Search results

  1. V

    Zee La Miamala, Mtoto Wa Kariakooo, Kiboko Ya Masista Duu Wa Uswazi

    lara 1 duuuh hii kali kinyama... Umetisha. K kweli wa mjini maana hizo mishe zinahitaji confidence ya kufa pimbi kama 900 hv. Duh na issue ya sindano uswazi ndo nmeisikia leo kwako kumbe watu hatari-hatari.
  2. V

    Hivi nyie wasichana/wanawake mpoje?

    Hii discussion imenifurahisha sana hahahaha...
  3. V

    Unadownload vipi picha/video instagram?

    Kama una simu ya android tumia app inaitwa phonegram au padgram. Unadownload chochote unachoona instagram na unaweza kuitumia kupost na kicomment pia
  4. V

    Tanzanian made clean animations

    Really nyc asee
  5. V

    Hackers steal £650 million in world's biggest bank raid

    Hawa jamaa wametisha.. N Russians are really good in hacking
  6. V

    Mlango wa nyuma wa Kickass.so torrent site

    Mm naipata hata kwa mozilla
  7. V

    Kwa nini Watanzania ni wagumu kulipia Huduma za IT?

    Dreson3 aye captain... Huyo jamaa kweli anahitaji darasa abt IT. Ooh mayb coz haoni umuhimu wake kama profession basi labda kesho aende maktaba ya taifa akatafute maana ya IT.. Then afanye kushare hiyo knowledge alopata maktaba kwa kumuandikia kila mmoja kwny forum barua ya mkono na kutuma...
  8. V

    Kwa nini Watanzania ni wagumu kulipia Huduma za IT?

    zech to answer your comment.. I did not download any code or scripts.. This wasba project to start from scratch creating a windows ERP system. And in all the work that i do if i may say so i always prefer starting from scratch if not for any other reason then its to feed my ego knowing i did...
  9. V

    Kwa nini Watanzania ni wagumu kulipia Huduma za IT?

    Yah... Man ive learnt my lesson already. Thanks for the advice
  10. V

    Kwa nini Watanzania ni wagumu kulipia Huduma za IT?

    Najua nlikosea kutoongea nae bei mapema. Lakini kama nlivosema kufahamiana kulichangia na mm nikaona nisiliongelee swala la pesa mapema sana. Kwa sababu kwa mtu anaejitambua akikupa kazi ambayo utatumia energy yako, skills, time na other resources zako huwezi ukawa unafikiri ni charity work.
  11. V

    Jinsi ya kutengeneza ID Cards naomba msaada

    Kudesign unaweza tumia tools zozote ambazo upo comfortable nazo.. Kwa urahisi wa kuprint huwa kuna software fulani zinatumia database of some sort. Kwa hiyo unadesign Id card yako then unaingiza data kwny hiyo database including photos kama zinahitajika.. So design moja lakini unaprint as...
  12. V

    Kwa nini Watanzania ni wagumu kulipia Huduma za IT?

    Hii imenikuta kabisa.. Mtu kataka Management system anajua nna uwezo wa kumfanyia kazi.. Katoa maelezo yote na requirements zake... Kazi imeanza taratibu siku namuuliza tuongee swala la bei... Kaingia mitini. Ingawa tunafahamiana na mm nikaona isiwe tabu i cancelled the project as well.
  13. V

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Wana akili finyu sana hawa.. Yani hata logic ndogo wanashindwa kutumia tu. Mm na wasi wasi watu wanaowapangia strategy za business hawako vizuri kichwani. Haihitaji kufikiri sana kujua kuwa wanachofanya ss hivu kitashusha sana soko lao na namba ya wateja. Subiri nianze mapema kuactivate line...
  14. V

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Haya ndiyo baadhi mabadiliko ya vifurushi vya voda. Upumbavu mtupu huu. Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda Tsh 150=10 sms Tsh 500= dk 15+250sms+8mb Tsh 650= dk 30+300sms+8mb Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb vodacom kwenda mitandao mingine Tsh 150= sms 10 Tsh 499= dk 7+300sms+8mb Tsh 649= dk13...
  15. V

    Say no to piracy, nunua software, game na movies original

    Juzi nimeshusha unity pro.. Sasa naiwinda cinema 4d na zbrush
Back
Top Bottom