Search results

  1. Kitu_Kizito_Kichwani

    Watch "The FBI Files: Season 3 - Ep 3 "The First and Kennedy Street Crew"" on YouTube

    Wale wahenga wanakumbukua ile story ya mnugu aliyekutwa Arusha miaka ya tisini. Alikuwa analima bangi kumbe alikuwa fugitive. FBI files wanasimulia mkasa wake jamaa alikuwa gang leader in states. Crew member wake alishaingia FBI mjengoni akapoteza askari watatu.
  2. Kitu_Kizito_Kichwani

    Huu ndio ukweli kati ya US & China Trade War

    Kutokana na facts zilizopo katika hii video. China is seriously fighting a losing battle. US wanahitaji cheap labor na manufacturing China anahitaji soko la US na kuendelea kuiba technology.
  3. Kitu_Kizito_Kichwani

    Kutana na Ex NASA programmer na founder wa McAfee Antivirus.

    Kweli mwenyezi mungu hakupi kila kitu. Haya ndio maisha ya Mzee milionea McAfee baada kuzibuka na utajiri kupitia bidhaa aliyoinzisha mwenyewe McAfee Antivurus.Huku akisisitiza kudhulimiwa na corporate world. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kitu_Kizito_Kichwani

    Nini hofu ya Uchina dhidi ya kujiimarisha kwa jeshi la Japan?

    Japan’s new marine unit in East China Sea upsets Beijing Japan on Saturday commissioned a brand-new unit of its Self-Defense Forces (SDF), its first such specialized marine detachment for amphibious warfare since World War II, to be deployed on islands extending over 1,000 kilometers from...
  5. Kitu_Kizito_Kichwani

    Hivi AU wanavyomtaka Trump aziombe radhi Shitholes Countries akikataa mtafanya nini

    Nimesoma taarifa ya AU kuwa wanamtaka aombe radhi kuziita nchi za Africa na baadhi ya nchi zauko pacific shitholes countries. Hivi akikataaa mtafanya nini. Sababu za kukataa anazo Moja wapo ni budget ya AU inategemea pia sehemu ya Msaada wa USA. Maoni yangu ! Tunachotakiwa kufanya tuige...
  6. Kitu_Kizito_Kichwani

    Hatua nzuri iliyofikiwa ya ufufaji wa General tyre. Sasa serikali Igeukie Ufufuaji wa Tiper Refinery

    Kutokana na kauli ilyotoka kwa serikali ya ufufaji na kurudisha umiliki wa asilimia 100 wa kiwanda cha matairi.Serikali irudi na kufanya tathmini namna ya kufufua kiwanda cha uzalishaji wa mafuta cha Tiper. Ukizingatia kisayansi asilimia kubwa ya uzalishaji wa matari unategemea by products za...
  7. Kitu_Kizito_Kichwani

    Tuunde mamlaka rasmi ya maafa na uokoji

    Nikiwa kama Mtanzania mwenye hasira na hii nchi. Ningependa kutoa angalizo juu ya serikali ijayo kuweza kuunda mamlaka rasmi ya maafa na uokoaji kutoka na nilicho kishuhudia baada ya ajili ile ya chopa. Bila kuangalia itikadi yeyeto ile jaribio la kwanza la hayo mabadiliko lianzie kwenye usalama...
  8. Kitu_Kizito_Kichwani

    natafuta mpenzi mkwel mm ni mgeni dar nina mwez tu

    mm jamani ndugu yenu natafuta rafiki wa kike hapa dar nimeahamia hapa kikaz niko poa cna makuu yeyeto aliyetayari tuwacliane tu kwenye inbox ...
  9. Kitu_Kizito_Kichwani

    nasaka mke

    now is time for me to get a gal in this forum ..,,,....any one who is ready pm me please am serious
Back
Top Bottom