Search results

  1. Xkalinga

    Kwanini Watanzania wengi/Wazazi wanakwepa kutoka out a Family?

    Nadhani jibu lipo hapa. umeshasema ni suala la utamaduni tena wa ajabu. Naongezea kuwa familia uko nayo nyumbani siku zote ila washikaji hauko nao.Ikumbukwe siku hizi watu hawapendi kuwaalika marafiki nyumbani hivyo kudumisha utamaduni uliousema.
  2. Xkalinga

    Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

    ulishawahi kuona ndege ikitua arusha airport usiku?
  3. Xkalinga

    Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

    Sidhani kama hayo ya kuzuia wizi ndio majukumu ya msingi ya hiyo idara ya usalama. Labda kuna sehemu hatuelewi au tunachanganya mambo. Ninavyofahamu kila taasisi ya serikali huwa na kitengo cha Ukaguzi wa ndani (internal audit) ambacho ndio kina jukumu la kukagua na kubaini kama kuna vitu haviko...
  4. Xkalinga

    Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

    Hatoi majibu kwa kuwa kichwa cha habari kinajieleza, someni chote jamani....nanukuu Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine
  5. Xkalinga

    Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

    Unataka wakae chumba tofauti ili watoto wakiuliza watajibiwa nini???
  6. Xkalinga

    Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

    Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine,mbona heading inajieleza
  7. Xkalinga

    Star Tv wameingia vitani dhidi ya awamu ya sita? Habari ya SSH kuzindua uingiaji maji Stiglers ilirushwa ya mwisho, Alloyce Nyanda atumika

    Mimi ningekipongeza hicho kituo maana kama wote wangerusha mwanzoni waliochelewa kuangalia taarifa za habari wasingeipata hiyo habari
  8. Xkalinga

    Waziri Ummy ashtukia upigaji ujenzi wa hospitali Ukerewe, aunda tume kuchunguza

    Ulivyoandika kichwa cha habari utadhani waziri ummy ndio amestukia hiyo ishu...Ukweli ni kwamba hayo ni maelekezo ya makamu wa Rais wakati wa ziara yake Ukerewe, lilipoibuka suala hilo katika mkutano wa hadhara na ndio akawataka waziri wa afya na tamisemi wafike ukerewe kufuatilia suala...
  9. Xkalinga

    Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Ndugu nani kakudanganya wahudumu walikufa?wahudumu wote wawili walipona.Tusiokoteze habari vijiweni
  10. Xkalinga

    Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Mi nahisi hiyo ndege ilikutwa na kitu kinaitwa aerodynamic stall dakika chache kabla ya kutua kutokana na kupungua kwa airspeed kutokana na kuzunguka mara mbili kabla hali ya hewa haijaimarika maana ni rahisi rubani kupunguza umakini wa kubalance airspeed hivyo wings kuacha ku generate lift na...
  11. Xkalinga

    Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Hii ni report ya awali...ile ya black box itakuja baadae na chanzo halisi na mapendekezo...Ukiisoma hii ripoti imesema uchunguzi wa chanzo is ongoing.
  12. Xkalinga

    Taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya precision kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Air Bulletin Accident)

    Ukisoma mwisho wanasema uchunguzi wa chanzo cha ajali is ongoing.Kuna taarifa kamili itakuja
  13. Xkalinga

    Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

    "Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi".
  14. Xkalinga

    Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

    Umejibu vema sana kuhusu kuvumiliana....Kwa nini nawe usimvumilie huyu "Mwanaume ambaye hanipi attention japo kidogo, yupo busy busy, hakutafuti hadi umpigie mwenyewe, usipomtafuta ndiyo imeisha hiyo, hadi nakua najiuliza am i his babe au jirani yake? Yaani kama mimi ndiye mwenye shida naye sana...
  15. Xkalinga

    Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata?

    Kama kuna mtu anaweza ku summarize atusaidie wenye aleji ya kutosoma makala ndefu.
  16. Xkalinga

    Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Kama hiyo stori sio ya kutunga basi ichukulie kwa mawazo mapana...wanawake huwa wanapenda kuwini kama wako perfect au waaminifu kwa ishu kama hizo.Kuna mambo ya kujiuliza kabla ya kutenda,jee huyo ni mwanaume pekee aliyemtongoza toka muwe pamoja au na wengine wanaomtokea huwa anakuambia au kaona...
  17. Xkalinga

    Hakuna mtu aliwasiliana na rubani wa ndege iliyoanguka ziwani, shujaa Majaliwa na Chalamila watuombe radhi

    Airport ya kagera ipo karibu kabisa na ziwa....ndege inapotua inatokea ziwani yaani juu ya maji na inaporuka inaruka kuelekea ziwani.Kwa hiyo kama alikuwa anatua basi lazima atokee ziwani kwa runway ilivyokaa
  18. Xkalinga

    Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

    Kama unaujua uwanja wa ndege wa kagera njia ya kutua, ndege inatokea ziwani kuja nchi kavu. Na ndege inaporuka inatoka nchi kavu na kuruka uelekeo wa ziwani. Kwa hiyo kama alikuwa anatua kuanguaka ziwani ni kuwa alianguka nyuma ya runway.
  19. Xkalinga

    Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

    Ndugu mtoa mada sio kila kitu ni ujuaji tu kwa sababu bando lipo....inaonesha wabongo tuko wajuaji sana kwa kila jambo hata yale ya kitaalamu...Ndege sio mtumbwi ambao mtu anachonga tu gogo analiingiza ziwani...Ndege hadi kuruhusiwa kuruka tena kubeba abiria ni kuwa imeidhinishwa ubora wake hapo...
  20. Xkalinga

    Je, ni sahihi Mzazi wa kiume(Baba) kuoneshwa picha au video za utupu za mtoto wake wa kike?

    Huenda baba aligoma kwa makusudi ili aoneshwe picha/video
Back
Top Bottom