Search results

  1. L

    Elections 2010 Nyangwine atwaa tarime du!

    ohhhhhhhhhhhhhhhh very sad
  2. L

    Elections 2010 CCM yafanya kufuru Muheza

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimefanya kufuru katika jimbo la Muheza baada ya kuzoa viti vyote vya udiwani vya jimbo hilo, huku vyama vya upinzani vikiambulia patupu. Matokeo hayo yametangazwa jana na Katibu wa CCM wilayani Muheza, Josephini Mbezi wakati akizungumza na Mwandishi wetu ofisini...
  3. L

    Elections 2010 Singida mjini Mo kashinda

    Afp -190 Chadema -3457 Cuf-648 ccm-21169
  4. L

    JK atangaza kuanza utekelezaji ahadi ya vyandarua Lindi

    faida ya kutembea kwako ni ndogo kuliko hasara
  5. L

    Elections 2010 Dr Slaa ndani ya Bukoba

    kizza besigje
  6. L

    Elections 2010 Kura za Zanzibar kumpa ushindi JK

    Ni mtazamo tu msijenge chuki Kuna uwezekano mkubwa ccm ikashinda uchaguzi mkuu bara kwa kutegemea sana kura za nzazibar.Ccm ambayo ina wanachama karibu nusu ya wapiga kura wa zanzibar ambao wanaiunga mkono .TOFAUTI NA CHADEMA ambayo haina mtandao mkubwa zanzibar.wakati Mgombea wa Cuf BARA...
  7. L

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    kwani si utabiri tu jamani kwani utafiti wao unabadilisha nini? me nafikiri cha muhimu ni kupiga kura then tusubiri matokeo halisi.Anaye amini aamini na asiyeamini asiamini kura ndo kila kitu.hakuna atakayekosa haki yake kwa utafiti wa redet wa watu 2500.
  8. L

    Naomba ushauri: Technolojia ya ujenzi wa gharama nafuu Tanzania

    Waungwana hapa kwetu watu wanamatumaini kibao kuwa Dr. Slaa atachaguliwa kuwa Rais.ila wasiwasi nikwa hawa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi maana raia wamesimamisha ujenzi wakisubiri bei ya cement ishuke ambapo sasa mfuko mmoja wa cement ni sh.20000 na Dr.alituahidi kuwa tutanunua kwa...
  9. L

    10th Freemassons Conference - Whitesands

    Official Church of Satan Website
  10. L

    Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

    Wakachague wabunge wakuwaongoza huko kwao na kwaletea maendeleo katika majimbo yao why ubungo ubungo baada ya mwaka wanarudi makwao?
  11. L

    Global Publishers!

    wangeandikaje?
  12. L

    Elections 2010 Baraza la mawaziri la Dr slaa

    mawaziri vivuli?
  13. L

    Elections 2010 Slaa moto chini

    CLICK Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania - 2010 -2015 SERA ZA SLAA ZAZIDI KUWASHIKA MABADILIKO LAZIMA ASIYEPENDA ELIMU YA BURE ATAKUWA NA MTINDIO WA UBONGO
  14. L

    Slaa: Sikujua kama Josephine kaolewa

    Amedanganywa na Joaephine( First lady mtarajiwa ??????)
  15. L

    Piga kura ya Maoni ya Urais Okt 1-3, 2010

    tarajia kupata kura za slaa tu maana huwezi weka timu yako refa wako ukategemea kushindwa its unfair maoni na nategemea pia uta yachapisha kwenye gazetu letu la raia mwema.mwanahalisi na tanzania daima ukiweka kichwa cha habari kikuuubwa WANAMTANDAO WAMPA SLAA USHINDI WA 76% UKIJUA WAZI KUWA NI...
  16. L

    Elections 2010 Igunga: Kikwete amnadi Rostam (picha)

    Wandugu wanajitetea wanasema ni tuhuma ila hazijathibitishwa (hajahukumiwa wala hana kesi)
  17. L

    Elections 2010 Igunga: Kikwete amnadi Rostam (picha)

    Harakati za kujipatia ushindi wa kishindo zimeendelea leo baada ya mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi kumnadi mgombea ubunge huko igunga kwa tiketi ya ccm mh. Rostam Aziz, asema ni mtu safi anasingiziwa!
Back
Top Bottom