Ni kweli kabisa jukumu la ulinzi na usalama wa raia na mali zao ni la polisi, na maandamano ni haki ya kimsingi ya raia, hivyo basi polisi wanawajibika kuwalinda wote wanaoandamana na watakaokuwepo maeneo ambayo maandamano yatapita na sio kuyazuia, kuyazuia kwa sababu za kiusalama kila ikiwa ni...
Huu ni upuuzi yaani kuhamasisha ulinzi shirikishi aka polisi jamii ndio kwenda kuchangishana hela kununua matairi na petroli kwa gari la polisi kuweza kufanya doria? hawa wanasiasa na viongozi chini ya utawala wa ccm ni bure kabisa, yaani wao ni kufwata pale ambapo raia wamehangaika na...
DRCs Kyenge Suffers Racism As Italys 1st-African Cabinet Minister
Dr. Cecile Kyenge, an Italian citizen born of parents from the Democratic Republic of Congo made history as the first African to become a cabinet member in Italy on April 27, a historic development which however has seen a...
Compilation of World Leaders Getting In Fights - YouTube
Kujua habari ni bure, kanuni na sheria zikifwatwa hakuna sababu za mtafaruku, hawa pia walipishana kuhusu kufwata kanuni na mwishowe inakuaga hivi.
:nono:
MADARAJA MAPYA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE:
Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:
A = 81%-100%
B = 61%-80%
C = 41%-60%
D = 21%-40%
F = 0%-20%
Mabadiliko...
By Chris Lukosi
Nani alikuambia mie nilifeli?
Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili.
Haya ukiandamana kesho halafu....
Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa Division one?
Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora DJ kasema muandamane basi woote...
Wewe kiazi thatha,
(Katika kutekeleza hilo, CHADEMA wameanzisha kampeni za kueneza hoja yao hiyo kwa wananchi huku ikiwashawishi wakatae raslimali zao kutumika kwa manufaa ya Taifa. Mathalan, baada ya OPERESHENI OKOA KUSINI kutokuwa na mafanikio, viongozi wa CHADEMA waliwashawishi viongozi wa...
Pole sana dada, katika mazingira hayo lazima utakua umevunjika moyo vibaya sana na naona umetumia maneno/mistari ya biblia katika kuhuzunika na kuumia kwako baada ya haya matukio, ila sasa naomba wewe na hao madada wengine unaoshauriana nao m-waze haya pia, hivi hiyo biblia pia inakufundisha...
Well nimependa ulivyofafanua na mimi nafikiri ni tabia ya mtu sio ushawishi wa material things, sasa kwa alieandika thread hii mi namshauri akiwa na situation kama hiyo aandike hasara, cha muhimu aweke mkataba mpya na mkeo maana umalaya ni tabia, wavune hiyo mitaji ya wahongaji then wafanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.