Bashing Kenya and Kenyans is Tanzania's favourite past-time. It's a national obsession. I have just read a jaw dropping thread that shocked me to the bones.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/58149-kenya-seeks-diplomatic-end-to-ivory-sale-row-with-tanzania-8.html
Fortunately in...
Loh,
Nimesoma mjadala huu kwa mshangao mkubwa?
Singethani kuwa kati ya watu wote ambao wamechangia wako na maoni ambayo hayahitilafiani; na nilitegemea kupata mtu mmoja ambaye ako na maoni tofauti na wenzake angalau kuonyesha ya kuwa maoni ya wattu hapa yanatokana na watu kufanya udadisi...
Mimi Mkenya halisi, na kama mnavyojua, sisi hufunzwa kingereza kutoka darsa la kwanza hadi chuo kikuu. Utashangaa kuona wengine wetu ambao tunajuvunia kiswahili sana hadi tungetaka kuondoa kingeereza kama lugha rasmi hapa Kenya na badla yake Kiswahili, maana hatuoni hoja ya kuongea lugha za watu...
Hehehehe
(Pua langu limeanguka sakafuni kwa kicheko)
Takwimu pia zaonyesha GDP ya kenya is bigger than that of Tz hata ingawa TZ ina watu wengi (na pia mali ghafi) kushida Kenya. Takwimu zaonesha ya Kuwa Kenya ni mojawapo ya nchi zinazotengeneza bidhaa nyingi zinazouzwa TZ, na pia Kenya...
Well, smart Kenyans (as most of them are :-)) are getting virtual accounts from US which function fully like bank accounts. Google "Payoneer US virtual bank account" and you will see what I am talking about.
There are rumours PayPal is talking to Equity Bank to support local withdrawals. In any...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.