Search results

  1. mwengeso

    Ushauri kwa TFF kuhusu Yanga

    Kwa mwendo wa kipigo cha 5G kwa timu pinzani, ligi ya NBC, ambacho Yanga inakitoa, na ndio mwanzo wa kikosi kinajengwa na Timu mpya ya ufundi, chini ya kocha Gamondi. Nashauri: Yanga ipangiwe kucheza michezo miwili miwili, kwa siku hiyo hiyo (kwa maana icheze na timu 2 za ligi, moja baada ya...
  2. mwengeso

    Nawaza kwa sauti: Tupate Mwekezaji wa kuongoza serikali

    Suala la mkataba wa bandari, wenye vifungu batili, ukitetewa na CCM na Serikali yake, kwamba TPA imeshindwa kuendesha bandari, hivyo apewe DP World yenye uwezo. Kimsingi Viongozi wa CCM, na Serikali yao, wanakiri kuwa hawana uwezo wa kusimamia uendeshaji wa bandari, hivyo basi waingie...
  3. mwengeso

    Nakala ya kwanza ya kitabu cha Magufuli yauzwa Malawi

    Kutoka Lilongwe - Malawi Nakala ya Kwanza ya Kitabu Kipya Cha Hayati Rais Magufuli Kama kilivyoandikwa na Profesa wa Chuo kikuu Cha Hebron Nchini Malawi Prof Malango Chinthenga kimeuzwa kwa USD 600 sawa na Tsh 1,450,000/= kwa Mwananchi wa Kawaida wa Malawi ambaye alijitokeza katika Uzinduzi wa...
  4. mwengeso

    TUJADILI IGA KIFUNGU KWA KIFUNGU

    Mode tafadhali msiunganishe bandiko hili ili makubaliano/mkataba (IGA) tuujadili kifungu kwa kifungu ikizingatiwa wahusika: Serikalini (Mwanasheria Mkuu na Wizara husika) na Bunge, wamekuwa wakitoa majibu ya jumla jumla yanayohusu faida ya uwekezaji bandarini kuliko madhara ya IGA kwa Taifa...
  5. mwengeso

    Kabla ya dini kuingia Afrika Waafrika walikuwa hawaendi mbinguni?

    Mjadala unaoendelea sasa hivi kuhusu uwekezaji bandari za JMT na DPW, kampuni kutoka Dubai ukihusishwa na udini, umenipelekea kujiuliza swali bila kupata jibu: Kabla ya dini kuingia Afrika (Ukristo, Uislamu), je, Waafrika walikuwa hawaendi mbinguni?
  6. mwengeso

    Je, Tanzania ni shamba la bibi?

    Nakubaliana na Prof. Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, wakati akichangia Bungeni, kwenye mjadala wa kuridhia Mkataba (makubaliano) wa Ushirikiano (IGA) kati ya Tanzania na Dubai, kwamba Watanzania hawapingi uwekezaji wa bandari wanataka mikataba iwe mizuri, wataalamu mzingatie hilo ili...
  7. mwengeso

    CAG abebe msalaba wake

    Mjadala unaoendelea nchini kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali umenisukuma kupitia Katiba ya JMT (1977) kuhusu wajibu na madaraka ya Mthibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG). Nanukuu (maneno yaliyopigiwa msitari au rangi nyekundu ni sisitizo la hoja - CAG abebe msalaba): Ibara...
  8. mwengeso

    CCM Chonde chonde

    CCM kwa sasa hivi inazungumzia miaka 2 ya utawala wa Awamu ya Sita ya Rais SSH. Je, sifa zinazomwagwa zinaakisi Ilani ya CCM 2020-2025. Nitanukuu machache yahusuyo uchumi ili kuonesha tofauti ya Sera ya Uchumi wakati wa Awamu ya Tano (Uchumi wa Viwanda) na Awamu ya Sita (Dmokrasia ya Uchumi)...
  9. mwengeso

    Katiba Mpya au Utawala Bora?

    Yafuatayo ni maoni yangu yasiyoegemea upande wowote wa kisiasa. Sura ya Kwanza, Sehemu ya Tatu ya Katiba inahusu Haki na Wajibu Muhimu (Haki ya Usawa, Kuishi, Uhuru wa Mawazo, Kufanya kazi, na Wajibu wa Jamii). Hivyo ndivyo misingi mikuu ya demokrasia. Isitoshe wananchi huwakilishwa na...
  10. mwengeso

    Tanzania ni nchi tajiri duniani, nani anabisha?

