Search results

  1. M

    Manispaa ya Temeke kitengo cha leseni jitafakari

    Kitengo cha kutoa liseni cha Manisipaa ya Temeke jitafakari maana naona hamuendani na kasi ya JPM. Ikiwa nimelipa kodi ya mapato na kupata tax clearance toka TRA, nikaja kwenu na kulipa ada ya liseni, mbona mnakuwa wasambufu kutoa liseni? Ukishalipia unaambiwa njoo kesho. Unaenda kesho yake...
  2. M

    Naomba kuelekezwa kwenye Ofisi za PSSSF Wilaya ya Temeke

    Ndugu wana JF, naomba kuelekezwa zilipo ofisi za PSSSF, kwa wilaya ya Temeke, au kwa Mkoa wa DSM. Najua humu ndani kuna wanaozifaham zilipo na nitaelekezwa. Ahsanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Ba Ndugu, Kweli Maisha hayana Kanuni

    Wana Jf, nimekuwa mara nyingi natafakari nichukuwe kanuni gani jinsi ya kuishi ktk maisha, lakini nimekuja kuona hakuna kanuni yoyote. Labda ba ndugu nisaidieni maana: 1. Nimeona wenye haraka haraka wamepata mafanikio, 2. Jamaa walivumilia mwishoni wakaja kula zilizooza badala ya mbivu, 3. Kuna...
  4. M

    Wana ccm halisi

    Wadau hawa ndiyo wana CCM halisi: Mwigulu Lekule Ligola Ebu endelea na wewe!
Back
Top Bottom