Viongozi badilikeni , Nchi na Taasisi nyingi Duniani kwa sasa zinaongozwa kidigiatli, watu wana twit na ujumbe unafika. Mkisubiri taarifa rasmi wenzenu wana chanja mbuga, Wanafanya mamuzi . Trump ameongoza Marekani miaka 4 kwa twitter.
Ukweli ni kwamba polisi , makarani na mawakala waliosimamia uchaguzi hawakutoka nje ya nchi. Siku moja kabla ya uchaguzi kuna karani mmoja wa jimbo la Moshi mjini alisikika akiongea kwenye simu kuwa wao wameelekezwa kwamba wakati wa kuhesabu kura karani atasoma kura hatazilizo tikiwa kwa...
kuna utwasikia wakisema ucahuguzi huu lazima tunashinda ukiwauliza mnashindaje bila soni utasikia '' Tutaiba" . Mwizi lake giza na kificho. Mbona chaguzi za ndani za vyama zilionyeshwa mbashara. Iweje uchaguzi uwe siri?
Mgogoro unatoka wapi wakati matokeo yanahesabiwa na kurekodiwa na mawakala wote. Tume isisahau tumeonyeshwa uchaguzi huru na wa wazi kabisa (mbashara) na chaguzi za ndani za vyama CCM na Chadema , huu usiri wa TUME faida yake nini? . Chaguzi za ndani za vyama zimeonywashwa mbashara nyie mnaficha...
Tundu Antipasi Lissu ana sifa nyngi alizo kuwa nazo Mwl Julias Kambalage Nyerere, Ujasiri, Ukweli, kupigania haki, AKILI ya kubwa. Kwa sasa tunaweza kusema tumepta Kaka wa Taifa. Kwa umri wake anafaa kuitwa kaka wa Taifa la Tanzania
Nakubaliana na wewe kwamba inaweza kuwa ni mpango mzuri wa Mungu. Herode alipo ambiwa mfalme amezaliwa aliua watoto wakiume wote wa umri wa miaka 2 kwenda chini ? Habari njema ni kwamba hakumwua YESU.
27% ya mshahara wangu inakatwa kodi, niknunua luku nakatwa kodi, nikilipia bill ya maji nalipa kodi, huo mwendo kasi wenyewe nauli yake kuna kodi, ukinunua maji unalipa kodi , ukinywa bia kuna kodi, Kwa hiyo kila Mtazania analipa kodi ndiyo zinazo kusanywa na serikali ( siyo CCM ) kujenga shule...
Shida ndio hiyo tunadhani siasa ni uongo ! Mtu anakumbia vitambulisho ni Muhimu unashagilia , vitambulisho siyo lazima unashangilia , vitambulisho vinatumika kutoa mikopo unashangilia wakati havina jina,picha wala saini ya mmiliki .
Mk
Ajira hizo hapo zimetangazwa, waambie waweke vyeti waache maneno. Ukiona mtu anatoka Shirika moja hadi lingine (World Vision to Pact,to ActionAid, to UNICEF to WFP...) Hana Ubashite hata kidogo ! Hawezi kuwa na ndugu kote huko!!
Huyo Amy Campbel Jumla ya hela yote aliyo donate ni $ 15,000. umezidisha marangapi ukapata 200M?
Huyo mama amekujia juzi ndotoni ? Mbona hapa WVT mpaka sasa hatujasikia ujio wake? Je unataarifa ya kazi iliyofanyika mpaka sasa na imegharimu kiasi gani? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.