Search results

  1. Justine_Dannie

    Nahitaji cover na protector za simu hii

    Habari zenu waungwana, Nahitaji cover na protector ya sony Xperia 5 (2019) Nipo Zanzibar, nimejitahidi Kwa huku nimekosa. Kwa yeyote ambaye anauza tafadhari tiwasiliane Kwa 0716 403 314. Asante.
  2. Justine_Dannie

    Samsung galaxy A41 (brand new a.k.a full boxed) for sale.

    Mtanisamehe siko na picha muda huu, lkn simu taja hapo juu yenye sifa zifuatazo: Display 6.1" Nano dual sim cards. Resolution 1080 x 2400 pixels, 20:9 Android versio 10,upgradable to 11, UI 3.1 Storage ni 64gb, 4gb ram Main camera (rear camera 48mp 8mp 5mp Front camera, selfie camera ni 25 mp...
  3. Justine_Dannie

    Simu kufuta miziki automatically

    Hi, Habari zenu ndugu zangu. Hivi karibuni nimepokea toleo jipya la android (android 11), baada ya kufanya update, nimekumbana na tatizo kwamba simu inafuta miziki yenyewe kila ninapoipakua. Nahitaji msaada Kwa anaejua jinsi ya kurekebisha tatizo hili. Natumia Samsung galaxy A 21s. Asante.
  4. Justine_Dannie

    Ofa, pata vitu vifuatavyo kwa bei nafuu sana

    Habari waku, Bila kupoteza muda wala kupepesa macho, let's get down to business. Radio ni Technics Inataka 280,000 tu..kujitetea kidogo ruksa. Laptop Hp elitebook 8460p HDD 500GB RAM 4GB Operating system Windows 8 Processor intel inside core i5 (2.60GHz) Bluetooth built in 3hrs battery life...
  5. Justine_Dannie

    Computer4Sale Hp elitebook 8460p

    Hp elitebook 8460p HDD 500GB RAM 4GB Operating system Windows 8 Processor intel inside core i5 (2.60GHz) Bluetooth built in 3hrs battery life Power adapter External mouse Finger print authentication Price 330,000 kwa atakaehitaji, pia ipo Halotel route (support Halotel chip only) Contact...
  6. Justine_Dannie

    Ni upi ubora, uimara na usalama wa "Liquid protector" kwenye simu zetu.!?.

    Habari. Siku za hivi karibuni katika pitapita zangu, nimekutana na kitu kinaitwa "liquid protector" ni mbadala wa glass protector kwenye device zetu..isipokua tofauti yake wawekaji hutumia kimiminika fulani kisha kupaka kwenye kioo cha simu na kisha kuweka kwenye mashine fulani kwa ajili ya...
  7. Justine_Dannie

    Msaada: Kufanya kazi Uingereza

    Habari wakuu.!. Bila kuhangaisha sana akili, nategemea kupata deal ya kwenda kufanya kazi Uingereza (England), sasa basi naomba kupewa muongozo wa nini cha kufanya kuweza kufanikisha mimi kwenda huko na kufanya hiyo kazi. NB: Nafanya utaratibu wa kupata hati ya kusafiria (passport) Asanteni.
  8. Justine_Dannie

    "Kushindilia mafuta"

    Habari! Poleni na msiba wa Ndugu yetu Mutahaba kwa wale wote ambao mmeguswa na msiba huu,Hongereni mliompokea Lowassa na poleni mlio mpoteza. Kwenye mada moja kwa moja.... Nikiwa katika kituo cha kuweka/kuongeza mafuta kwenye gari, hua kuna kitu kinanishangaza kidogo, Ni hivi, Anaweza tokea...
  9. Justine_Dannie

    Gonen Segev: Waziri wa zamani wa Israeli akiri kutumiwa na Iran kuipeleleza nchi yake

    Waziri wa zamani wa Israeli, Gonen Segev anakabiliwa na kifungo cha miaka 11 jela baada ya kukiri kuchukuwa taarifa za nchi yake na kuzipeleka Iran, wizara ya ya sheria ya Israel imesema. Segev, ambaye alihudumu kama waziri wa nishati miaka ya 90 inasemekana alianza kufanya shughuli hiyo wakati...
  10. Justine_Dannie

    Habari,

    Nahitaji smart watch, iwe kwenye hali nzuri, Aina ya Samsung nitazipa kipaumbele lakini pia brand nyingine zenye hali nzuri nitazizingatia. Picha zije Kwa .... 0716403314 0765982838. Asanteni wana nzengo.
  11. Justine_Dannie

