Search results

  1. Nyenyere

    Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

    Fake prophet. Uthibitisho uko wazi, ni hatari huyu!!
  2. Nyenyere

    Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

    Tofautisha mwanamke kuwa na pesa na mwanamke 𝐤𝐮𝐡𝐮𝐝𝐮𝐦𝐢𝐚 familia. Acha kuishi kwenye dunia ya kufikirika
  3. Nyenyere

    Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

    Kwani unafahamu aina ngapi za upendo?Au kwako kila mwanamke unayempenda unamtamani awe mkeo? Jaribu kufikiri
  4. Nyenyere

    Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

    Tofauti ya Biblia Takatifu na Quran ni kuwa Biblia Takatifu inabeba ujumbe uliopewa watu mbalimbali na Mwenyezi Mungu kwa njia mbalimbali, katika maeneo tofauti kabisa lakini ujumbe ukawa ni ule ule. Watu hawa waliopewa ujumbe huu walishuhudiwa na jamii yote kwani Mwenyezi Mungu alijidhihirisha...
  5. Nyenyere

    Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

    Wanawake wanaongozwa na mihemko, ndio maana upendo wao ni kama mshumaa. Zile factors zilizomfanya apende leo zikiondoka ama zikija bora zaidi anapoteza upendo kirahisi tu. Hili wala halihitaji tochi wala imani.
  6. Nyenyere

    Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

    Hata kisayansi ndio hivyo. Mbona ushahidi umejaa tele?
  7. Nyenyere

    Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

    Mwanamke hakuumbwa kupenda, fahamu huo ukweli kwanza.
  8. Nyenyere

    Anguko la Yanga

    Hivi huyu mchambuzi feki bado yupo jukwaani?
  9. Nyenyere

    Nitaambiwa nachochea chuki, jioneeni hapa👇

    Huu ndio uislamu halisi
  10. Nyenyere

    Nitaambiwa nachochea chuki, jioneeni hapa👇

    Afu ukimaliza kudanganya kuwa jamii ya kiarabu imestaarabika 𝐮𝐧𝐚𝐤𝐢𝐦𝐛𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐮𝐥𝐚𝐲𝐚!! Jaribu kuwa mkweli, achana na mahaba niue
  11. Nyenyere

    Ipi tofauti kubwa Kati ya Judaism na Uislam?

    Kurani imeandikwa mwaka gani? Tuanzie hapo
  12. Nyenyere

    Ipi tofauti kubwa Kati ya Judaism na Uislam?

    Rudi darasani kajifunze tena
  13. Nyenyere

    Anguko la Yanga

    Tatizo tulilonalo kama taifa ni uhuru wa kujieleza umezidi sana!!
  14. Nyenyere

    Nisikilize: Mkeo si ndugu yako

    Bado hujaelewa, soma tena
  15. Nyenyere

    Nisikilize: Mkeo si ndugu yako

    K ama bado kuna ubishi tutazame VAR sasa kwa mtazamo kama huu ndoa itadumu vipi? unaleta adui kwa jina la mke, kuna ndoa hapo? badili mtazamo kwanza
  16. Nyenyere

    Nisikilize: Mkeo si ndugu yako

    Tena hao ndugu wa zamani walikuwa n busara sana, wasingekubali wao ndio uwaweke mbele badala ya mkeo. Ndugu anayeshabikia haya hana akili kabisa.
Back
Top Bottom