Search results

  1. N

    Mchumba

    hata km ww ni std.7 ila ukute una biashara au kaz ya kukupatia kipato angalau, me mambo ya kuwa tegemezi ndio cyataki kbs hapa
  2. N

    SIBUKA TV ni ya nani?

    hata mie naionaga onaga tuu sielewi ni ya wapi, i thot ni ya kenya, ila vipindi vyake bado haviko poa
  3. N

    JIFUNZE ki-nyiramba.

    nimeambulia haya mawili, mpele ni naomba ee? na ndalu ni ule mrenda, hayo mengine cjui,
  4. N

    Majina ya ki.singapore

    mkumbo, ella, elisongela, kiunsi, kilimba, kitila, kitundu, ki..... kuna mtu alinambia majina ya kinyiramba ni yanaanza na ki,
  5. N

    Ni Muvi gani 10 kali ambazo unazikubali sana?

    umenikumbusha mbali sana wee mtu
  6. N

    Mkasa!

    bora wewe useme , me nawazaga hata nakosaga majibu, km hawajamaliza mambo yao kwann walioa na wanaendelea kututongoza,
  7. N

    Sitasahau!!!

    pole sana dada angu, inasikitisha umepitia mengi, ila ningependa kujua ilikuaje mkafanikiwa?
  8. N

    Kigugumizi (Stuttering): Chanzo na Tiba kwa watu wazima na watoto

    Mie pia ninacho, na mama yangu pia anacho, na mdogo wetu pia anacho, me nadhani ni cha kurithi coz hata ww inaonekana mwanao pia karithi, kwa me nishakizoea, ni cha kawaida sio rahisi mtu kunigundua
  9. N

    mapenzi na housegirl

    Wadada wa kazi wanapitia mbali sana, bac tuu
  10. N

    Ulikutanaje na mwenza wako?

    tulikutana facebook, he poked me, i poked him, he requested me as a frend, i accepted, then wall 2 wall, inbox 2 inbox, online chat, then changing relationship status, ndio kama ifuatavyo
  11. N

    Ulikutana wapi na mwandani wako?

    tulikutana facebook, he poked me, i poked him, he requested me as a frend, i accepted, then wall 2 wall, inbox 2 inbox, online chat, then changing relationship status, ndio kama ifuatavyo
  12. N

    Tiba yake nini?

    mie cjui, nilitaka kusema bado mdogo ila wengine wanasema hata mchanga anadindisha, anywayz, bora umuwahishe hospital ndio utapata jibu huko
  13. N

    blog codes

    inakuja error ile ile mkuu , c unajua haya mambo ya IT cyajui ndio maana kusolve tatizo inakuwa ngumu, ss hv umeme umenikatikia , ila kesho nitakuinbox hizo codes zote unipachikie
  14. N

    Happiness Magese Na Miriam Rose Wazipiga LIVE NY

    kwwa taharifa yako hiyo picha ilipigwa enzi za ze utamu ila mange aliiweka kwenye blog yake ili kunogesha story, ndio, happy na koku walipigana ila hiyo sio picha yao ,,,,,,,,,,,,
  15. N

    blog codes

    naona nimeshindwa mkubwa!!! labda nikuPM unisaidie zaidi
  16. N

    blog codes

    poa thanx, ngoja nifanye hvyo ss hv nitakuambia km nimefanikiwa
  17. N

    blog codes

    natumia blogger, error inayokuja ni Your template could not be parsed as it is not well-formed. Please make sure all XML elements are closed properly. <br/> XML error message: The markup in the document following the root element must be well-formed. Error 500
  18. N

    blog codes

    kuna blog nimefungua , iko fresh, jana ktk kucheza cheza kwny web zingine nikakuta 100% Free Hit Counters for Your Website. 100's of Styles to fit your Site. Keep track of your sites page hits and unique visitors FREE! nimefuata maelekezo yote mpk baadae nikatumiwa codez ambazo niliambiwa...
  19. N

    nywele

    nimekusoma dada angu , nitatembelea hizo dawa s h amon kwanza
Back
Top Bottom