    HERI KENDA SHIKA, KULIKO KUMI NENDA UJE

    Habari wakuu.! Naomba tujikite na tuchambue na kisha tutoe maoni yetu binafsi ili mwenye masikio asikie. Hapo barazani au sebuleni mwa Kaya yetu, kuna kijana machachari sana kwa kuja na kila jipya lenye kuchukua watu kwa mkupuo wake na kusababisha waelekeze macho na masikio kwake. Tatizo lake...
  12. Justine_Dannie

    Naomba kujuzwa jambo kuhusu dhamana, hasa ya fedha taslimu

    Habari wakuu na madogo.! Naomba kujuzwa jambo kuhusu dhamana, hasa ya fedha taslimu. Ipo taratibu ya mahakama kuhusu kuwaachia watuhumiwa wa makosa fulani fulani kwa dhamana ya pesa. Hali hii inawafanya watuhumiwa kua huru wakati wakiendelea kusubiria mashauri yao wakiwa uraiani (nje). Swali...
  13. Justine_Dannie

    Naomba msaada wa taarifa.

    Habari ndugu zangu, Naomba kupewa taarifa Kwa yeyote anaefahamu kwa Dar es salaam ni wapi chuo au taasisi inayotoa elimu inayohusu masuala ya kufanya kazi melini (kwenye meli) Taasisi inayofundisha mambo kama 1 first aid 2 fire fight 3 swimming na kadhari.. Nahitaji sana hii kitu, asante na muwe...
  14. Justine_Dannie

    Ni taasisi gani inatoa elimu ya mambo haya?

    Habari ndugu zangu, Naomba kupewa taarifa Kwa yeyote anaefahamu kwa Dar es salaam ni wapi chuo au taasisi inayotoa elimu inayohusu masuala ya kufanya kazi melini (kwenye meli) Taasisi inayofundisha mambo kama 1 first aid 2 fire fight 3 swimming na kadhari.. Nahitaji sana hii kitu, asante na muwe...
  15. Justine_Dannie

    Chuo au taasisi gani nitapata elimu inayohusu masuala ya kufanya kazi melini

    Habari ndugu zangu, Naomba kupewa taarifa Kwa yeyote anaefahamu kwa Dar es salaam ni wapi chuo au taasisi inayotoa elimu inayohusu masuala ya kufanya kazi melini (kwenye meli) Taasisi inayofundisha mambo kama 1 first aid 2 fire fight 3 swimming na kadhari.. Nahitaji sana hii kitu, asante na muwe...
  16. Justine_Dannie

    Nipe offer ya 2TB External HDD

    Habari. Waungwana hebu naomba offer zetu (in term of cost) kwa ajili hard drive ya ukubwa wa 2tb iwe externa na brand new (sealed) na kabila liwe transcend.. Niko serious na nahitaji haraka. Hii ni maeneo ya dar hasa ubungo . Asanteni Nahitaji haraka iwezekanavyo...
  17. Justine_Dannie

    Biashara ya bidhaa za umeme toka Zanzibar

    Waungwana habari, Mimi nipo Zanzibar na km mjuavyo hivi vitu vya hivyo huku Ni vingi na bei afadhari kidogo,Sasa basi kwa yeyote ambae anataka vitu km laptop, radio au simu n.k naomba tufanye kitu kifuatacho. Nitumie taarifa ya kitu ukitakacho (name, details and specifications)Kisha Mimi...
  18. Justine_Dannie

    Mauzo ya nyumba Chamanzi na Mbagala kunani?

    Habari ndugu zangu. Kwa sisi ambao ujana umeanza kufika ukingoni (mwanzo wa mwisho), tumekua tukijizatiti na kujiimarisha sana muda huu ukizingatia ndio muda wetu wa kuamua unafikia mwishoni. Sasa basi, katika kufanya ya hapo juu baadhi tumekua tukianzisha kila namna ya vitega uchumi ili...
  19. Justine_Dannie

    Mataluma - Kariakoo

    Wakuu habari! Binafsi sio mpenzi wa hizi zinazoitwa singeli, ziite mnanda ukitaka au ukipendezwa ita mchiriku au muziki wa hovyo, yaani wewe tu. Ila Sasa Kuna hii ngoma ya Mataluma inayoitwa kariakoo, nimeipenda lakini nilivyoitafuta mtandaoni sijaipata, So please mwenye nayo naomba...
  20. Justine_Dannie

    Niliagiza Noah kwa ajili ya biashara ila sasa zimepigwa marufuku, Nifanyeje?

    Nilishaagiza Toyota Noah kwa lengo la usafirishaji wa abiria,Lakini sehemu ambayo nilipanga kuitumia naona zimesitishwa, yaani mpya hazitakiwi tena, Sasa mm Gari ipo njiani toka Japan naombeni ushauri naweza itumia mkoa gani kuingiza pesa , Napatikana Zanzibar kwa sasa, Ila gari napokelea...
Back
Top Bottom