Search results

  1. HISTAMINE

    Je, ni sahihi mambo haya kufanywa na wanandoa?

    Hayo yote uliyoyataja sio sahihi na si tu kwa wanandoa bali kwa watu wote wenye uhusiano/udugu flani. Ila hutokea. Na ukweli ni kuwa hutokea kutokana na sababu fulani kubwa zaidi nyuma yake... Hivyo kuepuka ni vema wanandoa wawe wepesi kuchunguza nini chanzo kamili cha hayo unayoyataja kutokea.
  2. HISTAMINE

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Labda kukuongoza wewe na wengine jamii yako! Ila viongozi bora kwa nchi za watu wenye akili hawana uongozi kama wa Makonda.
  3. HISTAMINE

    Guede anafunga magoli magumu sana

    Anajua sana
  4. HISTAMINE

    Naomba kufahamu suala hili kuhusu watumiaji wa X zamani Twitter

    Halafu pembeni ya video anaweka tangazo flani
  5. HISTAMINE

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Samahani mkuu, hii inakuaje? Nimejaribu ku google lakini sijapata maelezo mazuri..
  6. HISTAMINE

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu kuna wimbo wa zamani kidogo 2005 kurudi nyuma, Juma Nature alishirikishwa, kaimba kiitikio; "maisha tunayoishi ....ni ya kimkanda mkanda, chakula bei zinapanda,... ingawa ni magumu lakini tunaishi Mungu yupo Mungu yupo..."
  7. HISTAMINE

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Yupo sahihi. Wimbo wa Taifa ni sala. Kwani GENTAMYCINE anasemaje?
  8. HISTAMINE

    Tetesi: Hospitali ya Ipamba wagonjwa na wauguzi hupotea tu

    Imeanza kutokea lini hiyo? Uongozi wa hospitali/mji wanasemaje?
  9. HISTAMINE

    Ngoma gani unaikumbuka toka Kwa huyu mwamba Mr Ebbo?

    Mbado (bado): Mnanisema vibaya kwa kusimamisha basi, Na pale ni porini ni vema nikawa wasi. Basi ya kwanza mesimamisha ikanipita kabisa. Nikaona nikae bararabani kabisa. Basi ya pili kaja mefunga breki kali. Dereva na abiria wote wakawa wakali. Masai ngekugonga..haya unakwenda wapi, Aaah...
  10. HISTAMINE

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    #Dr. Gwajima_D for presidency 2030
  11. HISTAMINE

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Fuatilia vizuri. Waajiriwa Wakristo wamejaa tele kwenye makampuni ya Bakhressa group. SSB angekuwa mdini sidhani kama angefika kiwango alichofika.
  12. HISTAMINE

    Bima ya Afya NHIF ni Janga kwa wanachama wake

    Iko mbioni kufa kabisa 😵 Ingekuwa inakua tulitegemea kitita cha mafao kitanuke zaidi ila sasa ni kinyume chake
  13. HISTAMINE

    Aliyejizolea umaarufu kwa kuwapigia simu Zimamoto ili ajifurahishe afunga ndoa

    Akipelekewa moto kwenye kwichi kwichi sijui atawapigia tena?
  14. HISTAMINE

    Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho?

    Kujutia baada ya kujichua inaweza kutokea kwa sababu ya hisia za hatia, tamaa ya kubadilisha tabia, au kutokana na imani za kidini au kitamaduni ambazo huona tendo hilo kama lisilofaa au la kimaadili. ChatGPT
  15. HISTAMINE

    Vijana tusing'ang'anie Dar

    Sasa kuna vijiji hata hicho chumba tu cha kupanga hupati! Bei za vitu vidogoo kama viberiti/chumvi zipo juu! Huduma muhimu za jamii hakuna! Vyakula hakuna, vikiwepo ni aina moja tu mnagombania kijiji kizima! Ulevi wa pombe ni vijana wote kijiji kizima tena mnalewa na kuongea kilugha kabisa! Hiyo...
  16. HISTAMINE

    Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

    Addiction ya Caffeine ndio aliieleza kama "kilevi"
Back
Top Bottom