Search results

  1. MWANA WA UFALME

    Rav4 Kill time inauzwa

    Rv 4 kil time inauzwa Bei ya mwisho ni 15m Engine ni 3s (ya japan) Transmission-manual Ipo kwenye hali nzuri na haina tatizo lolote Pm kwa details zaidi
  2. MWANA WA UFALME

    Rv4 inauzwa

    specifications maker: Toyota model: Rv4 (kili time) no of doors: 5 fuel type: Petrol trans: Manual colour: Blue year: 2003 price: Negotiable
  3. MWANA WA UFALME

    Alert: Rwanda na Kenya Juu kielimu kanda ya Africa mashariki

    Below is the ranking of African countries by the literacy rate. This entry includes a definition of literacy and Census Bureau percentages for the total population, males, and females. There are no universal definitions and standards of literacy. Unless otherwise specified, all rates are based...
  4. MWANA WA UFALME

    Uhuru ataka common viza kwa watalii wote wa EAC

    Uhuru Kenyatta calls for common East African Community Tourist VisaBy In2EastAfrica Reporter KAMPALA, UGANDA: President Uhuru Kenyattahas said East African Community ( EAC) member states need to move fast to put in place a conducive investment environment that will attract foreign and...
  5. MWANA WA UFALME

    Kura ya kutokuwa na imani na serikali

    Kwa mlolongo wa matukio yanayoendelea kwenye taifa la sasa ni dhahiri kuna udhaifu mkubwa kwenye serikali maana chochote wanachosema hawaaminiki tena, Raisi haonekani kuonyesha msimamo thabiti juu ya kukemea maovu yanayoendelea kwenye taifa. Wanaofanya maasi dhidi ya upinzani (ambao serikali...
  6. MWANA WA UFALME

    CCM walisambaza tamko la mtikila

    CCM inahusika • Tamko la Mchungaji Mtikilla laibua utata mpya na Mwandishi wetu Soma palipo na red MAZINGIRA ya kabla na baada ya tukio la mlipuko wa bomu lililotokea mkoani Arusha katika mkutano wa kampeni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), uliofanyika wiki...
  7. MWANA WA UFALME

    CCM kupima kina cha maji kwa ncha ya kidole?

    Baada ya kuona response ya ccm baada ya Polic kuwahoji Lema na Mbowe, This is my take; Inaonekana waliwatumia Polic kutaka kujua kama kweli cdm wana huo mkanda au vipi ndipo wapange next move, Sasa baada ya kusikia kwamba cdm wamesema kwamba hawana, next move yao ikawa ni 1. Mwigulu kunena...
  8. MWANA WA UFALME

    Maendeleo ya uchunguzi wa bomu la Arusha

    My take kwa uchunguzi wa bomu hili unavyoendelea; Uchunguzi huu unazunguka tu wagonjwa na viongozi wa chadema Hii ni dalili kubwa kwamba huu sio uchunguzi bali ni jitihada za kuficha uhalifu, Huwezi kusema tukio limetokea toka juzi na hadi leo polici wanahangaika kutafuta wagonjwa na wabunge...
  9. MWANA WA UFALME

    Unajisikiaje mtu akikwambia ni CCM

    Zamani nilikuwa naheshimu mtu akiniambia yupo ccm japo nilikuwa upinzani ila kwasasa nikisikia hivyo nahisi mtu huyo atakuwa either anatatizo la psychology au ni njaa tu. Sijui wadau wengine
  10. MWANA WA UFALME

    Ccm iliratibu fujo katika kila kona iliyokuwa na uchaguzi

    NI DHAHIRI CCM IMEAMUA KUANZISHA VITA KUPITIA HIZI CHAGUZI. WAKULAUMIWA KWA YATAKAYOTOKEA NI WAO SOMA HAPA; Chaguzi zageuzwa ulingo wa damu • Risasi, mawe, mikuki, vyatumika na Waandishi wetu YUMKINI hali si shwari tena nchini, baada ya jana chaguzi mbalimbali za kuziba...
  11. MWANA WA UFALME

    Malawi wapinga tanzania kuweka meli ziwa nyasa

    Malawi government has protested against plans by Tanzania to deploy two passenger vessels on Lake Malawi (known in Tanzania as Lake Nyasa) . In a formal protest letter to Tanzania against the reports presented in their National Assembly that they want to deploy two passenger vessels on the...
  12. MWANA WA UFALME

    Breaking news: Mourinho achaguliwa kuiongoza tena chelsea

    Habari za hivi pinde ni kwamba Chelsea wamemchagua tena Mourinho kuiongoza klabu hiyo kwa kipindi kingine cha miaka minne Source: cnn
  13. MWANA WA UFALME

    Picha: Je haya haya ni maendeleo?

    check picha hii ujaribu kuweka tafakari yako
  14. MWANA WA UFALME

    Picha ya mtuhumiwa wa ugaidi Arusha

    Nimekuwa nikijaribu kufuatilia picha ya mtuhumiwa wa ugaidi Arusha bila mafanikio, labda kuna mlio nayo mtuwekee. kama haipo basi yapo maswali mazito. Tumeshuhudia picha za watuhumiwa hasa yanapokuja matukio ya kitaifa kama haya. Si tu ndani bali nje ya Tanzania. Huyu mtuhumiwa...
  15. MWANA WA UFALME

    Hadithi hii inatufundisha nini watanzania?

    Hapo zamani palikuwagepo na simba aliyejulikana kama mfalme wa wanyama wote porini. Siku moja aliamua kumtembelea Sungura aliye julikana kuwa mwerevu na mjanja sana kule porini. Basi, simba alipofika nyumbani kwa Sungura mjanja, sungura akatoka akamkaribisha akae. Simba akakataa kukaka...
  16. MWANA WA UFALME

    Kitabu kilichochambua tanzania kwa undani

    bonyeza hiyo link ni free kusoma. The Democratisation Process in Zanzibar: A Retarded Transition - Google Bøker
  17. MWANA WA UFALME

    Maswali magumu: Tanzania ilipo na inapoelekea

    Ndugu wanajamvi, kuna vitu ninavyojaribu kutafakari na sijaweza kupata majibu sahihi juu ya taifa lilipo na linapoelekea. Haya ni baadhi ya maswali: Taifa hili limejengwa kwa juhudi za kuunganisha tofauti mbalimbali na tunaweza kumkumbuka aliyeasisi hilo. Je kipindi hiki nani wa kupewa sifa za...
  18. MWANA WA UFALME

    Naulizia Duka lenye flat screens na furniture za kisasa Dar not fake stuff

    Kwa wenye uzoefu na ununuzi wa flat screens na furnitures Dar naomba mnipe uzoefu wenu wa duka ambalo lina fare price but quality products nilizozitaja. Natanguliza shukrani.
  19. MWANA WA UFALME

    Picha ya matumaini

    picha hii ina mengi ya kujieleza
  20. MWANA WA UFALME

    Show ya mwaka na ya aina yake toka bss

    HII KWELI NI SHOW MPYA TOKA BSS AMBAPO MWIMBAJI ALIINGIA NA VINYONGA JUKWAANI. PATA LINK HAPO
Back
Top Bottom