haujaleta mada humu. utaifakwanza
  5. N

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Tunaimba kizaramo tunacheza kichaga.
  6. N

    Je, Rais Magufuli hakuyaona haya alipokuwa mbunge/waziri?

    Kwanini iwe kuchagua kati ya ccm na cdm. Kinachoongelewa hapa ni kama aliyepo madarakani is doing the right thing. Ndicho anachopaswa kufanya kusafisha Tanzania? Akiendelea hivi uchafu ambao alishiriki kwa kiasi kikubwa kuutengeneza utaisha? Mbona anafanya yote haya lakini huko bungeni upuuzi...
  7. N

    Je, Rais Magufuli hakuyaona haya alipokuwa mbunge/waziri?

    Mama Obama nataka nikuulize swali. Wewe una familia, Kosa lifanyike wewe ukawa part ya lile kosa. Hebu niambie utasahihishaje hilo kosa? Na utahakikisha vipi kosa kama lile halitatokea tena? Kiongozi mkuu wa nchi hawezi na hapaswi kufanya kazi kwa kujaribu. Lazima kuwe na misingi madhubuti ya...
  8. N

    Ilianza Zimbabwe sasa Tanzania inafuatia

    Hao wawekezaji tumewakaribisha wenyewe na kuwawekea red carpet. Tusisogeze lawama kwa wengine sisi ndio tumekosea tukiongozwa na waliofanya maamuzi kwa maslahi yao binafsi.
  9. N

    Je, Rais Magufuli hakuyaona haya alipokuwa mbunge/waziri?

    Kiongozi wa kututoa hapa lazima atambue na kukiri makosa yamefanyika kutokana na mfumo mbovu wa serikali inayoongozwa na ccm kwa miaka zaidi ya 50 na awe tayari kuyasahihisha kwa kuweka mifumo thabiti ya kuhakikisha makosa na mapungufu kama haya hayatatokea tena. Lazima atambue uraisi ni taasisi...
  10. N

    Tunapata laana wenyewe, kwanini tule rambirambi? Kagera, Arusha. Huko mbele nani atawaini achangie?

    Nani kakuambia wanakuwaga na aibu? Kusema na kutenda mambo ya kushangaza kila mtu ni kawaida mno.
  11. N

    Mama Salma, Ally Kessy wapinga wanafunzi waliopata mimba kurudishwa shuleni, wasema dini haziruhusu

    Huu ndio uzuzu aliouongelea Generali Ulimwengu. Tangu lini kosa likasahihisha kosa?
  12. N

    Mrejesho; Matibabu India. Tumenusurika kutapeliwa

    Matibabu yana gharama sana, mtoa huduma lazima atatengeneza faida ya kutosha. Nashangaa hawa madaktari wanafanya udalali wakati mgonjwa huyu hapa hela iko nje nje kinachompasa ni kutoa huduma nzuri na wateja watamiminika.
  13. N

    Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Labda na wao hawajitambui, mke na watoto wanaojitambua wasingeruhusu baba yao aaibike hivi.
  14. N

    Kujuana tabia kabla ya kuoana inasaidia kwenye ndoa au?

    babake nasreen 2005 juzi kuamkia jana! mwezi January mwishoni nimeshuhudia family friends wa Familia yetu waliodumu kwenye mahusiano na ndoa kwa miaka 32 wakitengana. Wazee hawa wana wajukuu, most of their family members washaitwa mbele ya haki najiuliza sipati majibu nini kimetokea wakashindwa...
  15. N

    Aeshi Hilaly (Mb-CCM): Nilitishwa na Makonda hadi sasa naogopa kwenda Dar kwa usalama wangu

    Makundi ya majambazi, wanaotaka kulipiza kisasasi watapata loop hole ya kutunyanyasa na kutupora kidogo tulicho nacho. Kwani nani atajua kama si usalama wa taifa?
  16. N

    Wanaorusha Video YouTube, Facebook, Periscope n.k Wawe na Leseni Ati?

    Waungaji mkono wanapungua siku hadi siku hata mleta mada naona kama ashaanza kurudi rudi.
  17. N

    Askofu Dkt. Josephat Gwajima, awasili Polisi Kati kuitikia wito wa DC Makonda

    Anayeishi maisha ya anasa na starehe kwa pesa za wizi huku akinyima binadamu wenzake haki na huduma za msingi au anayeishi maisha ndani ya uwezo wake kwa kipato halali, nani shetani na nani malaika?
  18. N

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Nashangaa wanaofurahia uonevu kama huu wakati wote tuko hapahapa tz, kama sio wao ndugu au watu wa karibu watapatwa na majanga ya kunyimwa haki zao za msingi.
  19. N

    Swali kwako Profesa Maghembe; Ni nani yupo nyuma ya green miles kampuni iliyodhalilisha urithi wetu?

    Duh swali rahisi sana kujibu kama halina maelezo. Kwa kifupi ni kuwa kwasasa watanzania waliowengi hawataweza kwakuwa kinachohitajika sio mtaji tu wa fedha bali network pia. Labda nikukumbushe kidogo hapo nyuma miaka ya 2008 kurudi nyuma sehemu kubwa ya vitalu vya uwindaji vilimilikiwa na...
  20. N

    Swali kwako Profesa Maghembe; Ni nani yupo nyuma ya green miles kampuni iliyodhalilisha urithi wetu?

    Ni kweli inaonekana dhahiri kuwa kuna sintofahamu ya vita ya kibiashara baina ya makampuni hayo mawili lkn nadhani hiyo haiondoi kosa la waziri wala kosa la green miles. Hii kampuni ya green miles imekiuka sheria za uwindaji na sharia zingine za nchi kwa kiwango cha juu kabisa ambacho hakiwezi...
Back
Top Bottom