Search results

  1. J

    NSSF Arusha mnatunyanyasa

    Nashukuruni kwa ushauri mkuu, leo kama kawaida niko hapa, kuna bwana mmoja ni mfanyakazi wa Nssf, mrefu ana makengeza sijui position yake ila anachokifanya ni kuzunguka akiona anayelalamika kidogo anajifanya kumsaidia ila anatengeneza mazingira ya rushwa. Ngoja nielekee PCCB, ila sijui kama...
  2. J

    NSSF Arusha mnatunyanyasa

    Kumekuwa na hali ambayo haieleweki, watu tumefungua madai ya Mafao tangu November mwaka jana, lakini hadi sasa tunakaribia mwezi April ukienda unapigwa tarehe tu, mimi mwenyewe binafsi sasa ni mara ya nane napigwa tarehe, ukiomba kwenda kwa Meneja wanakukatalia, na hii inaonekana ni usanii wa...
  3. J

    Plot kwa ajili ya biashara inahitajika arusha

    Plot kwa ajili ya biashara inahitajika kwa ajili ya biashara. Iwe njiani Maeneo ni kutoka mjini kupita njia ya Moshono hadi maeneo ya chuo cha Mandela. Au maeneo ya kuanzia Sanawari kuelekea Moshi.
  4. J

    Nyumba inauzwa

    Karibu sana mkuu.
  5. J

    Nyumba inauzwa

    Imejengwa kwa tofali nzito mkuu, barabara ipo ya gari mpaka kwenye nyumba. Bei nayo inaweza poa sana
  6. J

    Nyumba inauzwa

    Kipo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 20 kwa 20. Kiwanja hakina hati. Umeme upo mita 25 hivyo ni sehemu isiyohitaji nguzo. Maji ya yameshaingizwa ndani na plumbing ilishafanyika
  7. J

    Nyumba inauzwa

    Ina bedroom 2, moja ni selfcontained Sitting room iliyoungana na dining public toilet na bathroom Ipo Arusha maeneo ya kwa mrefu, kama mita 300 kutoka barabara kuu ya Moshi-Arusha. Na ukiwa unatokea Moshono ni kama mita 600 kutokea Moshono stand au Club ya WORLD GARDEN. Haipo katika...
  8. J

    Mashine za max malipo

    Ni kweli beinakaribia kuwa hiyo. Maana mimi nilinunua kwa 524,000/= na float ya 300,000/=. kwahiyo hiyo ni kama mtaji wako. Si kweli kwamba inafanya huduma zote hizo, kwani M-pesa hakuna, tigo pesa hakuna. ila wanasema kila siku wataanzisha ila naona kama ni story tu. Kuhusu kwamba unaweza...
  9. J

    Mwakyembe 'murder' plot under investigation

    Du! hii ni kali
  10. J

    Kiwanja kinauzwa Nyamhongoro Mwanza

    Mkuu labda ungeweka details zaidi, kama vile kiko umbali gani kutoka barabara kuu, nyumba iliyopo imejengwa na tofali gani, kama kina hati, sababu ya wewe kuuza na bei ikiwezekana.
  11. J

    Shame on you!!

    samehe, saba mara sabini
  12. J

    Msaada wa Ushauri

    Mkuu nashukuru kwa ushauri, nitafanya hivyo nitakapoonana nae maana yeye kwa sasa yupo Moshi na mimi niko Arusha. ila ni kwamba si kiwanja, ila kuna nyumba kabisa na inawapangaji ya fremu za duka kumi na mbili.. Kama unaijua Moshi kidogo iko Chaga street karibu kabisa na stendi ya Maili sita. ni...
  13. J

    Msaada wa Ushauri

    Nina ndugu yangu ana miliki nyumba katikati ya mji wa Moshi tangu miaka mingi iliyopita. Ila kwa maelezo yake kwa sasa Liz imekwisha na ametakiwa na Manispaa kujenga Ghorofa. Yeye mwenyewe hana uwezo kujenga Ghorofa na pia hayuko interested kuuza. Alitaka kama angeweza kupata either shirika au...
  14. J

    Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

    Mantrac Tanzania LTD. WANALIPA VIZURI NA WANAJALI MFANYAKAZI
Back
Top Bottom