Search results

  1. zethumb

    Dr. Mwakyembe: Sikumhoji Lowassa kwa sababu ushahidi dhidi yake ulikuwa unajitosheleza!

    Nilitafuta sana jinsi ya kuuliza maswali yangu KUNTU juu ya mada hii naamini leo nimepata sehemu husika; Mosi, nisikitike kwa kauli ya mwalimu wangu Mwakyembe kwa hiki alichokisema bungeni, nimeshangazwa sana sana. Pili. Mwalimu Mwakyembe baada ya sakata la Richmond alialikwa na mwalimu wangu...
  2. zethumb

    Msaada wa sheria ya Code of Good Practice

    kaka ninajaribu kuangalia siioni hiyo file hapa unaweza kunisaidia ndugu yangu NINA SHIDA NAYO SA. nime google wameniletea thread yako hii. msaada wako please.
  3. zethumb

    Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

    soma Biblia ndugu, RC wamechakachua AMRI za Mungu, wameodhi mamlaka za Mungu (kusamehe dhambi), kubadili majira ya Mungu, kufundisha mapokeo ya wanadam badala ya neno la Mungu! RC HAWANA TOFAUTI NA WALA ZAKA NA SADAKA za wanyonge hawa wanaolalamika humu!
  4. zethumb

    Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

    Hayo unayofanya si maagizo ya Mungu (Malaki 3:8-10). tatizo ni kutojua ukweli, tafuta maarifa ya Mungu utapata neema yako, kutoa Sadaka na Zaka ni agizo la Mungu kurudi kwake aliyekupa, hutumika kulipa wachungaji (walawi kiBiblia) na kueneza injili ya Kristo na kusaidia wahitaji. karibu Seventh...
  5. zethumb

    Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

    Nioneshe sehemu iliyoandikwa maneno hayo ndugu! Yesu alimshinda shetani kwa kutumia agano la kale, na agano la kale ndo ina ahadi za parqdiso ya milele (Isaya 58-66)
  6. zethumb

    Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

    wewe ndugu kabla huja fanya uamuzi wowote chukua Biblia ako soma MWANZO hadi UFUNUO utafunuliwa yakupasayo kufanya! kanisa haliwezi kuwa la Tz tu halafu mtu unasema unamwabudu Mungu wa Mbingu na dunia! pia AMRI za Mungu ni tabia ya Mungu, tafuta kanisa ambalo lina sifa hizi uende kusalimisha...
  7. zethumb

    Tundu Lissu kutetewa na mawakili 17, aongea neno baada ya kuachiwa

    hayo aliyosema hujasikia? au unadhan kqsema Nape?
  8. zethumb

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    kilimo cha matunda ni kizuri sana, mimi nimeanzisha langu la miembe dodo mwaka jana kama ekari 10 nashukuru Mungu linaendelea vizuri japo kuna wahuni wananingolea miche shambani. watu bhana sina hamu nao, nimetoka kidogo nyuma huku wanangoa.. naombeni tips za kuliendeleza hasa swala la dawa ni...
  9. zethumb

    Section kuwa na Alphabet ina maana gani? 12A or 12B nk

    Salaam JF naomba kujuzwa hapo, nimesahau kidogo ni maana ya kipengele hicho katika sheria 12A or 12B nk inaweza kuwa namba yeyote katika sections..
  10. zethumb

    Kwanini X-Mas na Sio Christmas

    we mpagani bado, chrismass bado ni la kipagana iwe inaaneikwa x mass au chrismqass kwa Kristo hakuzaliwa tarwhe hyo. ROMAN Katholic ndiye mwaanzilishi nsa ndiye mpinga kristo. beware
  11. zethumb

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    mkasome madrasa ndo mnaweza, kukariri quran na mambo mengine ya Mudy, hapo wote mtafaulu tena kwa "A"..
  12. zethumb

    Sheria ya mapumziko Tanzania, Tanzania Public holidays act

    salaam wana Jf mwenye soft copy ya sheria hyo anisaidie jaman nna shida nayo sana. ntashukuru ukiniatachie hapa.
  13. zethumb

    Dr. Slaa tumekusikia na ushauri wako tutausimamia siku zote kama CHADEMA asilia

    kama ni mafisadi tumechukua mmoja nyinyi mmebaki nao 9! hqmuoni hata HAYA?!
  14. zethumb

    Raia wa Tanzania nchini Marekani watuma ujumbe

    wambie tunachagua viongozi tunaowataka siyo wanaowataka wao! wenyewe lini tuliwaambia wachague rais fulan?! SHAME ON THEM you inclusive! maendeleo tutapata wenyewe kwa rasilimali zetu chini ya LOWASA! na pia hao ndo wanatufikisha hapa! mnasema richmond ni ya Lowasa mbona ilibadilika kwenda...
  15. zethumb

    Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    nimekupa vifungu soma utapata majibu yako humo.
  16. zethumb

    Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    jaribuni kuwasoma na hawa jamaa ndani ya google, Mark Woodman na Prof Walter Veith
  17. zethumb

    Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    Tambua kuwa dunia ilivyoumbwa ilikuwa njema tena NJEMA SANA! Mwanzo 1:31, Adam mwanadamu wa kwanza akapandiwa bustani nzuri yenye kila kitu, Mwanzo 2:8-9! na kama zilivyo serikali za dunia Mungu nae alikuwa na serikali yake na sheria yake! Adam na Hawa walipewa amri Mwanzo 2:15-17, Hawa akakaidi...
  18. zethumb

    Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    hata jina lako linathibitisha upumbavu wako! TOMJELLY?! babaako akikuta mnapiga kelele sebulen na kuwaambia muache kelele nae ni mpiga kelele? qnaenda further kuwaambia madhara yake amekuwa punguani? siwezi kujadili kama Mungu yupo au hayupo labda nijadili ni Mungu gani sahihi kwangu maana wapo...
  19. zethumb

    Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    Tabia njema ni nini? na mazungumzo mabaya ni yapi? John 14:6-Jesus said to him, “I am the way, the truth, and the life. No one comes to the Father except through Me." Tabia njema ni kuamini kweli, kuishi kweli na kutenda kweli. Na kweli hiyo ni YESU KRISTO ambaye pia ni NJIA na UZIMA! WHAT a...
Back
Top Bottom