Search results

  1. A

    Askari wale wa Jeshi, Makonda aliwatoa wapi?

    Kwa ninavyofahamu ni kwamba RC hana Mamlaka ya kuamlisha vyombo vya Ulinzi na Usalama kufanya jambo lolote. Hakuna Sheria inayompa Mamlaka hiyo. RC Bashite alikodi wapi wale waliomsindikiza kwenye utekaji wa kituo cha luninga?. Askari waliomsindikiza RC Bashite walivaa sare za mojawapo ya...
  2. A

    Rais Magufuli tumtetee kwenye mitandao na popote, tusikubali adhalilishwe kila uchao

    Ameandamwa na lipi ambalo alifanya kwa haki? Ni kazi ya wananchi kuwatetea viongozi wao kama wanatenda kwa haki lakini ni jukumu la wananchi wenye mapenzi mema kumkosoa asipotenda kwa haki. Je unatuhamasisha kumtetea ili mradi katetewa? Utakuwa msaada sana kama utaonesha maeneo ambayo rais...
  3. A

    Aliyetupa Macho asiweze kuona?

    Ni nguvu ni kitambo tu, hata yeye atapita. Afanye jino kwa jino au jicho kwa jicho au chuma kwa chuma vyote vinapita tena vinapita haraka kuliko unavyoweza kudhani. Huyo unayemshabikia inamfaidia nini kutweza utu wa watu? Na je wewe unafaidika nini unapoona mwingine anateseka kwa sababu ya kuwa...
  4. A

    Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Tunaongozwa na kipofu wa kuona na kujua maana ya Taifa lenye upendo, amani na utengamano. Kwake kuumiza ndiyo furaha yake, hakika Tanzania inaelekea kutumbukia kwenye shimo baya la utengano na mifarakano yanayobuniwa na Mkuu wa Nchi, aibu kwetu na ole kwa waliotufikisha hapa.
  5. A

    Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

    Mtu akirudia ufahamu wake shuruti apewe sifa yake, haijalishi jana alisemwa vibaya lakini kama anaonekana sasa akili zimemrudia ni muhimu akapewa haki yake kwa kupongezwa. Siku zote kuna Ubaya na Uzuri, kwa ubaya wasemwa vibaya kwa uzuri wasemwa vizuri na kupongezwa.
  6. A

    Ujio wa Wema Sepetu CHADEMA: Is She an Asset or a Liability? Mmeishaumwa na Nyoka, Hamjifunzi tu?!

    Je mtu kuwa Asset anatakiwa asiwe "mrembo?, Mnyange?, Mlimbwende?" Sifa za mtu kuwa Asset kwenye Chama ni nini? Je walio Asset mbona hatuwaoni mkijitokeza kusaidia Taifa lisonge kutoka hatua moja hadi nyingine? CCM waliona nini kwa Wema hata wakamtumia kupiga kampeni na kuambatana na mtu mkubwa...
  7. A

    Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

    Anamwakilisha Mungu yupi? Mungu atesaye ni yupi? Mungu asiye Haki ni yupi? Anayemwakilisha Mungu utawala kwa Haki na Taifa huwa katika HAKI
  8. A

    Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Hizi ndizo mbegu alizopanda mheshimiwa Daudi Albert Bashite, ni haki yake sasa kuanza kuvuna. Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna. Tunamtakia mavuno mema kwa kazi ya mikono yake mwenyewe
  9. A

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Udhalilishaji wa wanawake wa kimakonde, kelele zao ulizisikia wapi kama hukuwa sehemu ya wanaosababisha kelele kupigwa? Tuoneshe mchungaji tapeli na malaya kwa evidence ili tukuamini. Kama hamna evidence na wewe utaonekana huna maana.
  10. A

    Elections 2010 Beware, slow poison of religious bigotry is entering into Tanzania’s body politic!

