Search results

  1. ujoka

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    hii hapa rastaman leo niko full kwa huu mpambano
  2. ujoka

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    ndio wanavyoitwaga kwenye koran mkuu mayahudi na wakristo waalnaitwa manaswara
  3. ujoka

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    vitabu vimewaagiza nini juu ya mayahudi na manaswara?
  4. ujoka

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    sio aka hilo ni jina lake aliopewa na wazazi wake ambavyo wewe wazazi wako walivyoamua kukuita malalamiko yeye
  5. ujoka

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    mbona kwa hio link naona kama ilikua ni 2017 ndio alimsema mwendazake ni miaka minne kabla ya demise ya mzee wetu Dr Yohana au mimi nimeona tofaut?
  6. ujoka

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    huyo mke ana akili chache mno Hillary clinton mwenyewe alikaa upande wa mumewe japo ushahid usiotiashaka ulitolewa na monica Lewinsky nguo za ndani za bint zikiwa na janaba la clinton hillary aliangalia ugali wake akaweka ego pembeni
  7. ujoka

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    acha ukuda hata ngoma ya mwisho kamuimba yeye thou yahaya ni naibu wazir
  8. ujoka

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    sema mkuu umepunguza sana kutoa dondoo siku hizi
  9. ujoka

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    nilipataga dili la ku supply materials shulen kwake kuna mwananangu akaniambia huyo dingii ni mgaigai balaa alishawah kumfanyia kazi akawa kila akienda kufuatilia malipo yake anamkuta hayat kaweka bastora mezan anasafishasafisha virisasi inabid muhuni azuge alipita kusalimia baada kupata hii...
  10. ujoka

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    makombora 300 yametua kwenye kambi za kijeshi sindio?
  11. ujoka

    Wachungaji wetu mtaendelea kutupumbaza mpaka lini?

    Hahah wewe utakua umetozwa prophetic consultation sichini ya laki tano na bado busha lipo palepale anayeponya ni Mungu kupitia imani yako ukiingia mikononi mwa walanguz ni utalanguliwa tu maana hawana namna zaid ya kikukusanya vibunda vya mapimbi
  12. ujoka

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    oct 7, hamas wangeachwa ingekua maneno wametandikwa barabara imekua maneno iran wakiachwa maneno wakibondwa italeta maneno pia kumbuka israel wana iron dom wana bomb shelters kilq kona iran hana hio makitu sana sana atatumia tu human shield ili atie huruma so makombora yakitua mitaani wanokufa...
  13. ujoka

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    mama yake ndio alikua mwalimu cbe wajuaji walivyosikia mwalimu Kaihula bas wakaona wamweke DMX wa upanga
  14. ujoka

    Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    ndio wangeomba ratiba nzima ya tukio ili wawe na clue kuhusu matukio yanatokea ikibid watake over wao kuliko kuchoreshana
  15. ujoka

    Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    kutokujipanga ndio taratibu za kawaida rasta?
  16. ujoka

    Tanzania Yasitisha Matumizi ya Dawa ya Kikohozi kwa Watoto

    hawa jamaa siamin kama ni bahat mbaya naamin kabisa wanampango mkakati na human population walikua powder zao zilizua taharuk kipind flan na bado kuna majasiri walidungwa chanjo zao
  17. ujoka

    Kipi kinasababisha barabara za New York kuwa na hali mbaya?

    hizo barabara zilijengwa tangu 1700 kipindi hicho tanganyika technologia ya ulindi na ulimbombo inatrend
  18. ujoka

    Israel yalalamika kuwa shambulio la Iran limeigharimu mno Israel na kuitia hasara kubwa

    mzayuni mjanja sana anapenda kulalamika dunia imuone kama mnyonge kaonewq ili kichapo atakachoshusha dunia iseme muajemi alijilawiti
Back
Top Bottom