Search results

  1. 3D.

    JOSHUA NASSARI: The Lord of the Rings: The Return of the King

    Kwa wale waliotazama mfululizo wa sinema tatu (Trilogy) za The Lord of the Rings (The Fellowship of the Ring, The Two Towers na The Return of the King) wataona kuwa CCM imekuwa ikitishia watu kama mzimu wa Sauron. Watu watapambana lakini akifika Sauron majeshi yote yanaangukia mikononi...
  2. 3D.

    Kitabu cha Panga la Shaba

    Wakuu, Hivi kuna mtu anaweza kunipa idea wapi nitapata kitabu cha zamani cha katuni za Mganga "Panga la Shaba"? Natanguliza shurani.
  3. 3D.

    Nifanyieni tathmini

    Wadau mabibi na mabwana, Naomba mnifanyie thathmini ya kazi yangu katika video hapa chini. Ni tangazo fupi la TV. Sijahusika kutengeneza sauti katika tangazo hili, nimehusika katika visual part. Ningependa tathmini iangalie uhusiano wa matukio na message husika, pia uzuri kwa maana ya beauty...
  4. 3D.

    Filamu: Adili na nduguze

    Wakuu nitapata wapi kitabu cha hadithi "Adili na Nduguze"? Nafikiria kutengeneza filamu yake in 3 to 5 years from now. Nikipata kitabu cha "Kisa cha Hassan-li-Basir" nitafurahi pia. Nilivisoma zamani na ninadhani filamu zake zitakuwa nzuri kama zikiandaliwa kwa ubora.
  5. 3D.

    Elections 2010 Kutumia nguvu (violence) kwenye siasa kunaruhusiwa

    Nimesikitishwa sana na kauli ya Mzee Mwanakijiji ya tarehe 5 November, 2010 saa 3:05 asubuhi: "Angalizo kwa wana JF - Lugha ya matumizi ya nguvu haina nafasi" ambayo katumia muda mwingi kujaribu kujenga hoja kuwa katika ulimwengu wa waliostaarabu lugha "zinazochochea matumizi ya nguvu" hazina...
  6. 3D.

    Elections 2010 Watu wote someni hii

    Wakuu, kumekuwa na posts nyingi kuhusu mwenendo wa Upigaji kura. Hii inasababisha tunashindwa kufuatilia matukio vizuri. MODS wamesaidia kidogo katika hili. Ukiingia katika Forum ya UCHAGUZI TANZANIA 2010 iliyopo front page ya JF, ndani yake kwa juu kuna Sub-Forum mbili. Moja ni kwa ajili ya...
  7. 3D.

    3d modelling and animation

    Kuna mtu anaweza akaniambia Tanzania tumepiga hatua kiasi gani katika mambo ya 3D animation ikihusisha matangazo ya TV na Filamu?
Back
Top Bottom