    Hakika wewe ni kiboko, kila kitu unapinga bila kujadili hoja. Hebu jaribu kujadili hoja kwanza n kisha onesha msimamo wako. Je wewe unalishwa na rais kwa sababu ni wa dini yako. Ni muhimu kama wadau kubadilishana uelewa wa jambo linawekwa mezani kwa kujadili ubaya na uzuri bila kukimbilia kuunga...
  11. A

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Uongozi ni kazi ngumu, ni kazi inahitaji muda na kujitoa kweli kweli katika kuhakikisha kwamba Taifa linafika kule ambako wote kwa pamoja tunaamini ni muhimu taifa lifike. Maeneo ambayo kwa pamoja kunamakubalino bila kujali ni nani anachanganua vizuri zaidi ni kama yafuatayo:- 1. Wote tunahitaji...
  12. A

    Elections 2010 Malipo ya Salma Kikwete yazua utata!

    Mwanahalisi ya leo ina headings zifuatazo: Malipo ya Salma utata., Takukuru mshauri wa CCM, Pia kuna makala ya Ndimara Tegambage inasema: Kikwete, kura na watuhumiwa ufisadi, Joster Mwangulumbi anachambua: Kinana mwongo au Msahaulifu? Mbasha Asenga anauliza: Kwa mabango haya, hofu au JK...
  13. A

    Elections 2010 Pinda: Umasikini umepungua Tanzania

    Umepungua kwake kwa sababu kodi zetu zinamhudumia yeye na familia yake. Lakini nje ya hapo, sioni kama haya anayosema ni ukweli. Ulimi ni kiungo kidogo lakini matatizo yake makubwa. Kwa maneno ya ulimi viongozi huwa tayari kusema hata yasiyo kweli, lakini ni kwa aslahi ya wenyewe.
  14. A

    Elections 2010 Kikwete apewa report ya kura za Slaa

    Hakika hata yeye ni msomi asisubiri kufanyiwa kazi. Wenzio wamefanya kazi wanakupa taarifa hutaki kuamini, sasa njoo na utafiti wako uweke mezani tuudadavue. Argue with facts in hands not just words. Hii itatusaidia kutoamini taarifa zingine ambazo wewe utathibitishia jukwaa kwamba sio za kweli...
  15. A

    Ridhiwani na Mwalimu wake

    Kijana endelea kutetea ulaji wa familia Ikulu. Hii ndiyo kampeni ya nyumba kwa nyumba ili baba, mama na watoto wabaki Ikulu. Kweli Ikulu kutamu. Hebu hakikisha unaacha mshiko wa kumtoa mwalimu angalu kwa msimu mzima. Angalia alivyochoka kwa maisha magumu, kitanda ndiyo hicho. Angalia dada Hasna...
  16. A

    Elections 2010 Slaa aanza kampeni Kilimanjaro

    Kyela na Mbeya yote anasubiriwa kwa hamu kubwa. Vijana na Wazee wote kwa pamoja wanataka kumwona Dr.Slaa. Hakika mabadiliko yanakuja.Kyela wanasema Rais ni Dr.Slaa na Mbunge ni Dr.Mwakyembe. Mungu amjalie afya na nguvu ya kumaliza kazi hiyo ngumu Dr.Slaa
  17. A

    Elections 2010 Kikwete apewa report ya kura za Slaa

    Ndoto ndiyo mwanzo wa uhalisia. Asiyeota kwa mambo makuu hafikirii na mtu asiyependa mabadiliko hata siku moja. It only who think the possibilities who are ready to embrace changes in their life, for those who live in their "reality" realm never dream for change, for them change is the threat...
  18. A

    Elections 2010 The Most Influential Tanzanian Alive?

    Karibu watu wengi wlibebwa kwa magari na daladala zilikodiwa kariakoo ili watu waende kwenye mkutano. Hakuna aliyekuja kwa ridhaa yake hapo, kilicho wapeleka ni njaa, kwai walipewa wengine 20,000 na wengine kutegemea ujanja wao. Madereva teksi walikuwa wanpewa kila mmoja elefu 20,000 na kuwekewa...
  19. A

    Elections 2010 Kampeni ya Dk. Slaa Karatu na Arusha Katika Picha

    Michuuzi na aelewe kwamba saa ya mabadiliko imewadia na hawezi kuuzuia kwa kutoweka picha za matukio ya Dr.Slaa. Akubali matokeo na ili blog yake iwe ya watu wote ni vema akazingatia balance. Dr.Slaa songa mbele hata wabane wataachia tu.
Back
Top Bottom