Search results

  1. kanywaino

    DC Tunduru abaini ufisadi, awatia mbaroni viongozi 4 kwa tuhuma za kuuza viwanja bila utaratibu

    Tuesday, August 02, 2016 DC TUNDURU JUMA HOMERA AWATIA MBARONI VIONGOZI WANNE KWA TUHUMA ZA KUUZA VIWANJA BILA UTARATIBU. Mkuu wa Wilaya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera, amewatia mbaroni Viongozi wanne wa Serikali ya vijiji kwa kosa la usimamizi mbovu wa ardhi katika Vitongoji vya Umoja na...
  2. kanywaino

    DC Tunduru atoa matumaini kwa wananchi wake

    DC TUNDURU ATOA MATUMAINI KWA WANANCHI WAKE Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera akizungumza na wananchi wa kijiji cha Msinji kata ya Ligoma, Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma. Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera akipokea risala toka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji...
  3. kanywaino

    Mkuu wa wilaya ya Tunduru atafuta mwarobaini wa kumaliza migogoro ya wafugaji na wakulima

    MKUU WA WILAYA TUNDURU ATAFUTA MWAROBAINI WA KUMALIZA MGOGORO KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera akizungumza na Wafugaji wote wa Wilaya ya Tunduru katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru. Wafugaji wa Wilaya ya Tunduru wakimsikiza kwa...
  4. kanywaino

    TPDC yaeleza ukweli wa gesi ya Ruvu

    Hoja sio ipo, kumbuka hapo hiyo taarifa imekuja baada ya watu kuanza kusema hata uwepo wake ni wa mashaka. Me nafikiri tujadili kwanza weledi wa waandiishi wetu wa habari hapa nchini manake tangu wasifiwe wanaandika chochote kinachopita mbele yao. wataalamu wamesema ipo, anaibuka mtu hana hata...
  5. kanywaino

    Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

    hivi wewe kaka hauna mshipa wa aibu?au uko marekani ulikokaa wazungu walikukata kamshipa mbona form four unashindana na darasa la kwanza halafu anakufunika?we usimwaibishe mzee malecela bwana na wagogo kwa ujumla unawahaibisha ..unaandika vitu hata havina mashiko?linapokuja suala la nchi...
  6. kanywaino

    Wenye majina ya watu walioweka fedha uswisi wawataje - Mkuchika!

    Taarifa ya habari waziri Mkuchika anasema mwenye majina ya watu wenye fedha Uswiss wampelekee na kahaidi kutowataja kuwa wamempatia majina hayo kala kiapo cha kutunza siri. Hivi kweli amefikiri kabla ya kuongea au au ndio media aonekane kaongea nae? maana waziri Mh. Membe alisema majina...
  7. kanywaino

    Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

    MH BASI KAZI IPO...SERIKALI INAKAZI SANA HAPO. hapo watu roho juu sipati picha nawewe si utaje jina kamili la huyo muhusika H.G SIO KUTUPA NUSUNUSU.MUNGU IBARIKI TZ
  8. kanywaino

    Nafasi JWTZ ..

    utaweza mabo haya kijana...any way best wishes.zitatoka uda si mrefu maana malawi nao......mkaongeze nguvu
  9. kanywaino

    moto unateketeza nyumba tabata relini

    mmiliki ni dini gani tujue kama ndio wameanza kazi au short ya umeme
  10. kanywaino

    Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Samahani nimeleta mada hii huku kwa sababu jamii dokta hakuna aliyerespond na watu wengu mnajikita kwenye jukwaa la siasa..nisaidieni na samahaani
  11. kanywaino

    Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Wanajamii naomba mnipemsaada ngozi yangu imetoka mapele nataka kuonana na mtaalamu wangozi atakayenipa sababu zatatizo langu ikiwezekana kama kuna vipimo anipime kabisailinitambue kinachonisibu....
  12. kanywaino

    Msaada wenu natafuta daktari wa ngozi

    Wanajamii naomba mnipemsaada ngozi yangu imetoka mapele nataka kuonana na mtaalamu wangozi atakayenipa sababu zatatizo langu ikiwezekana kama kuna vipimo anipime kabisailinitambue kinachonisibu....
  13. kanywaino

    How do you sleep....?

    Me namba nne mwana wane
  14. kanywaino

    Salama Jabir wa Mkasi, Lugha Chafu hii Haikubaliki Hata Siku Moja

    wewe aliyekutuma kuangalia ni nani tuachie vijana maji ya moto tuangalie..kwani tusi ni nini hapo condom ni tusi?kujaaliw kama punda ni tusi kwako kwasababu una corrupt mind ila mtoto atajua ni wannyama tu wa huko mbugani wamejaaliwa kupendwa..
  15. kanywaino

    Salama Jabir wa Mkasi, Lugha Chafu hii Haikubaliki Hata Siku Moja

    huyooo unaonesha unachuki na salama imekula kwako .......
  16. kanywaino

    Kwa wanaosoma au waliowahi kusoma udsm tu.

    mh dogo hujaaanza kusoma PL USHAKUWA GREAT THINKER HUKU JAMII JE UKIJA MALIZA CHUO SI UTAKUWA UNAMEDANI YA DHAHABU HUMU JF?ILA DOGO JITAHIDI UKIENDA SHULE UKASOME MAANA INAONEKANA UMEPANIA SANA..VIPI UMEPATA EDUCATION COURSE GANI?
  17. kanywaino

    Ndege za Malawi zafungasha virago Ziwa Nyasa

    hekima ni muhimu katika kila jambo hasa ambapo kabla ujaongea unafikiri kwanza..wa malawi wanaweka watafiti wakuchimba mafuta viongozi wanakurupuka eti tuko tayari kwa vita baada ya kuwa tayari nao kuchimba mafuta...aibu wao wanaenda kisomi zaidi hawana kelele
  18. kanywaino

    Msitu wa Pande sasa kuwa mbuga ya kitalii

    au waweke camping site.....watoto wakishua wawe wanaenda kupumzika weekend na hii itakuwa safi kwani kutakuwa na ulinzi au sio wadau....
Back
Top Bottom