Hivi halmashauri ya Manispaa ya UBUNGO ina sababu gani ya kushindwa kupanga mji wa kisasa wa GOBA?
Hii nchi ina watumishi wa ajabu, nafikiri ofisi ya ardhi Ubungo hawajui hata kinachoendelea Goba.
Interstate tours ni biashara ya huduma za kitalii ndani ya tanzania na nje ya Tanzania,
Biashara hii inahitaji watu wawili wenye sifa zifuatazo.
1.marketing and events organizer competence(mtu wa kwanza)
2.Information and technology competence(mtu wa pili)
Wenye sifa hizi nitumieni ujumbe wenu...
Rais wa sasa wa DRC Congo, Felix Tshisekedi anatokea kabila kubwa la wafanyabiashara,Kabila la wakasai,asilimia kubwa ya mizigo ya wakongo wanaoingiza mizigo kupitia bandari ya Dar es salaam ni wakasai wanaoishi Lubumbashi,Katanga na Kasai.
Kwakweli kuwapoteza wafanyabiashara hawa ni hasara...
Tanzania biashara ya utalii na madini hazijatendewa haki kabisaaa.
Sasa nahitaji watu wanne au zaidi tuanze na campsite moja kabambe ambayo itakua mfano Tanzania ikiwezekana Dunia nzima.
Wekeni namba zenu za simu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu ukitembelea nchi kama Namibia,Senegal,Botiswana,zambia utagundua kua kufanya biashara Tanzania ni kupoteza muda mana sera ya kodi Tanzania ni mbaya sana,yaani tanzania unalipa kodi ambayo inakata mpaka mtaji,kwa upande wa watumishi nchi za wenzetu ajira ni huduma ya jamii siyo kazi,kwahiyo...
Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti, wanasema Bunge letu kwa sasa halijui wajibu wake, wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani, wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo, hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.
Mpaka sasa wabunge wasasa hawana...
Nimepiga hesabu zangu hapa,inaonesha kwa siku watu 400 tu ndo hupanda ndege ndani ya Tanzania.
Nikachukua idadi ya ndege zilizopo tanzania,nikachukua hali ya uchumi mtaani..nikapata majibu kua ndege itakua inapata abiria wasiozidi 15 kwa siku...sasa je kwa abiria 15,shirika litaweza kujiendesha?
Mpaka muda huu kuna threads zaidi ya kumi zilizoanzishwa leo na wafanyakazi wa serikali,wanalalamika sana,inasemekana mambo yao ya mishahara haiko sawa,mana waliahidiwa kuongezewa mapema mwezi huu wa saba.
Hebu jetokezeni simameni mbele ya wafanyakazi enyi viongozi wa vyama vya wafanyakazi.
Mtu kaajiriwa mwaka 2012,mpaka leo 2017 hajapandishwa daraja.
(2017-2012=5).sheria za utumishi zinasema kila baada ya miaka 3 tu mtumishi anatakiwa apande daraja.
Nasikia toka mwaka 2016 hakuna nyongeza yoyote ya mshahara.
Kwa mantiki hii nathibitisha kwamba waajiriwa wengi wana uwezo mdogo...
Wafanyakazi wa serikali hasa wale wa Tamisemi,vipi haki zenu za kisheria mwaka mmepata?
Wahasibu hapo vipi?
Madaktari hapo vipi?
Maafisa kilimo hapo vipi?
Walimu hapo vipi?
Wengine endelezeni..
Haiwezekani mtu una elimu kuanzia diploma mpaka phd lakini unaendelea kulia lia mbele za watu eti serikali inaninyanyasa haitaki kunilipa stahiki zangu mara mishahara mara likizo mara kupanda cheo n.k.
Kama kweli una elimu ndani yako toa masharti (ultimatum )kwa mwajiri wako,akishindwa kutimiza...
Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda, ametangaza kuunda serikali sambamba na utawala uliopo Rwanda, lakini itakayokuwa ikifanya kazi nje ya nchi.
Thomas Nahimana ambaye ni kasisi wa zamani anayeishi nchini Ufaransa ametangaza kuunda serikali hiyo itakayofanyia kazi uhamishoni.
Katika mazungumzo na...
Taarifa nilizonazo japo sina uhakika mpaka nitakapofika Lusaka kuthibitisha ni kwamba...
Azam (Bakhlesa) peke yake zambia ndo anauza..
1.Ice cream
2.chapati
3.nazi
4.Juice fresh.
Kwa maana hiyo mzee Bakhlesa ni mtaalam wa kuona fursa.
Sasa basi kama wewe ni kijana na unaweza kuthubutu ungana...
Kwakweli hili swala la mvua za mwaka huu kama serikali haitalipa uzito wa juu,jamani mwaka huu sijui kama watu watamudu kula hata mara moja kwa siku mbili.
Naomba kiongozi yoyote wa serikali Apande gari kuanzia...
Mtoto anamulaumu mzazi kwa kushindwa kumuwekea mazingira mazuri ya kupata utajiri,
Mzazi naye anailaumu serikali kwa kushindwa kumuwezesha ili amuwezeshe mwanaye.
Serikali nayo inaamua kulaumu nchi zilizoendelea kushindwa kuiwezesha ili iwezeshe watu wake.
Mwisho wa siku waafrika tunakua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.