Search results

  1. dtj

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Ukipata tikitimaji hapo shughuli imeisha[emoji3]
  2. dtj

    Fani ya tehama kuwa kama utapeli

    Unahoja nzuri! Tatizo uwasilishwaji wake!
  3. dtj

    Nimepata pasi ya kusafiria (Electronic passport)

    Passport ni jambo rahisi kupata! Na kama kuna changamoto basi kwenye mfumo kuna namba za simu. Wewe utafutwe kwa lipi? UTAPELI!
  4. dtj

    Msaada: Ripoti ya mwaka ya Asasi zisizo za kiserikali (NGO’s)

    Kwani mwaka si unaishia June? Kiserikali na pia ki asasi. Hivyo piga hesabu ulisajili mwezi gani kwa zaidi Njoo pm tuelekezane.
  5. dtj

    Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

    Yesu mwenyewe anasema imetupasa kuomba bila kuchoka, Mungu kupitia nabii isaya anasema tumkumbushe, tujadiliane atupe haki yetu. Wewe unasema tunakosea? Hii imekaaje?
  6. dtj

    Nafasi zipi za kazi zipo ndani ya kiwanda cha maziwa?

    Naomba kujuwa! Una kiwanda? Au lengo la kujua haya ni nini?
  7. dtj

    Muda wote tu unawaza Kusafiri 'Majuu' kwanini huku nyuma Wajanja 'wasikupige' na Kujitajirisha?

    Nyie wote ndio wanyonge aliosema mwenda zake. Yaani mmekaa mnamuangalia anawafanya yote haya?
  8. dtj

    Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Kwani wapi kasema hakubaliani na Elimu au maarifa haya. Hoja yake ni dini tuu. Kwani vidole vyote vinafanana?
  9. dtj

    Tukumbushane tukio la Ujambazi pale Ubungo Mataa mwaka 2006

    Aisee umenikumbusha hii siku, na namkumbuka sana Marehemu Michael (R.I.P) nitaeleza kuhusu marehemu Michael hapo mbeleni. Basi, ilikua siku za kawaida tuu, mwaka huu nilikua bado mwanafunzi maeneo ya Mjini kati. Kwaiyo nilikua na urafiki wa karibu na Marehemu Michael ambaye baadae...
  10. dtj

    AZAM TV Mjitafakari na Bei Zenu za Ving'amuzi, DSTV Wameamua

    Sio wanadhani, ni wao dstv wameji-position hivyo kwenye soko. Nikama maji ya Kilimanjaro huwezi kusema ya wanyonge sababu tajwa hapo juu. Positioning.
  11. dtj

    Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

    Wewe itakua unakipato cha uhakika kwa mwezi, ungekua unaishi maisha ya pata potea usingeongea haya.
  12. dtj

    Masheikh wenye vyeo Serikalini msimamo wenu ni upi kuhusu Uislam?

    Kimsingi hata Biblia inasema tujiepushe ma mabishano ya dini.
  13. dtj

    Masheikh wenye vyeo Serikalini msimamo wenu ni upi kuhusu Uislam?

    Kimsingi ni kwamba DINI sio sawa, na zaidi Mungu wa hizi dini wanatofautiana Big time. Waislamu Mungu wao hana nafsi Tatu. Sasa huwezi sema Dini zote sawa au zinafanana.
  14. dtj

    Msaada kwa Mwanaume Yeyote aliyepata Suluhisho la upungufu wa Nguvu za Kiume

    Boss. Kuna ushauri hapo juu kuhusu mwanamke uliye naye unamtamani? Yani kakaa kimatamanio? Au ushamchoka? Mimi niliwahi hisi ninatatizo Kama lako[emoji28][emoji28][emoji28] nikamchana mshikaji wangu akaniambia acha ufala, em jaribu Kazi ingine, nilipoenda nje mambo yakawa moto. Lesson...
  15. dtj

    Series (Special thread)

    Kula like
  16. dtj

    Rais anayetumia ndege na msafara wa watu 30 na anayesafiri kwa barabara na msafara wa Magari 50, ni yupi anabana Matumizi?

    Mtoa mada, hapo tatizo umeona ndege ukaogopa unajua ni maheraaaa mengi?
  17. dtj

    Series (Special thread)

    Baharia mweusi na wenzako mmeleta fujo yaani mkeka wetu unamabishano yenu daah. Anyways, tuendelee na kupeana madini.
  18. dtj

    Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

    Akili za kuambiwa unachanganya na zako.
Back
Top Bottom