    Serikali kuunda Tume ya Katiba, kwangu mimi ni matumizi mabaya ya fedha na rasmali watu. Ingeundwa tume ya Wataalamu wa Uchumi na sekta za uzalishaji kuaandaa Mpango Mkakati wa kutumia rasmali maliasili zifuatazo kwa maendeleo ya nchi na kuondoa umaskini: 1) UVUVI na UMWAGILIAJI: nchi ina...
  11. mwengeso

    Haya masuala nayahusisha na ukosefu wa Utawala Bora

    Hivi karibuni, na hadi sasa, kuna mijadala ya kisiasa ambayo kimsingi chimbuko lake ni utawala bora. Baadhi ya mijadala ni pamoja na: [emoji830]︎ Madai ya Katiba mpya; [emoji830]︎ Utawala wa sheria; [emoji830]︎ Tozo; [emoji830]︎ Wasiojulikana; [emoji830]︎ Mashtaka ya kisiasa; [emoji830]︎...
  12. mwengeso

    Nini hutokea unapokunywa maji wakati unakula chakula?

    Nimeipata taarifa hii nikaona niwashirikishe WanaJF ambao wengi naamini hawajui. "Wengi wetu tuna mazoea ya kunywa maji pindi tunapokuwa tunakula chakula. Lakini, Wataalamu wa Afya wanapinga mazoea au tabia hiyo kwa kuwa kufanya hivyo kunahatarisha afya. Zifuatazo ni athari za kiafya za kunywa...
  13. mwengeso

    Mikakati ya Serikali kwa maendeleo

    Kwa miaka mingi, na hata kwa sasa, Serikali imekuwa na mikakati ya kuondoa/kupunguza umaskini km MKUKUTA. LAKINI! Hadi leo kiwango cha umaskini bado hakijabadilika. Tunachoshudia ni juhudi za Setikali kushughulikia Maskini badala ya UMASKINI. Mifano iko mingi: [emoji830]︎ Wakulima wa vijijini...
  14. mwengeso

    Maadili kumomonyoka alaumiwe nani?

    Nimeipata taarifa ifuatayo kutoka kwenye "Whatsapp Group" nikiamini kuwa inazunguka mitandaoni. Kwangu imeibua maswali kadhaa: Je, ni kweli hali ya maisha kwa sasa, kulinganisha na ya kizazi cha zamani, kabla na mara tu baada ya uhuru? Ni nani mhusika:- Ukiambiwa Dr Salim Ahmed Salim...
  15. mwengeso

    Maendeleo ya Michezo Tanzania

    Hivi karibuni Rais SSH alipokea kombe la mpira la dunia, swali la kujiuliza je, kuna mazingira wezeshi ya kukuza na kuendeleza vipaji nchini? Kila kona ya nchi, mijini hadi vijijini, wananchi hukusanyika palipo na TV kuangalia mashindano mbali ya michezo ndani na nje ya nchi. Huu ni uthibitisho...
  16. mwengeso

    Siasa vs Katiba Mpya kuelekea chaguzi za kitaifa

    Msingi wa bandiko hili ni mategemeo gani ya Wana siasa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, 2024 na Uchaguzi Mkuu, 2025. Kwa sababu ya matokeo ya chaguzi zilizopita, kutoleta mafanikio mazuri kwa vyama vya upinzani, kumekuwa na madai ya Katiba mpya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na malumbano...
  17. mwengeso

    Kuna viashiria vya kijamii na kiuchumi kwamba huenda ndio mwisho wa utawala wa CCM

    Kinachoendelea nchini kwa sasa, kisiasa, kuna viashiria vya kijamii na kiuchumi kwamba huenda ndio mwisho wa utawala wa CCM. KIJAMII Kuna matukio kadhaa makubwa ambayo yanamomonyoa misingi imara ya usalama wa kijamii. Matukio hayo, yanayotokana na uongozi wa CCM, ni kama vile wanasiasa wa...
  18. mwengeso

    Ukweli kuhusu maisha

    Tafiti zilizofanywa na wataalamu wa elimu ya jamii wanashauri: ● Kutokuhangaika na Mjinga bali Ujinga; na ● Kutokushughulika na Mkosaji ila Kosa lenyewe. Maana yake ni kwamba wengi wetu litendekapo jambo lawama hushushiwa mtendaji badala ya tendo lenyewe. Kushughulikia tendo lilofanyika hutoa...
  19. mwengeso

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa

    Kinachoendelea nchini, kisiasa, ni wazi kwamba pesa imezaa kiburi na madaraka yamejenga maadui. YAJAYO ni KITENDAWILI lakini ...
  20. mwengeso

    Serikali kusaini mikataba ya madini na makampuni

    Nimeisikia muda huu kupitia channel Ten Waziri mhusika akilisema hilo. Faida alizozitaja (pato kwa Serikali na Ajira) hazihakisi thamani ya madini ambayo ni "non-renewable natural resource). Watachimba na kuacha mashimo (uchumi usio endelevu) Kama Serikali ina nia ya dhati ya nchi kuwa na...
Back
Top Bottom