Search results

  1. HISTAMINE

    Azam Ice Cream hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani

    Aisee hivi mmenotice? Sijui ni hapa tu au ni kote kuwa Ice cream za Azam hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhan kwa hawa wanaotembeza.. aidha sina uhakika na ice cream shops zake sijui kama ziko open. Kama hazi operate, nimejifunza kitu. Tuwe serious na kumtafuta Mwenyezi Mungu.
  2. HISTAMINE

    Mamlaka husika chunguzeni hili la Ziwa Nyasa

    Katika kuperuzi peruzi kwenye google map nimeshtushwa kuona mpaka na jina la ziwa Nyasa vikionekana kama nilivyoattach hapo juu. Hii imekaaje wadau? Naomba mamlaka husika itupe ufafanuzi. Nawasilisha.
  3. HISTAMINE

    Msaada wa kupata mawasiliano ya msanii Juma Kassim 'Nature'

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba mni-pm mawasiliano ya J. Nature kwaajili ya shida binafsi. Zaidi ya yote ni moja ya wasanii wakongwe ninao wakubali sana.
  4. HISTAMINE

    Msaada: Lenovo laptop screen/monitor imevunjika na kumwaga wino

    Leo wakati naangalia mechi kati ya Aston villa na Chelsea, nikapata mihemko ya mpira nikadunda ngumi kitandani pembeni yangu, kumbe! nilikuwa nimeweka pc sikuiona, matokeo yake imevunjika screen ndani kwa ndani, rangi zimetawanyika, imepata kama kifafa hivi- maandishi yanacheza cheza. Wapi...
  5. HISTAMINE

    Shalo (sharo) tinatina..

    Wapendwa hivi shalo tina tina maana yake nini? Nimekuwa nikisikia haka ka msemo bila kufanikiwa kujua maana yake. Maeneo nilipo sikia ninapokumbuka ni kwenye baadhi ya mashairi ya nyimbo za wasanii wa kibongo mfano Ngwair (RIP), Mchizi mox, n.k Tafadhali mwenye kujua maana au chanzo cha msemo...
  6. HISTAMINE

    MSAADA: Basi la abiria zuri la Mbeya hadi Mwanza

    Habari wakuu, naomba kujua ni gari gani zuri (kwa maana ya kufika kwa wakati na huduma nzuri) la safari za Mbeya hadi Mwanza. Sipendi kuunga unga safari kwa maana ya kuishia Dom then niunganishe, hapana, nataka la moja kwa moja. Haijalishi kama litakuwa ni luxury au la, nnachotaka ni safari ya...
  7. HISTAMINE

    Nyimbo za Kisukuma

    Ee bwana najua kila kabila wana nyimbo zao ila za hawa watu zimekuwa nyingi mno! Kuna jamaa yangu huwa anajishughulisha na kazi za u-DJ, aliwahi kuniambia akialikwa kutumbuiza kwenye sherehe zao, asipopiga nyimbo zao ama akijichanganya kupiga sijui Kwangwaru sijui Masozi basi halipwi! Tatizo ni...
  8. HISTAMINE

    Halotel vipi?

    Hebu chunguzeni wenyewe na mrekebishe makosa ya uandishi wa maneno ya lugha ya Kiswahili, siyo hadi tuwaandike humu. Uzi tayari.
Back
Top Bottom