Search results

  1. B

    Spika Ndugai: Bunge limeazimia kutofanya kazi na Profesa Mussa Assad si ofisi ya CAG. Ripoti itasomwa endapo haijasainiwa na Prof. Assad

    Naomba kufahamu, katiba yetu inaongelea Ofisi ya CAG au mtu aliye teuliwa na kuapishwa kama CAG!!? TWENDE VIZURI WENGINE hatujui tofauti ya ofisi na personal!!
  2. B

    Ndugu Kabudi ukitaka kupata Kiharusi jaribu kupambana na Lissu

    Ameandika Kada wa CCM #Bollen_Ngetti KAMA madai ya Lissu yatathibitika pasipo kuacha shaka nitahitimisha kwa imani kwamba Makao Makuu ya Mamlaka ya Shetani yako Tanzania na mawakala wake! Nitaamini kuwa Mhimili wa Ibilisi unafanya kazi duniani kutokea Tanzania. Lakini pia nitatamatisha maandiko...
  3. B

    Maneno mazito kutoka kada wa CCM ndugu Bollen Ngetti

    "...........Ni dhahiri ndio sababu Mungu aliacha kuwatuma malaika kumuokoa Lissu na badala yake akaingilia Kati yeye mwenyewe mzima mzima........" Na Bollen Ngett Hakika ni muujiza wa aina yake!
  4. B

    Tundu Lissu: Nimemsikia Mwita Mwikabe Waitara na alichokisema juu ya jaribio la mauaji dhidi yangu la September 7 mwaka jana

    Ninapoisikia sauti yako na kusoma maandiko yako (TL) tangu ulipopigwa risasi trh 7/9/2017, nabubujikwa na machozi ya uchungu sana na siku yangu uharibika Kabisaa! Lakini sina namna ila kuendelea kukusikiliza, kukusoma na kukuombe kwa Mwenyezi Mungu upone na kuimarika zaidi na zaidi, na mwisho...
  5. B

    Mkeka wa Spika Ndugai na 'shimo' la barua tatu za vibali matibabu ya Lissu

    Mhhhhh! Mambo yanasikitisha sana! Kwa nini lakini! Kauli ya Mh. Spika, bila kumung'unya maneno, na kwa haki ya mwenyezi Mungu, imejengeka katika mtaji wa ujinga wetu wtz! Hakika, imekuwa na nia ovu ya kutuadaa watz! Mimi sijapenda hili! Mwenyezi Mungu aliyetusikiliza kumponya Lissu wetu, yeye...
  6. B

    Bishop Zachary Kakobe: Mimi si CCM wala CHADEMA, sina kati ya chama cha Siasa hata Kimoja

    Yerikooo! Kaka umeandika!! Mimi nimekuelewa sanaaaaa!
  7. B

    Askofu Benson Bagonza (PhD): Mungu ainue nabii ili kurekebisha hili siyo Nabii ajiinue ili mfalme na makuhani wasimame katika zamu zao

    Nimefarijika sana!! ....ili Mfalme na makuhani wasimame katka zamu zao!!Amina, Amina, Amina!
  8. B

    Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Leo trh 27 atazungumza saa ngapi?
  9. B

    Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe CHADEMA

    Yanamwisho wake!
  10. B

    David Kafulila: Rais wetu Magufuli una nini na Makonda?

    Nadhani siku ya leo haitapita hajatumbuliwa! Kwa tuhuma hizi alizozieleza Gwajima! Haponi. Na kwa namba Mh. Rais wetu avyofanya kazi! Huyu bwana Leo mwisho wake.
  11. B

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Sioni sababu ya wewe kutoka jasho kuandika utetezi huu wakati mhusika mwenyewe yupo! Mh. Aajitokeze aweke documents zake chini tuanze episode nyingine.
  12. B

    Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Nadhani watamtunza hadi kesho saa tano asb. Yeye kawahi foreni ya kesho, ili awe wa kwanza.
  13. B

    Hoja: Msajili wa Vyama vya Siasa ana Mamlaka kufanya alichofanya kwa Lipumba na CUF?

    Nionavyo, hapa Cuf wanatakiwa kuprove mahakamani kuwa, maamuzi waliyoyatoa ni halali.Huu ndio utakuwa mwisho wa hili sakata.
  14. B

    Zitto: Uongozi sio matamko tu bali kuweka dira na kuisimamia

    Dira ni utumbuaji majipu!
  15. B

    Swali la Ugomvi: Ni Kina Nani Wasiotaka Magufuli Afanikiwe na Kwanini?

    Kushindwa kwake ni pigo kwa Wananchi! Namuombea afanikiwe Sera zake.
Back
Top Bottom