Hebu jaribu kuachana na vyaka vyenye mafuta mengi, mikaango, pilipili na vyenye chachu/ acidic food. Viazi vitamu na vyakula vilivyolala. Unapomaliza kula hakikisha unajishughulisha kidogo na usilale mara tu unapomaliza kula. Mto wako uwe umenyanyuka kidogo. Maelezo yako yanafanana na tatizo...
Sasa usipomtaja si unataka wengine wafe! Kama kweli umetaka watu wawe na tahadhari na ikiwa hili jambo ni kweli lilitokea unaogopa nini kumtaja! Kesho atakufa ndugu yako mikononi mwako
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hivi kesi za uhaini ni zipi? Hii haiingii katika kundi hilo? Wataalamu naomba msaada hapa. Na je? Haya si yale makosa yasiyokubaliana na msamaha wa rais,
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Atakuwa ana sababu! Pengine akisema hivyo utaacha mapema. Na wewe piga magoti kando yake sema sala ifuatayo: Ee baba wa mbinguni, nakuja kwako nikuomba umsaidie mke wangu mpenzi ajue ninavyokereka akinishtaki kwako! Funga pepo lake la malalamishi na utupe amani, niondolee hasira zinazopanda kila...
kwi kwi kwi! nyie watoto wa dot.com mnachekesha kweli! mnawapigia kujadiliana nao kama muende au msiende? au ni nini mnawauliza? Enzi zile za kina Afande Dunia... ukijiona tu selule unatafuta mbinu nyingine za kupata gamba na kuendelea na mchakato wa Mlimani. Hakuna mjadala nao...maana ilikuwa...
Ha ha ha! Yaani unataka umchape mwenzio na yeye amekariri desa lililokosewa! Amedai Mandela ambae ni rais wa SA amefungwa miaka 24 iliyopita! Ha ha ha... Unajua alisoma kwa kiingereza sasa alipotafsiri maana ikavurugika!
btw nimetuma namba kupitia tigo mara mbili wanadai namba imekosewa wakati huo huo nimetuma namba hiyo hiyo kupitia airtel namba ipo sawa! Tigo ndio wezi au Mwananchi!
Kwikwi kwiiiiiiiii! Jamani,bavu zangu! Hii tafsiri kiboko! Duh! Wale lugha changanya bora muwahi darasani ....maeneo ya Mugabe huwa naona matangazo njianii wanafundisha kiinglish! Wiki tatu tu unazungumza! I believe kusoma na kuelewa ni bill moja
This is so pathetic! Kweli hapa mtu akisema wakenya wanayuonea wivu ni wa kupiga mawe! Khaaa! Wanatuonea wivu kwa kuwa na mtu kama Achacha! Hivi inawezekanaje kuwa nae mpaka sasa! Huyu anahitaji kuwekwa kwenye wodi maalumu! Unfortunately habari ni ndefu ila ukianza kuisoma hutaiacha maana ni...
kama zilivyo shule za wavulana na za wasichana ni hali hiyo hiyo. Muhimu ni kuzungumza na watoto na kuwaelea katika maadili sahihi. Mara nyingine huwa tunawaficha sana watoto kufahamu mambo tunayoyaita "mazito" na bila kujua tunawaacha wakafundishwe na wenzao. Sasa kama hujawafundisha, wenzao...
hapa ndipo mahali pa kuzungumza na watoto. Maana hata kama familia ingepitiwa na hiyo tsunami mliyoomba haya mambo yapo, na usiposema nao watakutana nayo na wasijue jinsi ya kuyakabili. Japo huyo dogo mliona ndio mtata hata yeye anahitaji kufundishwa, maana watoto wetu wapo hatarini muda wote...
Eish! Sisy!... ila na wewe pia una mashaka, si ndio eeh? japo wazazi hawapaswi kukupangia nani awe wako ila hapa mambo unayosema yanatia mashaka mno! walikuwa na hamu ya kujua namna ya kupata vibali eeh si hamu ya kufahamiana na shemeji yao! mmmmh!:juggle: kazi kweli kweli! anyways, wee tumia...
Hapa ndipo unaona jinsi wanadamu tunavyojua kunyooshea kidole wengine! Jamaa anashangaa wanawake kwa kutoa kavu kavu! Na huyu jamaa ambae kuliko aonekane ana tatizo akaamua kuingia kichwa kichwa ... saa hizi anajuta, je? Huu si ndio ufisi (lugha ya picha) kabisa? Kuliko kuukosa mfupa bora...
Sijawa disappointed tangu niwe mteja wao...ikiwa una kazi zinazohitaji speed hutakumbuka gharama, kama alivyosema mmoja hapo, rahisi ghali! I am so happy with Smile...why lie?
Hotuba aliyomaliza kutoa Rais Obama kuhusu hali ya usalama US imenifanya nikajuiliza maswali mengi hasa uwezo wake wa kuweza kuzungumza na wananchi hata katika hali ya hasira na kutupiwa lawama za wazi! Hotuba yake imekumbwa na shutuma za wazi na watu kumkatiza wakati anaongea ila ameonyesha...
Nataka kuamini kuwa Rais wetu anafuatilia speech anayotoa Obama sasa hivi, na kujifunza toka kwake namna anaweza kuongea kwa busara na wananchi wake! Hata pale hakubaliani nao!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.